Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

sijui hii tafsiri ilianzia wapi mm pia nashindwa kuelewa, mm pia nilikua naona ni urembo tu..
Kuna mataifa bado wanavaa kama urembo pia sidhani kama wana hii tafsiri na wao.

Sijui kwakweli
Tena hayo mataifa ndo yanayo ongoza kwa huo uchafu mkuu, sisi huku tunaiga tu
 
Kumbeeee... mi napenda kuviangalia mdada akiwa nacho mguuni afu guu lenyewe liwe guu kweli sio spoku Za pikipiki.
Mkuu ulivyotaja kwa kebehi, miguu myembamba kwamba ni spoku za pikipiki, nimeona haujawahi kukumbana nayo hiyo miguu ya kwale kwenye anga zako.
Hata mimi zamani nilidharau sana kiumbe anayemiliki miguu kabila hiyo.
Lakini nilipowafanyia 'utafiti' wangu wa kina, nikwambie wengi waliniliza kwa furaha na heshima ikapanda juu yao.
Sijawahi tena kuleta dharau zangu.
Sasa bado wewe, ukija kutafiti, utakujanitag.
 
sijui hii tafsiri ilianzia wapi mm pia nashindwa kuelewa, mm pia nilikua naona ni urembo tu..Kuna mataifa bado wanavaa kama urembo pia sidhani kama wana hii tafsiri na wao. Sijui kwakweli
Kweli kabisa, ni urembo tu, tena wampendezesha mwanamke vizuri sana na kutamanisha..
Ila kama utujuavyo wabongo, mara kuliwa punga, mara usitembee na mke wako akiwa ananyonyesha, mara mtoto kulia usiku sana ni wachawi wanamsumbuwa, mara usipite chini ya miguu ya mtu utakuwa mfupi, mara usiongee na simu kama kuna radi, mara ...yaani sisi tusiyoyajuwa ni shida! Tuna imani za kuaminishwa vitu vya kijinga sana..
 
Back
Top Bottom