Urusi huenda imebakia na nguvu ya mashambulizi kutoka angani tu, ardhini pumzi imekata?

Mrusi kaniabisha sana baghosha yaani anazidiwa mpaka na m23
 
Siyo Quarter yenyewe tu, bali hata Saudi Arabia, Hungary na CHINA wamemkatalia USA kumuwekea vikwazo RUSSIA vya kibiashara hasa kutonunua gesi.
 
Unabadilika badilika kwa maelezo yako hata hujui chochote unachosimamia, we kaa kimya tu.
Wazazi wako bora wangepiga nyeto tu kuliko kutuletea takataka

Najua umechanganya watu ila kwakua adabu huna acha upigwe tu
 
Gesi anayotaka USA kuwauzia EU itakuwa ikisafirishwa kwa meli, utalinganisha na Nord stream 1 ambayo husambaza na kuuza EU kwa zaidi ya 45%
 
Ni kwa sababu Habari za vita za Marekani huwa haziko wazi sana. Hizi habari zidi ya Urusi zinaongezewa chunvi sana na vyombo vya habari vya USA na Ulaya.
 
Muda unaoandika huu upuuzi uelewe kabisa kuwa ni RUSSIA pekee ndiye mwenye bomu la kuweza kuteketeza dunia nzima, punguza mahaba kwa USA utakufa kabla ya siku zako wewe Mmarekani toka Kigilagila [emoji28]
 
Weka huo ushahidi hapa na usitokee VOA, DW, ALJAZEERA, FRANCE 24 HRS, BBC wala CNN, maana propaganda zao za chuki toka kwa RUSSIA zinafahamika.
 
"Eti ndiyomaana Ukraine imewaacha wanajeshi wa RUSSIA waingie Ukraine" toka wewe pepo mahaba [emoji1787]

Uko vitani unamruhusu Mtu aingie langoni pako na silaha za maangamizi bila ya kumzuia sababu hujui aina ya silaha na mbinu atazotumia, hivi ni akili zako kabisa [emoji848][emoji1787]
 
Yani Russia ana wanajeshi 190, 000 tu kuliko Ukraine mwenye wanajeshi 2 M?
 
Mbona unajidanganya?
 
Nimekueleza mzee kwenye vita na nchi kama Russia huo uchumi utausoma kwenye makaratasi, nchi kama NK ni masikini lakini wanaogopwa si mchezo.

Na wanavunja sheria kila siku makusudi, Trump alienda kujipendekeza waonane na Kim kisa uoga tu, wanajua any time wakikachefua kanaweka vitu.

Russia ina silaha za maangamizi nyingi zaidi.
Quality ya silaha ndio vichekesho, hakuna sehemu US alifanya upuuzi kama lile li ndege linaitwa F35, kila siku yanaanguka ovyo, ukikuta wanaipigia domo ni hatari, ilete sasa vitani ni kopo la mkaa.

Syria hawana s400, hio wanayo Russia tu kwa ajili ya kulinda kambi yao.

Mitambo ya ngao za anga huko Saudi ni kama makopo tu, wanalipuliwa na migambo kila kukicha, base ya US kule Iraq ilipigwa na makombora ya Iran yote yalitua, sema kwa sababu Iran walitoa taarifa hivyo hakuna aliyedhurika zaidi ya vifaa kuungua.

Russia ndio nchi ya kwanza kufika mwezini, ndio nchi ya kwanza duniani na muanzilishi wa kile kituo cha anga kinaitwa ISS ambapo hivi sasa ni joint ya nchi nyingi duniani.

Russia ni mshindi wa vita kuu ya pili ya dunia.

Hivyo mkuu, wale jamaa usiwazungumzie kama umekunywa ulanzi, hao ni super power na China imejifunza vingi tokaa kwao hasa military tech.

US hana silaha Russia hana, huo ndio ukweli.
 
Hata mimi mkuu sikujua hii impact ya uchumi ingefika mpaka huku, lakini tatizo magharibi wanamiliki vyombo vya habari vikubwa na vyenye ushawishi, halafu wana umoja na wakiamua kukifanyia jambo flani campaign lazima watu waamini, wana nguvu kubwa mno ya media.

Tunaaminishwa kwamba Russia ni masikini na wana jeshi bora, lakini baada ya hizi sanctions imedhihirika kwamba Russia ni super power kiuchumi na kijeshi, huwezi kuwa huna kitu kama west wanavyosema halafu unampa Russia sanctions halafu zinakurudia.

Russia ina nguvu kubwa mno walichokosa ni nguvu ya vyombo vya habari full stop.

Ulaya hapakaliki mpaka US, madereva wa Tax wanalalama hovyo, hio ndio Russia.
 
Ni kwa sababu Habari za vita za Marekani huwa haziko wazi sana. Hizi habari zidi ya Urusi zinaongezewa chunvi sana na vyombo vya habari vya USA na Ulaya.
Siyo kweli kwa sababu kila askari wa Marekani anayeuwawa vitani lazima mwili wake urudishwa nyumbani na upokelewa na rais ambaye atakabidhi bendera ya Marekani kwa mjane wa marehemu au ndugu yake wa karibu. halafu elewa pia kuwa wakati wa mapambano, wamarekani huruhusu waandishi wa habari kuwafuatilia. Siypo Putin anayefich hata hataki kupokea miili ya wanajeshi wake waliouwawa vitani. Sasa hivi kapiga marufuku kuwa mtu akisema kuna vita ukraine, atafungwa miaka 15 jela !
 
Wabongo kwa chai za kijinga hamjambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazikuwapo na wala wale waasi hawakuwa wanasaidiwa na marekani. Lengo la Marekanikule ilikuwa ni kumtafuta kiongozi wa ISIS na walimpata.
Habari ya kuwasaka ISIS no cover story tu.
Mbona walikuwa wamewekeza kulinda visima vya mafuta maeneo ambayo serikali ya Syria ilikuwa imepoteza udhibiti sababu ya uasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…