Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Kwanza, hiyo habari kwamba Warusi walikuwa wakitumia silaha zao wenyewe umeitoa wapi? Kwa taarifa yako, walitumia silaha za mataifa mengi tu. Walitumia silaha za Mmarekani, walitumia silaha za Muingereza, walitumia silaha kutoka Canada n.k. Isipokuwa, idadi kubwa ya misaada ilitoka Marekani. Na sio misaada ya silaha na vyakula tu, ni pamoja na misaada ya kiintelijensia.

Misaada ya silaha ilitumika katika vita ya kuyaondoa majeshi ya Hitler yaliyokuwa yameuteka mji wa Stalingrad, kisha kuelekea Berlin baada ya uvamizi wa Ujerumani wa iliyokuwa Soviet Union uliofanyika mwaka 1941.

Soma historia kuhusiana na Battle of Stalingrad ya mwaka 1942. Mji wa Stalingrad ulikuwa mji muhimu sana wa kiviwanda wa Soviet Union. Hii vita ndio ilimzuia Mjerumani kuingiza majeshi yake ndani zaidi na kuteka maeneo mengi zaidi ya USSR.

Stalin amewahi kunukuliwa publicly akisema kwamba, isingekuwa kwa silaha za Wamarekani, ushirika wetu usingeweza kushinda vita ya pili ya dunia. Sio huyo tu, pia baadhi ya majenerali wa jeshi, watu maarufu na wanahistoria wa Urusi wamewahi kusema hivyo. Miongoni mwao ni aliyekuwa kiongozi wa chama cha kikomunisti cha Soviet Union, Nikita Khrushchev pamoja na Jenerali Georgy Zhukov aliyeiongoza Red Army ya USSR dhidi ya majeshi ya Hitler. Hiyo asilimia 80 wewe umeitoa wapi?
Mzee ebu pitia hapa usitulete taarifa za uwongo ndugu.hakuna hata silaha moja unyosema
Screenshot_20220208-212311.jpg
Screenshot_20220208-212333.jpg
Screenshot_20220208-212402.jpg
Screenshot_20220208-212428.jpg
Screenshot_20220208-212456.jpg
Screenshot_20220208-212614.jpg
Screenshot_20220208-212605.jpg
Screenshot_20220208-212521.jpg
 
Kwanza, hiyo habari kwamba Warusi walikuwa wakitumia silaha zao wenyewe umeitoa wapi? Kwa taarifa yako, walitumia silaha za mataifa mengi tu. Walitumia silaha za Mmarekani, walitumia silaha za Muingereza, walitumia silaha kutoka Canada n.k. Isipokuwa, idadi kubwa ya misaada ilitoka Marekani. Na sio misaada ya silaha na vyakula tu, ni pamoja na misaada ya kiintelijensia.

Misaada ya silaha ilitumika katika vita ya kuyaondoa majeshi ya Hitler yaliyokuwa yameuteka mji wa Stalingrad, kisha kuelekea Berlin baada ya uvamizi wa Ujerumani wa iliyokuwa Soviet Union uliofanyika mwaka 1941.

Soma historia kuhusiana na Battle of Stalingrad ya mwaka 1942. Mji wa Stalingrad ulikuwa mji muhimu sana wa kiviwanda wa Soviet Union. Hii vita ndio ilimzuia Mjerumani kuingiza majeshi yake ndani zaidi na kuteka maeneo mengi zaidi ya USSR.

Stalin amewahi kunukuliwa publicly akisema kwamba, isingekuwa kwa silaha za Wamarekani, ushirika wetu usingeweza kushinda vita ya pili ya dunia. Sio huyo tu, pia baadhi ya majenerali wa jeshi, watu maarufu na wanahistoria wa Urusi wamewahi kusema hivyo. Miongoni mwao ni aliyekuwa kiongozi wa chama cha kikomunisti cha Soviet Union, Nikita Khrushchev pamoja na Jenerali Georgy Zhukov aliyeiongoza Red Army ya USSR dhidi ya majeshi ya Hitler. Hiyo asilimia 80 wewe umeitoa wapi?
Mzee kama alipigana na mataifa yote hay hakiwa peke yake.unasemaje kuwa asilimia 80 haijafika.iyo ilikuwa battle ya stalingrad.mwanaume alikuwa peke yake zidi ya wababe wote haoView attachment 2113131View attachment 2113132View attachment 2113133
Screenshot_20220208-214011.jpg
 
Lete source ya taarifa yako kuhusu hayo maneno ya stalin
Jaribu kutumia Google angalau hata mara mojamoja. Nilitaja hapa sheria ya Lend-Lease, sidhani kama umeisoma na kuielewa. Ukisoma kuhusu significance ya hiyo sheria, utakutana na hayo mengine ya ziada kutoka kwa Stalin na wengineo. Suala la muhimu zaidi ni kuifahamu kwanza hiyo sheria yenyewe. Ingia Google, kisha tafuta "Lend-Lease Act".

Ni rahisi tu!
 
Kwa akili ya kawaida tu ni kuwa, US ndio kamzuia Urusi kuivamia Ukraine mpaka sasa hivi, Russia kupambana na US ni sawa na nazi kushindana na jiwe.
Wewe ni MPUMBAV kila ukipumua yaani hapo ulipo ni pumbav, pumbav, pumbav.....
 
Asante sana!

Hii sio operation ya wazi kama ambavyo nimeomba unipatie, bali ni mfano mzuri sana wa covert operations nilizozisema hapo awali.

Katika hiyo taarifa, kuna kauli ya Waziri Mkuu inasema hivi: "The strike had been approved at a meeting of "the most senior members" of the National Security Council, and authorised by Defence Secretary Michael Fallon".

Umeuona huo usiri hapo? Operation imeamuliwa katika kikao cha siri cha baraza la usalama, taarifa imekuja kutolewa baada ya operation kufanyika. Hakukuwa na uwazi wowote ule wakati hiyo operation inaanza ama wakati inafanyika. Hiyo ndio maana halisi ya covert operation.

Ukienda chini zaidi katika hiyo taarifa ya BBC, kuna upinzani mkubwa tu juu ya hilo shambulizi lililofanywa. Hasa katika hicho kipengele kinachoanza na maneno "Secret strikes". Nadhani umepaona hapo!
We jamaa wewe, kwani bunge lililopoidhinisha mashambulizi ya anga lilisema jeshi likapige wapi Syria? Taarifa ilitoka baada ya shambulizi. Pia kuna habari nilikuwekea mwanzo kuwa mwaka 2016 US na washirika wake waliwaua wanajeshi wa Syria kwa mashambulizi ya anga, je jeshi la Uingereza lilitoa taarifa kwa umma kabla ya hilo shambulizi?

Sijajua unataka kumaanisha nini kutoka kwenye hiyo kauli ya waziri mkuu ila katika mazingira ya kawaida tu hivi jeshi gani linaweza kupanga mashambulizi sehemu bila wakubwa wa vyombo vya ulinzi kuidhinisha au unataka kusema baada december 2015 walikuwa wanafanya tu mashambulizi ya anga bila ruhusa ya hao wakubwa.

UK will help destroy Islamic State, David Cameron tells US
habari zilizokuwepo kabla ya August 2015.

Hayo maneno yaliyoandikwa "Secret strikes yasikutishe, ni mahojiano tu na rafiki wa marehemu anaeishi Uingereza analalamika kutopewa taarifa kabla ya shambulizi".

Kitu cha msingi kukumbuka, kabla hata ya december 2015 tayari serikali ilishatangaza vita dhidi ya ISIL na tayari bunge la uingereza lilishapitisha mpango wa kufadhili waasi kwa ajili ya kupambana na ISIL na Assad. Kwahiyo Shambulio hilo la August 2015 lilikuwa ni muendelezo wa vita dhidi ya ISIL nchini Syria.
 
Nimeshapitia hapo!

Ngoja nikusaidie kitu kimoja. Katika hiyo taarifa uliyoileta wewe mwenyewe hapa, nenda chini zaidi utakutana na list yenye title; Lend-Lease tanks and SPGs. Pia, utakutana na list nyingine chini yake yenye title; Lend-Lease vehicles. Utakutana na malori pamoja na vile vifaru vya Kimarekani nilivyovitaja awali.

Ukishindwa kupaona mahali hapo, picha hizi hapa:
wiki1.png

wiki2.png
 
Mzee kama alipigana na mataifa yote hay hakiwa peke yake.unasemaje kuwa asilimia 80 haijafika.iyo ilikuwa battle ya stalingrad.mwanaume alikuwa peke yake zidi ya wababe wote haoView attachment 2113131View attachment 2113132View attachment 2113133View attachment 2113134
Kwenye hiyohiyo Wikipedia yako, nenda mahali pa 'search' kisha tafuta maneno "Lend-Lease".

Katika hayo maelezo, utakutana na hiyo habari ya Stalin unayoitaka. Kuna mahali Wikipedia imenukuu kwamba:

Joseph Stalin, during the Tehran Conference during 1943, acknowledged publicly the importance of American efforts during a dinner at the conference: "Without American machines the United Nations could never have won the war".

Pia, utakutana na maandiko ya aliyewahi kuwa kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Umoja wa Kisovieti, Nikita Khrushchev. Anasema kuwa:

I would like to express my candid opinion about Stalin's views on whether the Red Army and the Soviet Union could have coped with Nazi Germany and survived the war without aid from the United States and Britain. First, I would like to tell about some remarks Stalin made and repeated several times when we were "discussing freely" among ourselves. He stated bluntly that if the United States had not helped us, we would not have won the war. If we had had to fight Nazi Germany one on one, we could not have stood up against Germany's pressure, and we would have lost the war.

Katika hiyo page, utakutana na kila kitu nilichokuambia kuhusiana na hiyo sheria pamoja na manufaa yake kwa nchi washirika wa Marekani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
 
Nimeshapitia hapo!

Ngoja nikusaidie kitu kimoja. Katika hiyo taarifa uliyoileta wewe mwenyewe hapa, nenda chini zaidi utakutana na list yenye title; Lend-Lease tanks and SPGs. Pia, utakutana na list nyingine chini yake yenye title; Lend-Lease vehicles. Utakutana na malori pamoja na vile vifaru vya Kimarekani nilivyovitaja awali.

Ukishindwa kupaona mahali hapo, picha hizi hapa:
View attachment 2113215
View attachment 2113216
Hakuna hii taarifa kwenye iyo page niliyokuletea.hii ni vifaa walivyotumia wamarekani wenyewe
 
Nimeshapitia hapo!

Ngoja nikusaidie kitu kimoja. Katika hiyo taarifa uliyoileta wewe mwenyewe hapa, nenda chini zaidi utakutana na list yenye title; Lend-Lease tanks and SPGs. Pia, utakutana na list nyingine chini yake yenye title; Lend-Lease vehicles. Utakutana na malori pamoja na vile vifaru vya Kimarekani nilivyovitaja awali.

Ukishindwa kupaona mahali hapo, picha hizi hapa:
View attachment 2113215
View attachment 2113216
List iyo hapo mpaka mwisho hayo mengine sijui umeyatolea.izi ndo silaha ambazo warusi walizitumia kwenye ww2.iyo list unayosema wew hakuna, sasa siui umeitolea wapi. wapi
Screenshot_20220208-231235.jpg
Screenshot_20220208-231256.jpg
Screenshot_20220208-231314.jpg
 
We jamaa wewe, kwani bunge lililopoidhinisha mashambulizi ya anga lilisema jeshi likapige wapi Syria? Taarifa ilitoka baada ya shambulizi. Pia kuna habari nilikuwekea mwanzo kuwa mwaka 2016 US na washirika wake waliwaua wanajeshi wa Syria kwa mashambulizi ya anga, je jeshi la Uingereza lilitoa taarifa kwa umma kabla ya hilo shambulizi?

Sijajua unataka kumaanisha nini kutoka kwenye hiyo kauli ya waziri mkuu ila katika mazingira ya kawaida tu hivi jeshi gani linaweza kupanga mashambulizi sehemu bila wakubwa wa vyombo vya ulinzi kuidhinisha au unataka kusema baada december 2015 walikuwa wanafanya tu mashambulizi ya anga bila ruhusa ya hao wakubwa.

UK will help destroy Islamic State, David Cameron tells US
habari zilizokuwepo kabla ya August 2015.

Hayo maneno yaliyoandikwa "Secret strikes yasikutishe, ni mahojiano tu na rafiki wa marehemu anaeishi Uingereza analalamika kutopewa taarifa kabla ya shambulizi".

Kitu cha msingi kukumbuka, kabla hata ya december 2015 tayari serikali ilishatangaza vita dhidi ya ISIL na tayari bunge la uingereza lilishapitisha mpango wa kufadhili waasi kwa ajili ya kupambana na ISIL na Assad. Kwahiyo Shambulio hilo la August 2015 lilikuwa ni muendelezo wa vita dhidi ya ISIL nchini Syria.
Kauli ya Waziri Mkuu iko crystal clear kuwa hilo shambulizi lilikuwa ni covert operation. Ni watu wachache sana ndio waliokuwa wakijua kile kinachoendelea kuhusiana na operation hiyo. Sisi wengine huku nje tumekuja kushtuka operation imeshafanyika. Hicho ndicho ninachomaanisha.

Hizo habari za 2016 ni baada ya bunge la Uingereza kuidhinisha mashambulizi ya anga nchini Syria. Hiyo sasa ni Operation Shader kwa upande wa Syria. Jeshi lisingehitaji kutoa taarifa kuhusiana na uwepo wa mashambulizi ama la, maana tayari majeshi yalikwisha pewa idhini ya ku-intervene.

Kuna mahali hapajaeleweka?

Kwa mara nyingine tena, hiyo link uliyoleta hapa, kuna mahali panasema hivi: David Cameron told US TV network NBC he wanted the UK to do more but said he needed to "take Parliament with him".

Hapo katika "to do more" ni masuala ambayo lazima yatahitaji maamuzi ya bunge ndio maana anaweka msisitizo kuwa atahitaji kufuatana na bunge. Masuala yanayohitaji approval ya bunge, mojawapo ni direct military intervention kimataifa.

Masuala mengine katika hiyo taarifa ya BBC ni kuhusu mipango ya baadaye. Mwaka huohuo mwezi Disemba, ndipo bunge la Uingereza lilipo idhinisha mashambulizi ya wazi ya anga kwa mara ya kwanza kabisa nchini Syria dhidi ya ISIL. Kabla ya hapo, kilichokuwepo ni operations za serikali za siri (covert operations).
 
Unanipoteza. Ulisema nikupe mfano mmoja tu wa mashambulizi ya anga kabla ya hiyo dec. 2015 ulikuwa una uhakika kuwa hakuna mashambulizi kwa kuwa bunge lilizuia 2013. Nimekupa huo mfano unaleta sarakasi nyingine.

Hiyo maana yako ya covert operation na direct military intervention ina mapungufu pia kwa sababu zifuatazo,
1) serikali ya Uingereza haihitaji kura za wabunge ili kufanya shambulio lolote la kijeshi.

2) hata inapotokea wabunge wakapiga kura ya hapana bado serikali inaweza kufanya shambulio la kijeshi sababu serikali haifungwi na kura za wabunge.

3) bunge liliporuhusu mashambulizi syria dec. 2015 haina maana kuwa hiyo ruhusa ni endelevu kwa kila shambulizi.
How the recent strikes on Syria undermine UK constitutional controls on military action - The Law of Nations
Inaelezea ukomo wa nguvu za bunge kwa jeshi, wameelezea kuanzia 2013.
Syria action – UK government legal position
Taarifa rasmi ya serikali ikielezea uhalali wa mashambulizi yaliyofanyika 2018. ruhusa ya bunge ya dec. 2015 haijarejewa kwenye hii taarifa badala yake wametumia sheria za kimataifa kujustify hilo shambulizi.

britain approves airstrikes in syria Jeremy Corbyn akilalamika bunge kutotaarifiwa.
 
Nilikuomba unipe mfano mmoja tu wa "operation ya wazi" ya mashambulizi ya anga ya Uingereza nchini Syria kabla ya approval ya bunge 2015, mpaka sasa haujaleta hapa, badala yake, umeleta covert operation. Ni nani anayeleta sarakasi hapo?

Hakuna mahali niliposema kuwa serikali ya Uingereza haijawahi kufanya shambulizi lolote la kijeshi bila ridhaa ya bunge. Kwanza hakuna sheria inayoizuia serikali kufanya hivyo. Ila, shambulizi ni pale tu ambapo kutakuwa na justification ya kufanya hivyo kulingana na sheria ya kimataifa.

Nilisema, kilichokuwa kikifanyika Syria kabla ya approval ya bunge 2015, kilikuwa ni covert operations ambazo huwa hazina[ga] hata uhitaji wa ku-deploy majeshi ya nchi kwa maana ya military intervention. Ni operations za serikali ambazo ni za siri. Taarifa zimekuja kuletwa baadaye! Na nilishukuru sana pale ulipoleta ile taarifa ambayo imeonesha mfano wa covert operation.

Nafahamu kuna mjadala mkubwa kuhusu mamlaka ya bunge kuhusiana na masuala ya kijeshi, lakini huo ni mjadala ambao hauendani na siasa na uhusika wa Uingereza katika mgogoro wa Syria katika uhalisia wake.

Katika issue ya military intervention nchini Syria, bunge la Uingereza limekuwa likifanya debate na kuamua kwa kura kuhusiana na masuala ambayo tumekuwa tukijadili hapa. Huo ndio uhalisia wa mambo! Hivi ndivyo ambavyo siasa za Uingereza zimekuwa zikifanyika hususani katika kipindi cha mgogoro wa Syria.

Hii hapa ni ripoti ya operations za Iraq pamoja na Syria ya hadi mwezi Machi, 2017:

Katika hiyo ripoti kuna mahali panasema hivi, nanukuu:

"On 30 September 2014 Tornado aircraft carried out their first airstrikes on ISIS targets in Iraq (Operation Shader). RAF Tornado aircraft conducted the first offensive operation in Syria on 3 December 2015. RAF aircraft had, however, been conducting non-offensive surveillance operations over Syria since 21 October 2014."

Mwisho wa kunukuu.

Zingatia sana hapo panaposema: "first offensive operation".

Ni hivi! Baada ya lile azimio la Cameron la 2013 la kutaka Uingereza kupeleka majeshi Syria kushindikana bungeni, serikali ilisema wazi kuwa itayaheshimu maamuzi ya bunge.

Ndio maana hatukusikia deployment yoyote ile ya majeshi ya Uingereza nchini Syria ukiachana na hizo covert operations. Deployment ya kwanza ilifanyika mwaka 2015 baada ya kupigiwa kura bungeni. Muda mchache baadaye, tulianza kuona majeshi yakipelekwa Syria kwenda kupiga mabomu.

Pia, pitia taarifa hii:

Narudia! Mashambulizi ya kwanza kabisa ya majeshi ya Uingereza dhidi ya ISIL ama ISIS nchini Syria ni baada ya approval ya bunge mwezi Disemba mwaka 2015. Nilikuomba ulete ushahidi wa shambulizi moja tu la wazi la Uingereza nchini Syria dhidi ya ISIL kabla ya approval ya bunge mwaka 2015. Kwa kifupi tu, hakuna!
 
Mwenye nguvu ya jeshi na kiuchumi ni yule anayeweza kukuwekea vikwazo na vikakuathiri.
 
Huyo Marekani alianza hizo vita lini?Kama sio kuvizia watu wameshachoka yeye ndio anakuja kupigana in late 1940's tena baada ya kuona interests zake zinapotea.Mbabe wa wakati huo alikua ni mjerumani pekee yeye ndiye aliyeanzisha vita zote mbili na kuleta machafuko ya dunia.

Macho yangu now yapo kwa kiduku maana siku atakapoibuka kichaa Kama alivyokua Adolf Hitler,WWIII uhakika.
We ulitaka marekan aingie mapema kwa sababu zip?
 
Mwanzoni mwa vita zote ujerumani alikuwa anaelekea kushinda vita , Marekani kudandia vita ndo kuliwaokoa hao warusi , waingereza , wafaransa nk so vita zote aliyebadili upepo ni Marekani na ndo aliwapa morali hao waungwaba kuamka na kuanza kupambana upya na ujerumani

Mwambie huyo kwenye vita ya pili majeshi ya Hitler yalifika mpaka Moscow na Paris, walikuwa wamebakiza padogo kuishinda vita, tatizo ni USA kuvamia vita wakati wenzake wapo Hoi.

Bila USA Hitler alikuwa keshashinda
 
Back
Top Bottom