Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
hawa umbwa wahuni sanaa[emoji35][emoji35][emoji35]Kama kawaida yake huyu mshenzi
Now they push Ukraine into War and run away like always
I think they forget Afghanistan's scene
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa umbwa wahuni sanaa[emoji35][emoji35][emoji35]Kama kawaida yake huyu mshenzi
Now they push Ukraine into War and run away like always
I think they forget Afghanistan's scene
Endapo Marekani akifanikiwa kuingusha urusi, itabidi iwaue wananchi wote wa urusi. Ili iwe raisi kutopata shida ya kuwatawala awa wasoshalistiHuenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani.
Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia Urusi Kijeshi Tena nje ya mlango wa Urusi yaani Ukraine,kwa kulazimisha Ukraine ijiunge na NATO ili iwe rahisi kuikabili Urusi pale itakapohitajika kufanya hivyo,nayo Urusi Tena sio mvivu, bali inafikiria kupeleka majeshi nchi jirani na Marekani Cuba na Venezuela ili iwe rahisi kuikabili Marekani pindi kitakaponuka huko Ukraine.
Ifahamike kwamba Urusi hawashindwi kufanya hivyo,"ukimwaga ugali namwaga mboga".
==========
Russia Suggests Military Deployment to Venezuela, Cuba if Tensions With U.S.
Russia’s deputy foreign minister said talks with the U.S. over the security situation in Ukraine had stalled and suggested that Moscow could dispatch a military deployment to Venezuela and Cuba, as the Kremlin seeks to pressure Washington to meet its demands to halt Western military activity that Russia claims
Historia gani wewe, Acha uwongoSoma historia Marekani haimuwezi Russia.
Apa ni kama kundi la panya linamtishia pakaNa wiki iliyopita mchina nae kapitisha madege ya kivita ya kutosha taiwan.........hii kitu ikilipuka Mmarekani atakua na kazi kubwa sana na vibaraka wake......huku amlinde taiwan upande wa huku kuna Ukraine na bado Iran anakula chabo tu
Ifike mahali tuache utegemezi wa kijinga tuamkeUSA akiingia kwenye vita vikubwa mkae mkijua hapa Tanzania tutakufa kama kuku.
1. Tutakosa chanjo za bure kwa watoto chini ya miaka 5
2. Tutakosa madawa ya bure mojawapo ya kufubaza makali ya ukimwi
3. Tutakosa misaada yake ya kifedha.
4. Tutakosa Mikopo kutoka bank ya Dunia
5. Miradi yote nchini iliyo chini ya USA itasimama au itakufa.
6. Makundi ya kigaidi yatashika kasi zaidi.
Dunia imebadilika ktk maeneo mengi hasa eneo la vita.Soma historia Marekani haimuwezi Russia.
Ni kweli.Ifike mahali tuache utegemezi wa kijinga tuamke
Survival of the fittest.........acha mambo yaji reset kwanzaUSA akiingia kwenye vita vikubwa mkae mkijua hapa Tanzania tutakufa kama kuku.
1. Tutakosa chanjo za bure kwa watoto chini ya miaka 5
2. Tutakosa madawa ya bure mojawapo ya kufubaza makali ya ukimwi
3. Tutakosa misaada yake ya kifedha.
4. Tutakosa Mikopo kutoka bank ya Dunia
5. Miradi yote nchini iliyo chini ya USA itasimama au itakufa.
6. Makundi ya kigaidi yatashika kasi zaidi.
Tunazungumza kishabiki mno, ukichukua Allies wa US na wa Russia. Russia mshirika wake yeye ni mmoja tu, China. Hawa wengine wote ni wa kawaida mbele ya US.Na wiki iliyopita mchina nae kapitisha madege ya kivita ya kutosha taiwan.........hii kitu ikilipuka Mmarekani atakua na kazi kubwa sana na vibaraka wake......huku amlinde taiwan upande wa huku kuna Ukraine na bado Iran anakula chabo tu
Sisi kila siku tunaumia hakuna jipya.........miaka yote hao wanaumiza wa Africa.....kila mtu apambane na hali yakeTunazungumza kishabiki mno, ukichukua Allies wa US na wa Russia. Russia mshirika wake yeye ni mmoja tu, China. Hawa wengine wote ni wa kawaida mbele ya US.
US ana France, UK, Italy, German n.k
Endapo vita ikatokea, hakuna mbabe hapo, madhara yake ni mazito mno, na atakayeumia sana sana ni sisi huku.
Pia kumbuka sio rahisi China, S.Korea kumuunga mkono Russia, hata Russia sio rahisi kuingia vitani. Ishu ya uchumi inakuja kuapply hapa.
Hakuna kitu ambacho china anakijenga kama kuimarisha uchumi ili awe superpower huko mbeleni, kumletea ajenda za vita sio rahisi kukuelewa, na hata miaka ya karibuni hajajikita mno ktk masuala ya kijeshi kama mwenzake Russia.
Russia ni jeshi la mtu mmoja, na ni jeshi haswa.
Unajua kaka watu wanaona rahisi kuwa hii vita mmoja atashindwa na mwingine atashinda.Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.
Kijeshi ni ngumu hawa wawili kupigana.Urusi alipelekaga silaha zake kwenye nchi jirani na marekani mpaka marekani wakaomba mazungumzo.hawa wakipigana ujue ni vita ya 3 ya dunia ndo maana marekani hawewezi kumzuia urusi ukraine.
Kila mtu anaona kinachoendelea...........Kijeshi ni ngumu hawa wawili kupigana.
US anaishikilia Syria na ana uwezo kabisa wa kuikamata Ukrain. US wapo vyeeema mno ktk intelligence, ana watu ambao ni vichwa haswa, kwenye mazungumzo na mipango huwezi ukamshinda.
Hiki ndicho Mrusi anapofeli, Mrusi ana nguvu na kuna muda yupo tayari kutumia majeshi lakini mwisho unamuona US anaelekea ktk mipango ya mazungumzo, hapo ndo US anamaliza.
Tukumbuke kuwa, US ni mtu mwenye pesa zake. Hakuna lishindikanalo mbele ya pesa.
kwan nyie ndio mmemtuma aingie c atakua kaingia kwatamaa zake naupuuzi wake mwenyeweUSA akiingia kwenye vita vikubwa mkae mkijua hapa Tanzania tutakufa kama kuku.
1. Tutakosa chanjo za bure kwa watoto chini ya miaka 5
2. Tutakosa madawa ya bure mojawapo ya kufubaza makali ya ukimwi
3. Tutakosa misaada yake ya kifedha.
4. Tutakosa Mikopo kutoka bank ya Dunia
5. Miradi yote nchini iliyo chini ya USA itasimama au itakufa.
6. Makundi ya kigaidi yatashika kasi zaidi.
Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.
Kwa China hao India kila siku wanalia pale Kashmir wanajeshi wao wanapakuliwa tope tena wanakula kipondo Cha haja.Iran ni sawa na mafahali wanapigana afu kuna mtetea anataka kuingilia ugomvi. Hakuna uwezekano wa vita na Korea Kaskazini. Urusi anarusha rusha mateke kutokana na ukweli kuwa ameona US kupitia NATO wanataka kumzunguka hapo nyumbani kwake, na wasiwasi wa Kremlin ni kuwa, Ukraine akijiunga basi itachochea mataifa mengine yaliyomeguka kutoka USSR kujiunga na NATO hivyo kuweka rehani usalama wa Urusi. Mchina kawekewa India na Japan ili waendelee kupekuwa utovu wake wa nidhamu.
USA hajawahi kumshindwa Russia.We ropoka Tu Marekani hawezi kuigusa urusi itabadilishwa kuwa majivu Sasa hivi submarines za urusi za nyuklia ziko karibu na marekani.