Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

Haihitaji elimu ya chuo kikuu kutambua ukraine inahusika maana ndio walikua busy kuwatorosha wapigwee mpaka wamalizwe!
 
Kama ni hivyo anaenda kwa mnyonge wake Ukraine na wala siyo wengine wa Magharibi!
Hata walioshikwa kwani walikua wanakimbilia Ufaransa? Watapeleka salamu kwa mabwana zao
 
Lakini mbona ISIS wamekiri kuhusika? Mrusi anaogopa nini kuwajibu wahusika?
ISIS ni group liloundwa na Obama na Hillary Clinton hata Trump alikiri hayo ilikuwasaidia Israel.

Kwa hio Mrusi wacha awapige tu hao Ukraine ndio hao hao
 
Inasikitisha saaana, nchi za Ulaya zinaonekana kama mafala fala vile hasa baada ya kushurutishwa na Merikani kujiingiza blindly ku-support vita ambavyo havina kichwa wala miguu - wakijua wazi wazi kwamba zelensky hana ubavu wa kumshinda kijeshi mrusi wanacho taka wao ni kuendeleza vita kwa muda mrefu waki amini hilo tu lita dhoofisha kijeshi na kiuchumi Russia bado wapo kwenye ndoto za mchana - Urusi taifa nyingine.
 
ISIS ni group liloundwa na Obama na Hillary Clinton hata Trump alikiri hayo ilikuwasaidia Israel.

Kwa hio Mrusi wacha awapige tu hao Ukraine ndio hao hao
Marekani wameitesa sana dunia na dude lake hili la isis baada ya kulitaliki dude la mwanzo Alqaeda.
Lakini Urusi sio Afrika
 
Marekani walipotoa tahadhari kuwa kuna shambulio la kigaidi litatokea walikuwa na taarifa zote! Nadhani wanataka kuiondoa Russia kwenye focus yake ya kutimiza malengo yake Ukraine.
 
Mbona Putin Hana marinda na anatoa kichapo
Angekua hana angeruhusu kama wale wakina NATO na wenzake,,,,utakatazaje starehe yako,,,,,,,,mnachopigania ili muwe kama huyo mwenzenu......
 
Lakin waliwapa taarifa mapema Russia wakapuuza
Taarifa marekani walipata wapi? Au ndio ule msimo wa ' umeniibia penseli yangu alafu unanisaidia kuitafuta'

Marekani ahache kubwekabweka ovyo. Wausika wa mauwaji tumeshawatia mkononi. Watatapika kila kitu na kila aliyehusika ataadhibiwa
 
Kwani hizo nchi za Magharibi ndizo ziliombwa zimtaje Mhusika au ni mhusika mwenyewe (ISIS) alitamka kwamba yeye ndiye amehusika? Mbona ISIS na Marekani hawaendani ni vitu tofauti?
Wewe jamaa ni jinga sana. Mwamba Putin hayumbishwi na miluzi mingi
 
Russia wanamuogopa mjahideen ndo maana wanakwepesha magoli, hawajasahau kilichowapata Afghanistan enzi zile
Hao imujahideena si ndio walikuwa wanatumiwa na magharibi kumuondoa Ahsad?
 
Yeye ni nani kwanza kukunyamazisha

Nakubali mwamba watu wanajifanya mods humu pumbavu zao
 
Kwani hizo nchi za Magharibi ndizo ziliombwa zimtaje Mhusika au ni mhusika mwenyewe (ISIS) alitamka kwamba yeye ndiye amehusika? Mbona ISIS na Marekani hawaendani ni vitu tofauti?
Marekani na washirika wake watawachezea akili watu vilaza kama wewe ila sio Putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…