Badala yake Russia inazidi kukua na hao magharibi wanazidi kushuka.Wahenga walishauri kwamba Mti mkubwa huangushwa kwa hatua ukianzia na matawi yake ndipo mwisho unakata shina na hatimaye unachimba kisiki na mizizi yake. Hatua (Awamu) ya Anguko la Urusi (zamani USSR)lilishakamilika (100%) kwa USSR kusambaratika na kubakiza jina la Urusi. Urusi ya sasa ( cf shina na kisiki) ndo hiyo kila siku ni vita isiyoisha. Itafika mahali (hatimaye) Urusi itanyong'onyea i.e itakuwa dhaifu na wananchi wake watachoshwa na vita na wataigeukia Serikali yao na kuwaondoa madarakani hao waliopo wapenda vita.
USSR ilikua na mapandikizi ya tawala za kirumi ila Urusi yenyewe yatokea zamani haijawahi kuyumbishwaWahenga walishauri kwamba Mti mkubwa huangushwa kwa hatua ukianzia na matawi yake ndipo mwisho unakata shina na hatimaye unachimba kisiki na mizizi yake. Hatua (Awamu) ya Anguko la Urusi (zamani USSR)lilishakamilika (100%) kwa USSR kusambaratika na kubakiza jina la Urusi. Urusi ya sasa ( cf shina na kisiki) ndo hiyo kila siku ni vita isiyoisha. Itafika mahali (hatimaye) Urusi itanyong'onyea i.e itakuwa dhaifu na wananchi wake watachoshwa na vita na wataigeukia Serikali yao na kuwaondoa madarakani hao waliopo wapenda vita.
Marekani angepata mapigo kama aliyopitia mrusi kwa sasa lile taifa kila jimbo lingeomba kukusanya virago vyake na kujitegemea wenyewe, mjapan tu kuwapiga kidogo jamaa wakapanic hadi kwenda kutumia bomu la nyukliaWahenga walishauri kwamba Mti mkubwa huangushwa kwa hatua ukianzia na matawi yake ndipo mwisho unakata shina na hatimaye unachimba kisiki na mizizi yake. Hatua (Awamu) ya Anguko la Urusi (zamani USSR)lilishakamilika (100%) kwa USSR kusambaratika na kubakiza jina la Urusi. Urusi ya sasa ( cf shina na kisiki) ndo hiyo kila siku ni vita isiyoisha. Itafika mahali (hatimaye) Urusi itanyong'onyea i.e itakuwa dhaifu na wananchi wake watachoshwa na vita na wataigeukia Serikali yao na kuwaondoa madarakani hao waliopo wapenda vita.
OK; Kama Mrusi alijua kwamba wao ndo waliopanga mashambulizi, ni kwa nini na yeye(Mrusi) hakujipanga mapema ili kutoa mrejesho (counter offensive) kwa shambulizi hilo ili kuwaonesha kwamba yy ni zaidi?Ni kwa sababu wao ndio waliopanga mashambulizi.
Ila kwa Safari hii, nyani atatema bungo aisee. Subiri tuone.USSR ilikua na mapandikizi ya tawala za kirumi ila Urusi yenyewe yatokea zamani haijawahi kuyumbishwa
Urusi hana haja ya kujidhihirisha yeye ni zaidi, vitendo vitaongea.OK; Kama Mrusi alijua kwamba wao ndo waliopanga mashambulizi, ni kwa nini na yeye(Mrusi) hakujipanga mapema ili kutoa mrejesho (counter offensive) kwa shambulizi hilo ili kuwaonesha kwamba yy ni zaidi?
Kuwapa taharifa siyo hoja hata mchawi anaye kuroga anaweza kusema kuwa mtu furani anakuroga kumbe ni yeye ila anatumia trick kijifichaLakin waliwapa taarifa mapema Russia wakapuuza
Russia haitotawalika mabomu yatalipuka kila kona acha acheze nao kiboko ya hao itikadi kali ni myahudiLakini mbona ISIS wamekiri kuhusika? Mrusi anaogopa nini kuwajibu wahusika?
Aliyekuambia Ugairi kwa mtindo wa kidini Marekani hahusiki nani?. Alqaeda ilikuwa imeandaliwa na wai chini ya trained CIA Osama bin Lasen. Baadae wakafanya maigizo ya kuzika baharini.Kwani hizo nchi za Magharibi ndizo ziliombwa zimtaje Mhusika au ni mhusika mwenyewe (ISIS) alitamka kwamba yeye ndiye amehusika? Mbona ISIS na Marekani hawaendani ni vitu tofauti?
Kivipi aisee? eti Rusia inakua kwa kuvamia maeneo ya jirani zake na kuwatembezea ubabe wa kivita? Huko sio kukua bali ni kuonesha Ufinyu wa akili katika dunia ya sasa.Badala yake Russia inazidi kukua na hao magharibi wanazidi kushuka.
ISIS inapigana upande wa ukrain kuna watu wa ilo kundi sasa jiulize ni kundi la nani?Lakini mbona ISIS wamekiri kuhusika? Mrusi anaogopa nini kuwajibu wahusika?
Link na picha ?Kufuatia shambulia kubwa kwenye ukumbi wa starehe jijini Moscow ambapo kundi la ISIS lilijitaja kupitia vyombo vya magharibi kuwa ndilo lililohusika.Urusi imeonekana kutoshawishika na uozo wa taarifa hizo.
Watu kadhaa walikamatwa mara tu baada ya shambulio hilo kutokea ambapo watu zaidi ya 130 wamefariki dunia.
Tangu taarifa hizo za tukio na tuhuma za washukiwa kutoka nchi marafiki wa Ukraine kwa upande wake Urusi haijaonekana kutaja chochote kuhusu kikundi chochote cha kiislamu. Badala yake jeshi la Urusi limeshambulia kwa nguvu kubwa maeneo mbali mbali ya Ukraine yote. Shambulio ambalo ni kubwa kufanyika kwa siku za karibuni.
Kwa upande mwengine Urusi imeitaka Marekani isaidie kupatikana kwa wahusika kufuatia kauli yake kwamba Ukraine sio waliotekeleza shambulia hilo.
Tulia wewe ni lazima marekani isaidie polisi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mrusi bhana! Yani Mrusi usaidiwe habari bure bila kuomba (alimtonya japo sio rafiki yake)ili achukue Tahadhari. Sasa hiyo imekuwa nongwa eti tena sasa baada ya shambulio anamtaka Mmareekani amsaidie kuwakamata wahusika. Mrusi ni pasua kichwa. Hakuona umuhimu wa kuifanyia kazi ile taarifa ila sasa anaona amshinikize huyo huyo Mmarekani kutoa msaada wa kutafuta watuhumiwa. Anakimbilia haraka kutoa adhabu kwa Ukraine ambayo haikuhusika na shambulio.
Kwani ISIS ni Mujahedeen?Russia wanamuogopa mjahideen ndo maana wanakwepesha magoli, hawajasahau kilichowapata Afghanistan enzi zile
πππππππTulia wewe ni lazima marekani isaidie polisi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Una uhakika na taarifa ya mleta mada au umevamia tu uzi na kubazi zakoWatandikwe tu hao Ukraine mpaka wataje nani kafanya shambulio la kigaidi ndani ya Russia
Hivi ISIS inapigana upande wa Ukraine? Je, hayo ni kweli au unatuingiza chaka?ISIS inapigana upande wa ukrain kuna watu wa ilo kundi sasa jiulize ni kundi la nani?
Kundi la kislamu lenye msismamo mkaliKwani ISIS ni Mujahedeen?
Urusi inajikomba kwa Irani wanaowasaidia silaha na drones za IranWanataka kukwepesha adhabu kuwatupia kesi ISIS