tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Matusi ya nini mkuu, ungekuwa sio kiazi ungetueleza maana ya vita unayoijua wewe.Wewe ni kiazi kweli ulitaka alipue nini au vita ni nini
Kuwa mstaarabu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi ya nini mkuu, ungekuwa sio kiazi ungetueleza maana ya vita unayoijua wewe.Wewe ni kiazi kweli ulitaka alipue nini au vita ni nini
Kamuulize.Wewe alikwambia mission yake ni nini
Mkuuu unanikumbusha mbali sana,nakumbuka mzee baba alitajaga rais wa KUWAIT,[emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] [emoji1]Tuambie raisi wa iraq ni nani
Siyo Quarter yenyewe tu, bali hata Saudi Arabia, Hungary na CHINA wamemkatalia USA kumuwekea vikwazo RUSSIA vya kibiashara hasa kutonunua gesi.Usiwe mbishi, raia wanaoishi mpakani wanavuka kuingia Mexico kuchukua mafuta, usiwe mbishi.
Vikwazo Russia walijua miaka 10 nyuma kwamba kuna siku kuna hili jambo litatokea, walishajiandaa kisaikolojia.
Ujinga wa US ni kuchukua hatua ambazo zinatabirika, kwa hilo watu wanajipanga na mahesabu makali, hata Putin alisema watapita sehemu ngumu lakini kwaa muda tu.
Ni mwezi mmoja to EU hali ni mbaya, sasa ngoja ipite hata miezi 6 uone EU kama hawajanunua gas kwa ruble.
Qatar wenyewe wamesema, hakuna namna ya kuziba sehemu ya Russia imeacha.
Wazazi wako bora wangepiga nyeto tu kuliko kutuletea takatakaUnabadilika badilika kwa maelezo yako hata hujui chochote unachosimamia, we kaa kimya tu.
Gesi anayotaka USA kuwauzia EU itakuwa ikisafirishwa kwa meli, utalinganisha na Nord stream 1 ambayo husambaza na kuuza EU kwa zaidi ya 45%Tuanzia hapa, uchumi wa Urus ni $1.4 Trillion USD
Budget ya jeshi USA ni $1 trillion .. let that sink in first
Haya tuendelee
Tatizo lako husomi , gas anayo supply Russia ulaya USA pekee anaweza i replace , kasome habari za juz na jana mpango USA kuuza gas ulaya
Hayo mataifa ya ulaya yanamtegemea USA kupitiliza ,Russia zaid ya kuwauzia vitu ambavyo wanaweza vipata pengine hakuna anachowapa,
USA Ana uwezo wa kuwaamrisha mataifa makubwa hayo yasifanye Biashara na Russia na yakatii including China
China kila mwaka anafanya Biashara USA zenye thaman ya almost $900 Bilion.. wakat huo huo china anacho faidika na Urusi n kuwakopesha tu , riba ya few $ Bilion .. sasa je, ingekua n ww , uko tayari upoteze Biashara ya almost a trillion dollars kwasababu ya riba ya dola Bilion 10??
Acha utani , USA n USA full stop
Ni kwa sababu Habari za vita za Marekani huwa haziko wazi sana. Hizi habari zidi ya Urusi zinaongezewa chunvi sana na vyombo vya habari vya USA na Ulaya.Jeshi la Ukraine limefundishwa na Marekani baada ya kuvamiwa Crimea, angalia linavyowachachafya warusi. Hujawahi kusikia hata siku moja General wa Jeshi la Marekani anauwawa vitani au kushikwa mateka. Kama uko karibu na askari yeyote wa JWTZ mwulize maana ya kamanda cheo cha kanali au General kuuwawa vitani. Kurusha makombora ya mbali siyo ujuzi wa vita.
Muda unaoandika huu upuuzi uelewe kabisa kuwa ni RUSSIA pekee ndiye mwenye bomu la kuweza kuteketeza dunia nzima, punguza mahaba kwa USA utakufa kabla ya siku zako wewe Mmarekani toka Kigilagila [emoji28]Tukizama sana huku tutoka nje , PPP ina uhusiano wa moja kwa moja na GDP ya taifa , utakuta taifa lama Luxembourg wako pazuri kuliko china au USA
Inawezekana kweli technology aliyo nayo USA na Mrusi anayo, lkn n katika kiwango kipi? Na pia uwezo wa kupigana, Russia akapigana na USA leo , vita itapigwa hapo hapo Urusi, marekan yatapigwa maslah yake tu ila yenyewe iko salamaa
Weka huo ushahidi hapa na usitokee VOA, DW, ALJAZEERA, FRANCE 24 HRS, BBC wala CNN, maana propaganda zao za chuki toka kwa RUSSIA zinafahamika.Ukifuatilia tangu awali urusi alisema anamalizana na Ukraine mapema sana na sasa umekatika mwezi. Kwa nini nisiamini kwamba Ukraine anaweza kushinda maana sijaona cha ziada kwa urusi zaudi ya kulipua makazi ya watu na baadhi ya wanajeshi wa Ukraine kuuwawa. Pamoja na hayo bado Ukraine inaua wanajeshi wa urusi na pia vifaa vyao vya kivita vinahatibiwa kila siku.
"Eti ndiyomaana Ukraine imewaacha wanajeshi wa RUSSIA waingie Ukraine" toka wewe pepo mahaba [emoji1787]Nikishasikia mtu anajenga hoja kwa kutumia neno 'Western propaganda' naachana nae.
Mission ya Russia ni kuivamia Ukraine, hakuna sehemu Ukraine amesema anataka kuisambaratisha Russia kwa kutumia missile bali wamesema watajilinda dhidi ya uvamizi. Ndio maana battle field imekuwa hapo Ukraine.
Ndio maana Ukraine imewaacha wanajeshi wa Russia waingie Ukraine ili wachapike vizuri.
Kiuhalisia Ukraine hana uwezo wa kuivamia Russia ila mbinu za Russia kuivamia Ukraine ndizo zimewafanya wachapike vizuri.
Yani Russia ana wanajeshi 190, 000 tu kuliko Ukraine mwenye wanajeshi 2 M?Rais wa Ukraine ata-declare neutrality, na kipande cha Ukraine kitachukuliwa na Urusi.
NATO hataki kukaa Ukraine, najua hizo ni ndoto za watu wengi lakini ni vyema kuishi katika ukweli.
Hata Kamuzu Banda alilitaka ziwa Nyasa lote, lakini ilibidi aukubali ukweli.
Hata USA operations zake zote mpaka akaanza kuingia mtaa kwa mtaa, the shortest was 42 days.
Russia ana wanajeshi 190,000 Ukraine. Jumla ya wanajeshi wake wote ni 1.1 million, na reservists about 2 million.
Tuishi kwenye ukweli.
Wazazi wako wala si wazazi wangu.Wazazi wako bora wangepiga nyeto tu kuliko kutuletea takataka
Najua umechanganya watu ila kwakua adabu huna acha upigwe tu
Rudia tena kusomaYani Russia ana wanajeshi 190, 000 tu kuliko Ukraine mwenye wanajeshi 2 M?
Mbona unajidanganya?Tukizama sana huku tutoka nje , PPP ina uhusiano wa moja kwa moja na GDP ya taifa , utakuta taifa lama Luxembourg wako pazuri kuliko china au USA
Inawezekana kweli technology aliyo nayo USA na Mrusi anayo, lkn n katika kiwango kipi? Na pia uwezo wa kupigana, Russia akapigana na USA leo , vita itapigwa hapo hapo Urusi, marekan yatapigwa maslah yake tu ila yenyewe iko salamaa
Nimekueleza mzee kwenye vita na nchi kama Russia huo uchumi utausoma kwenye makaratasi, nchi kama NK ni masikini lakini wanaogopwa si mchezo.Kama utakumbuka nimekuuliza. Inawezekana technology aliyo nayo USA na Mrusi anayo lkn m kwa kias gani? Inawezekana wote tuna armoured vehicles lkn ww una 1,000 mm nina 20k .. hata kama zina capacity moja nitakushinda tu
Mfumo wa urus s400 inawezekana ndio bora ila je , una uwezo wa kuhimil mashambuliz kias gani. anga la Syria linalindwa na mrusi lkn kila siku Israel anadondosha makombora tu Syria
Hiyo inatuambia kwamba hii mifumo haifanyi kazi at 100%
Yes, yana weza intercept missiles .. sawa je, zikija 20 kwa pamoja una mtambo wa kurusha kombora 20 at per ku intercept hizo? Iweze pick moja ifanye calculations za kila moja na ku pin point kila moja litakapo pita ikali intercept??
Economically , USA is superior to everyone..
Pale marekan pekee kuna majimbo yana uchumi mara tatu ya Russia , kuna majimbo matatu kama sio manne yana uchumi mkubwa kuliko Russia , huwez pigana vita ya namna hii, USA inaweza weka mezan budget ya vita vs Russia ambayo n kubwa kuliko uchumi wa Urus yote
Kitu ambacho kinaweza sababisha tusije ona vita kati ya USA na Russia n makombora ya Nuclear, Ukraine ilifanya makosa makubwa sana kumpatia Russia hayo mavitu
Hata mimi mkuu sikujua hii impact ya uchumi ingefika mpaka huku, lakini tatizo magharibi wanamiliki vyombo vya habari vikubwa na vyenye ushawishi, halafu wana umoja na wakiamua kukifanyia jambo flani campaign lazima watu waamini, wana nguvu kubwa mno ya media.dah,mawazo mengine hatari sana,kuifananisha urusi na venezuela,inamaana hujiulizi hata kidogo kuwa urusi ni nani?ulaya na marekani wamemwekea vikwazo,lakini ghafla vitu vimepanda bei ulaya yote na marekani kwenyewe,mpaka wananchi wanaandama,jifikirishe walau kidogo tu,nguvu ya urusi kiuchumi hapa duniani.dunia nzima vitu vimepanda ovyo ovyo.
Siyo kweli kwa sababu kila askari wa Marekani anayeuwawa vitani lazima mwili wake urudishwa nyumbani na upokelewa na rais ambaye atakabidhi bendera ya Marekani kwa mjane wa marehemu au ndugu yake wa karibu. halafu elewa pia kuwa wakati wa mapambano, wamarekani huruhusu waandishi wa habari kuwafuatilia. Siypo Putin anayefich hata hataki kupokea miili ya wanajeshi wake waliouwawa vitani. Sasa hivi kapiga marufuku kuwa mtu akisema kuna vita ukraine, atafungwa miaka 15 jela !Ni kwa sababu Habari za vita za Marekani huwa haziko wazi sana. Hizi habari zidi ya Urusi zinaongezewa chunvi sana na vyombo vya habari vya USA na Ulaya.
Wabongo kwa chai za kijinga hamjamboAnga linafungwa na nini? Kufuli za Solex ama?
Kuna nchi za kufungia anga kama Libya ila sio Russia.
Unaifahamu Tu-160? Ka google usome, hio ni bomber ambayo supersonic inapiga mach 2.05 at altitude.
Inabeba ton 20 ya free falling body ikiwemo silaha za nuclear cause ni nuclear capable bomber.
Ndio ndege yenye kasi zaidi, kubwa zaidi ya kijeshi na nzito zaidi kuwahi kuruka ambayo ina sweep wing.
Nimesema hio ndege ni supersonic kwenye speed kali licha ya ukubwa wake, mbawa zake huwa zinarudi nyuma inakua kama Mig.
Ikiwa slow inapanua mbawa zake kama Boeing 787 au ndege ya abiria ya kawaida.
Hio ndege ina uwezo wa kuipiga Kiev kukabaki shimo baadae kizazi kijacho wakaja kudhani kuna kimondo kilitua kama kule Arizona. Tena inapiga nje kabisa ya anga umbali wa km 5500.
Kumbuka hizo wanazo zaidi ya 60.
Kuna kitu kinaitwa s500 kuna mdau mmoja amesema humu ina uwezo wa kuzuia hata punje ya mchele[emoji23][emoji23][emoji23], mi namuunga mkono, kwa maana s500 inashusha satellite.
Kama radar inaona tone la mvua basi hata punje ya mchele ukiirusha tokea Kiev itaonekana tu ikiingia Russia.
Nato haina uwezo wa kuifungia Russia anga.
Ndio maana nikasema labda wafunge na kufuli.
Unaposikia Russia wanasema wanafanya operation ujue wanafanya operation.
Putin hataki kuichukua Ukraine iliyo vipande vipande anaitaka nzima nzima, na Ukraine.
Kwa hio mkuu Russia si nchi ya mchezo mchezo kwenye vita.
Halafu huwezi kumpangia mtu kushambulia vipi.
Habari ya kuwasaka ISIS no cover story tu.Hazikuwapo na wala wale waasi hawakuwa wanasaidiwa na marekani. Lengo la Marekanikule ilikuwa ni kumtafuta kiongozi wa ISIS na walimpata.