Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

inategemeana mvaaji, wapo wanaovaa tu bila kujua hata maana moja ya cheni au ushanga miguuni, lakini huwa mara nyingi huashiria ndoa ya mwanadamu na jini, kuna ya mda na ya kudumu
 
Eh! Hii mpya tena! Sasa huyo mwanadamu anakuwa anafahamu kwamba amefunga ndoa na jini au inakuja automatically anaanza tu kuvaa?
 
Mimi ningetaka kufahamu yakwamba utamaduni huo wa kuvaa vile ulianzia wapi?ukimaanisha nini?hapa umeigwa ulivyo ama kuna kuuweka katika mazingira ya kitanzania?na kuna njia ya kujua kuwa mvaa shanga mguuni wanampumulia kisogoni ama la ?je hawapo wasiovaa walio na hali hiyo ya kuhitaji kupumuliwa kisogoni?tatizo hili kwa lugha ya utafiti laweza kuwa researcheable?wavaaji mkiwauliza nawewe mkuu mwenye ex g/f mkiwauliza wanasemaje?

Kwa uelewa wangu mdogo, mtindo wa kuvaa kicheni (uswazi maarufu kama kikuku) una historia kubwa sana sehemu za pwani hasa maeneo yenye mitaa ya uswahilini .... kwa watu walioishi mitaa ya magomeni (karibu zote), ilala, kindondoni, buguruni etc nakumbuka kwenye miaka ya 1990's mpaka early 2000's huu mchezo wa kuvaa kikuku ulikuwepo na ulikuwa maarufu sana ... ni kweli waliokuwa wanavaa hivyo vikuku walikuwa wanatoa tigo kwa kwenda mbele na ilikuwa sio siri ... karibu kila mtu kitaa alikuwa anajua .... yaani walikuwa ni wadada au wamama fulani hivi waliopinda ... walikuwa maarufu sana kwa kuiba waume za watu na kuwapa vitu vya ziada (value added service) kama hiyo tigo ... kipindi fulani walijulikana kama mashankupe au mashangingi. Na utaona pia mtindo wa kutoa tigo na kuvaa cheni unashabiiana kwa kiasi fulani na miziki ya mwambao hasa taarabu .... nenda siku moja utaona mambo yote haya ingawa siku hizi si sana kama zamani!

Hivi mpaka hii leo, imani hii ipo sana uswahilini .... ukiwa umeumbika mwenye makalio makubwa jaribu kuvaa hizo shanga/hereni zako mguuni then nenda maeneo ya uswahili kama gengeni hivi au gereji then utaona respond ya wanaume wa huko ... ni balaa! yaani utakuwa kama umewaita mwenyewe vile waje wajinasibu nawe (an invitation to treaty!)

siku hizi watu kidogo wameelimika, na wasichana wengine wanachukulia kama ni urembo hasa wale masista-do au wale wa geti kali ambao hawakuwahi kuishi mazingira ya uswazi .... lkn all in all, hicho kitu ina impression mbaya sana ukivaa uswahilini!!

Mzazi ambaye aliwahi kuishi uswazi hata siku moja hawezi kumruhusu mwanawe avae hicho kidude ... ni wakali balaa!! ... labda awe mwelewa sana!

MDBD
 
Bado hapo mi naona ni myth tu! ishu inabaki kuwa ni urembo tu kama urembo mwingine...siye ndo tunawatafsiri vibaya

kwa mwanaume mwneye akili timamu hawezi kumtafsiri mdada anayevaa kikuku kuwa anatoa tigo

hapa mbona watu wengine wanatoa tigo na hawavai hivo vikuku?

Mi binafsi napenda kuangalia uumbaji so anayekuwa amekivaa afu ana mguu unaoendana nacho basi huwa namfagilia kwa sana tu! Thanks Mrs wangu naye yumo!
 
Kaizer thats why nisema ni myth ya uswazi ... kama uliwahi kuishi then utakuwa unanielewa kwa urahisi tu.

btw, hata wangu pia anavaa kikuku cha gold, am ok with it!

Myth za uswazi ziko nyingi nadhani tukitengeneza documentary hapa itakuwa balaa! Fidel80 upo?

Hivi na wanavovalisha watoto yale mahirizi meusi kiunoni na mikononi si myth pia?
 
Kwa miaka hii huwezi kujua yupi mchafu yupi msafi!! M2 anaweza akavaa hvyo v2 kumbe cvyo wanavyo mfikiria, mwngne havai na uchafu unaufanya. Mambo ya utandawazi yanatupeleka pabaya sana WABONGO!!!!!!!!!!!!!!!! Nimawazo tu jamani
 
Kuna baadhi ya wadada (hata wamama) wanapenda kuvaa cheni au kiushanga kwenye mguu au miguu yote miwili. Nimejaribu kuuliza nikaambiwa ni mapambo tu. Baadhi ya watu wanasema ukiona hivyo ujue tigo inaruhusiwa hapo. Wataalamu wa haya mambo naomba mniweke wazi nisijechekwa mwenzenu.

na wanaume wenye kuvaa hereni tigo inaruhusiwa pia?
 
Back
Top Bottom