Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Bro umeharibu mada umeleta kimahaba .
 
Dunia inahitaji russia iliyo imara kuliko wakati wowote. Uwepo wa Vladimir Putin pale Kremlin ni kitu kinachoitesa sana marekani.
For what bro Russia asha choka now .pia si sawa kwa Russia kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru ya ukrain.
 
U.S.A ana mchongo mkubwa kwenye vita ya pili ya dunia ndiye aliye geuza upepo sababu ulaya yote ikiwemo Urussi ujerman alisha fika hadi kwenye miji mikuu yao.pia Pia ukichek east Russia alishindwa na Japan.Ni wongo usiona facta eti Marekan aiyogopa russia. which russia bro?
 
Na wiki iliyopita mchina nae kapitisha madege ya kivita ya kutosha taiwan.........hii kitu ikilipuka Mmarekani atakua na kazi kubwa sana na vibaraka wake......huku amlinde taiwan upande wa huku kuna Ukraine na bado Iran anakula chabo tu
Unaichulia poa Taiwan?uliza China echezea kichapo zaidi ya mara nne.
 
akiwa huko cuba na venezuela kwenye shughuli zake nyingi ataendelea kutumia dola ya marekani. urusi ambacho uwa kinamshinda kwa marekani ni nguvu ya kiuchumi na allies wa marekani ambao pia wako vizuri kiuchumi. unaweza kuwa na silaha ila njaa ikakufanya ushindwe vita. wakiminya uchumi wa urusi dakika anayoosha mikono.
 
Usidanganyike urusi Hana njaa sio masikini Yule ni dunia ya Kwanza Mpka kitechnologia.anauwezo wa kufanya chochote.
 
Unaichulia poa Taiwan?uliza China echezea kichapo zaidi ya mara nne.
Zaidi ya mara 4 wangekimbia kule mainland na kwenda kujificha kwenye hako kakisiwa? Na wasingekua wanalialia kwa mabwana zao wawasaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…