Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

Na wenyewe waendelee kupigwa kidogo kidogo namna hiyo ili wasikilizie maumivu wanayo sababisha kwa wengine
 
Hata wakiwapiga kwa nguvu haitasaidia maana tayari wapo vitani.

Russia nilikua nawaona wa maana sana kumbe hamna kitu aisee.

Mikwara mingi sana.
 
Russia haitotawalika mabomu yatalipuka kila kona acha acheze nao kiboko ya hao itikadi kali ni myahudi
Itikadi kali kama wameanza operation Moscow kabisa swali la kujiuliza kwa nini sasa?

Putin Kashinda uchaguxi tata wa kuwa Raisi kwa awamu nyingine wiki iliyopita

Yawezekana makundi yasiyokubali ushindi ule ndani ya urusi yameanza ku mu beep Putin kuwa hatukutaki mojawapo ya hayo makundi yawezekana ni ya waiskamu siasa kali walioko Russia Sababu Russia Pia waislamu wapo
 
Kuna dini Fulani watu wake Wana akili kama za pimbi.
 
Ila kwa Safari hii, nyani atatema bungo aisee. Subiri tuone.
Mjerumani kaanza kutema bungo,,,,powerhouse uchumi umeyumba wakati mrusi uchumi umekua,,,tena hii ishu ya Ukraine imemboost sana urusi na imeziangusha nchi za ulaya wamewekwa mtu kati huku marekani anawabinya kende na huku mrusi anawabinya,,,akiingia Trump nchi za ulaya kwisha kabisa
 
Russia siyo Afrika NATo wanataka kuitreat Russia kama Afrika
Hayo ni majaribio mbalimbali ya kuidhoofisha Russia lakini hapa mbinu imefeli kwa kiwango kikubwa kabisa
Maneno ya Marekani kuwa ukraine hausiki
Inatafsirika kwamba anayehusika wanamjua
Ndiyo maana ya kusema wasaidie kumtafuta muhusika

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ukishasema sio huyo kampiga mwenzake inamaana tukio la kupiga uliliona na aliyepiga ulimuona!
 
Anakwepesha wapi wakati hata hio ISIS ni chaka la haohao wamagharibi, halafu vimeo wakawa wanakimbilia Ukraine,,,,kichapo hawawezi kukwepa Ukraine na anaewasaidia
Kama vile yeye mwenyewe Russia ambavyo hawezi kukwepa kichapo.
 
Hivi ISIS inapigana upande wa Ukraine? Je, hayo ni kweli au unatuingiza chaka?
Hebu thibitisha hilo.
Ukrein inatumia kila bedui aliye tayari kufanya naye kazi ...nini kinacho kushangaza ...kumbuka marekani wakati wa vita ya dunia alitumia hadi magenge ya wauza madawa ya kulevya makubwa
 
Mrusi aendelee kumgonga ukraine hapo hapo kwenye ugoko
mwaka wa pili huu milipuko ndo inazid ndan ya urusi na washaanza uana wao kwa wao muda si mrefu mtaikataa iyoo urusi
 
Marekani angepata mapigo kama aliyopitia mrusi kwa sasa lile taifa kila jimbo lingeomba kukusanya virago vyake na kujitegemea wenyewe, mjapan tu kuwapiga kidogo jamaa wakapanic hadi kwenda kutumia bomu la nyuklia
jifunze kufuatilia hiyo urusi ni mchumba tu haijui hata civil war
 
Back
Top Bottom