Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani.

Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia Urusi Kijeshi Tena nje ya mlango wa Urusi yaani Ukraine,kwa kulazimisha Ukraine ijiunge na NATO ili iwe rahisi kuikabili Urusi pale itakapohitajika kufanya hivyo,nayo Urusi Tena sio mvivu, bali inafikiria kupeleka majeshi nchi jirani na Marekani Cuba na Venezuela ili iwe rahisi kuikabili Marekani pindi kitakaponuka huko Ukraine.

Ifahamike kwamba Urusi hawashindwi kufanya hivyo,"ukimwaga ugali namwaga mboga".

==========

Russia Suggests Military Deployment to Venezuela, Cuba if Tensions With U.S.​

Russia’s deputy foreign minister said talks with the U.S. over the security situation in Ukraine had stalled and suggested that Moscow could dispatch a military deployment to Venezuela and Cuba, as the Kremlin seeks to pressure Washington to meet its demands to halt Western military activity that Russia claims
Endapo Marekani akifanikiwa kuingusha urusi, itabidi iwaue wananchi wote wa urusi. Ili iwe raisi kutopata shida ya kuwatawala awa wasoshalisti
 
Na wiki iliyopita mchina nae kapitisha madege ya kivita ya kutosha taiwan.........hii kitu ikilipuka Mmarekani atakua na kazi kubwa sana na vibaraka wake......huku amlinde taiwan upande wa huku kuna Ukraine na bado Iran anakula chabo tu
Apa ni kama kundi la panya linamtishia paka
 
USA akiingia kwenye vita vikubwa mkae mkijua hapa Tanzania tutakufa kama kuku.

1. Tutakosa chanjo za bure kwa watoto chini ya miaka 5

2. Tutakosa madawa ya bure mojawapo ya kufubaza makali ya ukimwi

3. Tutakosa misaada yake ya kifedha.

4. Tutakosa Mikopo kutoka bank ya Dunia

5. Miradi yote nchini iliyo chini ya USA itasimama au itakufa.

6. Makundi ya kigaidi yatashika kasi zaidi.
Ifike mahali tuache utegemezi wa kijinga tuamke
 
Soma historia Marekani haimuwezi Russia.
Dunia imebadilika ktk maeneo mengi hasa eneo la vita.

Mataifa haya mawili isitokee yakapigana, isitokee kabisa mkuu maana ni ngumu kumpata mbabe.

Ni rahisi kusema USA hawezi kusimama mbele ya Russia kutokana na makombora pamoja na teknolojia ya Russia ktk anga.

Ila kumbuka kuwa, US yupo juu sana katika kila nyanja ya Teknolojia, ndo taifa pekee kwa sasa lina experience ya vita na Black Ops kuliko yoyote kwa miaka ya hivi karibuni.

Hawa wakitandikana mimi sioni mbabe, huenda dunia wakasalimika wachache Mungu asipoingilia kati.
 
USA akiingia kwenye vita vikubwa mkae mkijua hapa Tanzania tutakufa kama kuku.

1. Tutakosa chanjo za bure kwa watoto chini ya miaka 5

2. Tutakosa madawa ya bure mojawapo ya kufubaza makali ya ukimwi

3. Tutakosa misaada yake ya kifedha.

4. Tutakosa Mikopo kutoka bank ya Dunia

5. Miradi yote nchini iliyo chini ya USA itasimama au itakufa.

6. Makundi ya kigaidi yatashika kasi zaidi.
Survival of the fittest.........acha mambo yaji reset kwanza
 
Na wiki iliyopita mchina nae kapitisha madege ya kivita ya kutosha taiwan.........hii kitu ikilipuka Mmarekani atakua na kazi kubwa sana na vibaraka wake......huku amlinde taiwan upande wa huku kuna Ukraine na bado Iran anakula chabo tu
Tunazungumza kishabiki mno, ukichukua Allies wa US na wa Russia. Russia mshirika wake yeye ni mmoja tu, China. Hawa wengine wote ni wa kawaida mbele ya US.

US ana France, UK, Italy, German n.k

Endapo vita ikatokea, hakuna mbabe hapo, madhara yake ni mazito mno, na atakayeumia sana sana ni sisi huku.

Pia kumbuka sio rahisi China, S.Korea kumuunga mkono Russia, hata Russia sio rahisi kuingia vitani. Ishu ya uchumi inakuja kuapply hapa.

Hakuna kitu ambacho china anakijenga kama kuimarisha uchumi ili awe superpower huko mbeleni, kumletea ajenda za vita sio rahisi kukuelewa, na hata miaka ya karibuni hajajikita mno ktk masuala ya kijeshi kama mwenzake Russia.

Russia ni jeshi la mtu mmoja, na ni jeshi haswa.
 
Sisi kila siku tunaumia hakuna jipya.........miaka yote hao wanaumiza wa Africa.....kila mtu apambane na hali yake
 
Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.
Unajua kaka watu wanaona rahisi kuwa hii vita mmoja atashindwa na mwingine atashinda.

Vita ni ngumu mno hii, na sisi kama waafrika tukiweza tufunge na kuomba Mungu hii vita isitokee.

Watu wanafananisha vita kwa majeshi ya miaka 80 na hii 2020.
 
Urusi alipelekaga silaha zake kwenye nchi jirani na marekani mpaka marekani wakaomba mazungumzo.hawa wakipigana ujue ni vita ya 3 ya dunia ndo maana marekani hawewezi kumzuia urusi ukraine.
Kijeshi ni ngumu hawa wawili kupigana.

US anaishikilia Syria na ana uwezo kabisa wa kuikamata Ukrain. US wapo vyeeema mno ktk intelligence, ana watu ambao ni vichwa haswa, kwenye mazungumzo na mipango huwezi ukamshinda.

Hiki ndicho Mrusi anapofeli, Mrusi ana nguvu na kuna muda yupo tayari kutumia majeshi lakini mwisho unamuona US anaelekea ktk mipango ya mazungumzo, hapo ndo US anamaliza.

Tukumbuke kuwa, US ni mtu mwenye pesa zake. Hakuna lishindikanalo mbele ya pesa.
 
Kila mtu anaona kinachoendelea...........
 
USA akiingia kwenye vita vikubwa mkae mkijua hapa Tanzania tutakufa kama kuku.

1. Tutakosa chanjo za bure kwa watoto chini ya miaka 5

2. Tutakosa madawa ya bure mojawapo ya kufubaza makali ya ukimwi

3. Tutakosa misaada yake ya kifedha.

4. Tutakosa Mikopo kutoka bank ya Dunia

5. Miradi yote nchini iliyo chini ya USA itasimama au itakufa.

6. Makundi ya kigaidi yatashika kasi zaidi.
kwan nyie ndio mmemtuma aingie c atakua kaingia kwatamaa zake naupuuzi wake mwenyewe
nb:-musipende kuishi kwakutegemea misaada ndio maana mnaambiwa muoane Me kwa Me na Ke kwa Ke kwakupenda vyakupewa
 
Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.

Mwambie kuhusu S-400 na baba lao S-500 halafu fananisha na THAAD ya USA, pia chukua ndege vita yhpersonic Sukhoi Su-57 ya USSR kisha fananisha na US Raptor F-35. Ukiangalia zana zote yaani makombora ya kutungulia ndege aina ya S-400 au S-500 na THAAD, utagundua hawa jamaa wana uwezo unaofanana, ingawa mambo mengine ya uwezo wa vifaa vita huwa classified. Ukiangalia ndege vita zao hazipishani sana. Kwani Sukhoi Su-57 na F- 35 au F-22 raptor ya US zina technologia au karibu uwezo sawa( Stealthy technology, hypersonic with at least speed ya mach 2.1, angalau speed ya km 2150 kwa saa, wastani wa umbali wa Mtwara to Bukoba kwa saa1)!
Kwa hiyo linapokuja suala la uwezo kijeshi, wababe hao inakua ni shughuli pevu
 
Huyu Ndio mchambuzi wetu wa maswala ya kivita. Itabidi tukutume ukafanye research uko Moscow na St. Petersburg
 
Iran ni sawa na mafahali wanapigana afu kuna mtetea anataka kuingilia ugomvi. Hakuna uwezekano wa vita na Korea Kaskazini. Urusi anarusha rusha mateke kutokana na ukweli kuwa ameona US kupitia NATO wanataka kumzunguka hapo nyumbani kwake, na wasiwasi wa Kremlin ni kuwa, Ukraine akijiunga basi itachochea mataifa mengine yaliyomeguka kutoka USSR kujiunga na NATO hivyo kuweka rehani usalama wa Urusi. Mchina kawekewa India na Japan ili waendelee kupekuwa utovu wake wa nidhamu.
Kwa China hao India kila siku wanalia pale Kashmir wanajeshi wao wanapakuliwa tope tena wanakula kipondo Cha haja.
We Kama India anahangaishwa na Pakistan atamuweza China!?
Pia Japan kwasasa hana uwezo wa kumsumbua China kijeshi ataumia.
 
We ropoka Tu Marekani hawezi kuigusa urusi itabadilishwa kuwa majivu Sasa hivi submarines za urusi za nyuklia ziko karibu na marekani.
USA hajawahi kumshindwa Russia.
Hiyo USSR unadhani ni nani aliyeshiriki kuivunja Kama sio USA?
Unadhani Russia alimshindwaje Taliban km sio USA ?
Unadhani kwann Russia alisumbuka sana kwa Georgia km sio USA?
 
Back
Top Bottom