Urusi huenda imebakia na nguvu ya mashambulizi kutoka angani tu, ardhini pumzi imekata?

Unapolinganisha Ukraine na Urusi, ujue kuna tatizo hapo. Elewa kuwa Ukraine ilikuwa na silaha nyingi za Nuclear baada ya USSR kuvunjika lakini walizigawa kwa urusi kwa makubaliano kuwa Urusi haitawashambulia majirani zake. Soma Budapest Memorandum iliwekwa sahihi tarehe 5 Dec 1994 hapa. Urusi imevunja mkataba huo! ndiyo maana sasa inabidi Ukraine ianze upya, na hiyo misaada wanaipata kwa kufutana na makubaliano ya hiyo Budapest Memorandum kama huji.





Na soma article hii hapa chini upate mwangaza zaidi.
 

Attachments

Kuna vitu vingi vya kufikirika umeviandika hapa, sidhani kama ni mambo halisi.

Kwa mfano, kuhusu Ukraine kusaidiwa kijeshi na nchi nyingine, Russia ilishaonya toka kitambo kuwa nchi yoyote itakayojiingiza kwenye hii vita kwa kuisaidia Ukraine basi nayo itashambuliwa, sasa kwanini Russia asizishambulie hizo nchi?

Ni vipi umlaumu Biden kwenye hii vita wakati mwanzilishi wa vita ni Russia na hataki kusitisha vita?
 
Ardhini wameuwawa wengi mno; mpaka sasa hivi wanafikia Takribn 15,000 ambao ni karibu divison mbili ukijumuisha na majenerali saba pamoja na makanari wapato 20; jeshi gani hilo. Jamaa hawajui vita ya ardhini kabisa, walikuwa wanaendesha vifaru barabarani kama wako mitaanbii vikawa vinabondwa kama vibuyu.

Hata angani pia hawapeleki ndege na helicopter kwani nazo zimeangushwa kama kasuku. Wanachotumia sasa hivi ni makombora ya mbali tu, wanayarusha kutokea kwenye manowari huko Black Sea.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] maneno meeeeeeeeeeeeeeeengi.
 
Hii sijui chanzo chako umetoa media gani.
Ogopa propaganda za vita.
Nadhani anasikiliza sana BBC, VOA, na DW, ambazo Trump aliziita fake news za nchi za magharibi. Ukweli ni kwamba Ukraine inaharibiwa sana (angalia mji km Mariupol) ambapo wapiganaji wenye itikadi za kinazi walijichimbia, umeharibiwa kiasi kwamba kuujenga tena itachukua zaidi ya miaka 50!
 
Hapo kichwan hamna kitu

Ingekua 80% ya nguvu ya jeshi ya Ukraine imeteketezwa s Ukraine yote ingekua chini ya Urus? Yani 20% ya nguvu inaizuia urusi ishindwe chukua hata mji mmoja ??

Nyie ndio mnasababisha CCM inaendelea kudunda.. ujinga mtupu
 
Ukitoka hapa kajifunze kidogo kuhusu Venezuela alafu jipige kifua useme mjinga mm

Venezuela n taifa linaloongoza kwa reserve ya mafuta dunia ,. Lina mafuta mara nne ya Russia

Lilikua namba 5 dunian kwa uchumi .. jeur zikawapanda kichwan wakidhan hawagusiki

Wapigwa vikwazo vya uchumi kutokea 2014 leo 2022 Zimbabwe n tajiri kuliko Venezuela

Wewe ruka ruka weee na jeuri zako ila tu kikwazo baada ya kikwazo , utanyooka tu .. hayo ma supersonic yatabak kama matoi tu ya kuchezea watoto
 
Hakuna taifa lenye akili timamu litakalo msapot mrusi , sana sana wata kaa kimya tu

Mmarekan kila mwaka anaingiza china sio chini ya $800 bilion , Mrusi anachoingiza china n riba ya mikopo tu ambayo haizid $10 Bilion... Yan china apoteze Biashara ya karibu $900 Bilion kwasababu ya $10 Bilion?? Hakuna mtu mjinga kias hicho ww
 
Chenchen waliishia wapi?
 
Umejaribu kutaka kujificha usijulikane unashabikia upande gani lakini umefeli vibaya sana🤣🤣
 
Russia kaishambulia Ukraine kwasababu Ukraine wamevuja mkataba wa kutaka kujiunga na NATO. Hizo chokochoko za kushambuliwa zimeanzishwa na wao hivyo Russia hana kosa hapo
 
Hapo kichwan hamna kitu

Ingekua 80% ya nguvu ya jeshi ya Ukraine imeteketezwa s Ukraine yote ingekua chini ya Urus? Yani 20% ya nguvu inaizuia urusi ishindwe chukua hata mji mmoja ??

Nyie ndio mnasababisha CCM inaendelea kudunda.. ujinga mtupu
[emoji16][emoji16]
 
Aisee
 
Minne tena kwa sleepy Joe.
 
Urusi wapo vizuri tuu, shida ni Ukraini wanajeshi kujichanganya na Raia, inaleta shida kwa Urusi kufanya upembuzi yakinifu kwa vita ya aridhini. Ndio maana Urusi ameona isiwe tabu ngoja atokee angani sasa.
Raia hawapo vitani, Raia wamejificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…