Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

Wahenga walishauri kwamba Mti mkubwa huangushwa kwa hatua ukianzia na matawi yake ndipo mwisho unakata shina na hatimaye unachimba kisiki na mizizi yake. Hatua (Awamu) ya Anguko la Urusi (zamani USSR)lilishakamilika (100%) kwa USSR kusambaratika na kubakiza jina la Urusi. Urusi ya sasa ( cf shina na kisiki) ndo hiyo kila siku ni vita isiyoisha. Itafika mahali (hatimaye) Urusi itanyong'onyea i.e itakuwa dhaifu na wananchi wake watachoshwa na vita na wataigeukia Serikali yao na kuwaondoa madarakani hao waliopo wapenda vita.
Badala yake Russia inazidi kukua na hao magharibi wanazidi kushuka.
 
USSR ilikua na mapandikizi ya tawala za kirumi ila Urusi yenyewe yatokea zamani haijawahi kuyumbishwa
 
Wahenga walishauri kwamba Mti mkubwa huangushwa kwa hatua ukianzia na matawi yake ndipo mwisho unakata shina na hatimaye unachimba kisiki na mizizi yake. Hatua (Awamu) ya Anguko la Urusi (zamani USSR)lilishakamilika (100%) kwa USSR kusambaratika na kubakiza jina la Urusi. Urusi ya sasa ( cf shina na kisiki) ndo hiyo kila siku ni vita isiyoisha. Itafika mahali (hatimaye) Urusi itanyong'onyea i.e itakuwa dhaifu na wananchi wake watachoshwa na vita na wataigeukia Serikali yao na kuwaondoa madarakani hao waliopo wapenda vita.
Marekani angepata mapigo kama aliyopitia mrusi kwa sasa lile taifa kila jimbo lingeomba kukusanya virago vyake na kujitegemea wenyewe, mjapan tu kuwapiga kidogo jamaa wakapanic hadi kwenda kutumia bomu la nyuklia
 
Ni kwa sababu wao ndio waliopanga mashambulizi.
OK; Kama Mrusi alijua kwamba wao ndo waliopanga mashambulizi, ni kwa nini na yeye(Mrusi) hakujipanga mapema ili kutoa mrejesho (counter offensive) kwa shambulizi hilo ili kuwaonesha kwamba yy ni zaidi?
 
Urusi hana haja ya kujidhihirisha yeye ni zaidi, vitendo vitaongea.
 
Lakin waliwapa taarifa mapema Russia wakapuuza
Kuwapa taharifa siyo hoja hata mchawi anaye kuroga anaweza kusema kuwa mtu furani anakuroga kumbe ni yeye ila anatumia trick kijificha
 
Ana
Kwani hizo nchi za Magharibi ndizo ziliombwa zimtaje Mhusika au ni mhusika mwenyewe (ISIS) alitamka kwamba yeye ndiye amehusika? Mbona ISIS na Marekani hawaendani ni vitu tofauti?
Aliyekuambia Ugairi kwa mtindo wa kidini Marekani hahusiki nani?. Alqaeda ilikuwa imeandaliwa na wai chini ya trained CIA Osama bin Lasen. Baadae wakafanya maigizo ya kuzika baharini.
Acha watwangane.
UN imetumika kuandaa nakiwezesha shambulio la kigaidi Israel oct 7 na Jews wamekuja kujua ndio maana hawana habari na UN.
 
Badala yake Russia inazidi kukua na hao magharibi wanazidi kushuka.
Kivipi aisee? eti Rusia inakua kwa kuvamia maeneo ya jirani zake na kuwatembezea ubabe wa kivita? Huko sio kukua bali ni kuonesha Ufinyu wa akili katika dunia ya sasa.
 
Kufuatia shambulia kubwa kwenye ukumbi wa starehe jijini Moscow ambapo kundi la ISIS lilijitaja kupitia vyombo vya magharibi kuwa ndilo lililohusika.Urusi imeonekana kutoshawishika na uozo wa taarifa hizo.

Watu kadhaa walikamatwa mara tu baada ya shambulio hilo kutokea ambapo watu zaidi ya 130 wamefariki dunia.

Tangu taarifa hizo za tukio na tuhuma za washukiwa kutoka nchi marafiki wa Ukraine kwa upande wake Urusi haijaonekana kutaja chochote kuhusu kikundi chochote cha kiislamu. Badala yake jeshi la Urusi limeshambulia kwa nguvu kubwa maeneo mbali mbali ya Ukraine yote. Shambulio ambalo ni kubwa kufanyika kwa siku za karibuni.

Kwa upande mwengine Urusi imeitaka Marekani isaidie kupatikana kwa wahusika kufuatia kauli yake kwamba Ukraine sio waliotekeleza shambulia hilo.
Link na picha ?
 
Mrusi bhana! Yani Mrusi usaidiwe habari bure bila kuomba (alimtonya japo sio rafiki yake)ili achukue Tahadhari. Sasa hiyo imekuwa nongwa eti tena sasa baada ya shambulio anamtaka Mmareekani amsaidie kuwakamata wahusika. Mrusi ni pasua kichwa. Hakuona umuhimu wa kuifanyia kazi ile taarifa ila sasa anaona amshinikize huyo huyo Mmarekani kutoa msaada wa kutafuta watuhumiwa. Anakimbilia haraka kutoa adhabu kwa Ukraine ambayo haikuhusika na shambulio.
Tulia wewe ni lazima marekani isaidie polisi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
ISIS inapigana upande wa ukrain kuna watu wa ilo kundi sasa jiulize ni kundi la nani?
Hivi ISIS inapigana upande wa Ukraine? Je, hayo ni kweli au unatuingiza chaka?
Hebu thibitisha hilo.
 
Back
Top Bottom