Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumbeKikuku ni kuliwa punga, kama kuku anavyo kula mpunga ndomana ikaitwa kikuku
FungukaMtu tu wa kawaida,sio mlokole wala sio mwenda ovyo tehe
yeah,Kumbe
Acha kujaribu kulazimisha mkuu, kwahiyo hicho kicheni ndo kinacho kula? Mfano wako ni irrelevantKikuku ni kuliwa punga, kama kuku anavyo kula mpunga ndomana ikaitwa kikuku
Tena hayo mataifa ndo yanayo ongoza kwa huo uchafu mkuu, sisi huku tunaiga tusijui hii tafsiri ilianzia wapi mm pia nashindwa kuelewa, mm pia nilikua naona ni urembo tu..
Kuna mataifa bado wanavaa kama urembo pia sidhani kama wana hii tafsiri na wao.
Sijui kwakweli
Kama hujawahi vaa,nakushauri usivae Jolie mana utapa kero kwa mibaba inayojua maana ya hiyo kituNatamanigi kuvaa ila hii tafsiri vichwani kwa watu ndo inanfanya nisivae
AiseeTena hayo mataifa ndo yanayo ongoza kwa huo uchafu mkuu, sisi huku tunaiga tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee baba nimekusomaKama hujawahi vaa,nakushauri usivae Jolie mana utapa kero kwa mibaba inayojua maana ya hiyo kitu
Hebu tuambie wewe kina maana gani mkuu,Acha kujaribu kulazimisha mkuu, kwahiyo hicho kicheni ndo kinacho kula? Mfano wako ni irrelevant
Mimi sijui kuliwa nini, we uliye wahi kuliwa hebu tuambie uwanja ni wako mkuuMbona una experience sana na izo issue umeshawahi kuliwa nini mkuu?
Mkuu ulivyotaja kwa kebehi, miguu myembamba kwamba ni spoku za pikipiki, nimeona haujawahi kukumbana nayo hiyo miguu ya kwale kwenye anga zako.Kumbeeee... mi napenda kuviangalia mdada akiwa nacho mguuni afu guu lenyewe liwe guu kweli sio spoku Za pikipiki.
Kikuku kina maana nyingi,aliolewa akivaa miguu yote anashiria kuwa mume haifanyi kazi karibu mwenye ubavu utoe huduma,kama yuko peke yake(single) hajolewa tigo kwa uwezo wako na dau lako.Mengine yameelezewa hapo juu na mleta uziKikuku ni kuliwa punga, kama kuku anavyo kula mpunga ndomana ikaitwa kikuku
Kweli kabisa, ni urembo tu, tena wampendezesha mwanamke vizuri sana na kutamanisha..sijui hii tafsiri ilianzia wapi mm pia nashindwa kuelewa, mm pia nilikua naona ni urembo tu..Kuna mataifa bado wanavaa kama urembo pia sidhani kama wana hii tafsiri na wao. Sijui kwakweli
Ni urembo vaa uone watavyokufukuzia wapenda kusikia harufu ya chooNi urembo tu imani potofu zinawapotosha. Wahindi, waarabu, wamasai na wengineo wote wangekua wamekubuhu kwenye hiyo tabia basi