Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

. Je, Russia regular troops watamudu peke yao kuushikilia mji wa Bakhmut bila Wagner?


Mbona hapa umeshajibu kila kitu; Wagner ni irregular troops, kama irregular troops ikiondoka na kukabidhi regular troops mbona hapo ndipo mambo yatakuwa rahisi zaidi.
 
Huyu Covax unajua wanajeshi au watu 30,000/- military personnel kuuwa na kuchukua bankut ni ktu kirahis hivyo

Hawa wanauliw wengi ndio wanasonga mbele , ni kwamba mrusi[emoji635][emoji635][emoji112][emoji106] [emoji880][emoji561] Hana huruma tena na nyie pro Ukraine

Kuchukua bamut ni Hasara kulko faida inaana VIONGOZI wote wa kirusi walivyoanzia operations na kuiendelea wao ni wajinga na wew ndio unajua value of security issues.
@fant orange [emoji521][emoji521]
 
Kwamba unazo hizo siri ukiwa mJumbe wa NAT0 huko buza na kinondon B[emoji16][emoji16]
 
Punguza hasira Mkuu. Mpaka sasa hali halisi ya uwanja wa mapambano inajulikana. NATO wanaisaidia Ujkraine kwa silaha na kila kitu lakini hakuna cha maana walichofanikiwa zaidi ya kuharibu uchumi wa nchi za Magharibi.
Hebu tupia ushahidi unaoonyesha kuwa majeshi ya NATO yanapigana Ukraine au NATO Arsenal zinazotumika Ukraine.
 
Bro acha uongo! Hivi Leopard tanks siyo advanced weapon ya NATO? Patriot Missile System haimo kwenye NATO arsenal?
Hakuna Leopard 2 Tank inayotumiwa na NATO iliyopelekwa Ukraine.

Ngoja tukupe shule kidogo uelimike ili tongotongo na kamasi zikutoke

1. Leopard Tank zina series. Kuna Leopard 1 Series na Leopard 2 series. Mfano Leopard 2 ina series A1, A2 mpaka A7+.

2. Leopard 2 Tank zilizopelekwa Ukraine kutoka nchi washirika ni series ya 2A1 na 2A2 pekee na si zaidi ya hapo. Kuna nchi zingine zimetoa Leopard 1A6 tanks. Ni kwamba miamba hawa wanazitoa sababu zimepitwa na technology ili wa replenish kwa modern Tanks kama 2A6 au 2A7+.

3. Leopard 2 Tanks zinazotumiwa na NATO ni 2A6, 2A7 na 2A7+. Ni more sophisticated and Advanced Tanks

4. Hivo hivo Patriot air defense systems zina series MIM-104A - 104F with PAC-1 to PAC-3. respectively. Hivyo hakuna Patriot system iliyopelekwa Ukraine wanayotumia NATO. NATO wanatumia very advance Air defense systems za Patriot.

Hitimisho
Tunapowaambia kuwa hakuna NATO Arsenals zinazotumika Ukraine mtuelewe.

NATO, USA, German, UK & allies hawawezi kutumia sasa hivi NATO Arsenals siyo wajinga kiasi hicho.

Ndiyo maana wanampa Ukraine dozi ndogo ndogo na wanamwambia kuwa hata hizi tunazokupa usipige nje ya mipaka.
 
Umeshajibu kiwa ni military strategic point.
Hata makombola ya patriotic yana gharama kuliko kombola analodungua. Swali je yasirushwe kutuanga makombola?
Drones zina gharama ndogo kuliko kombola sinazotumika kuziangua . Je zisitunguliwe?
Vita ina gharama. Kinachitakiwa ni kushinda
 
Patriot missile battery operators whom killed by Russian force being sent home from Kiev.
[emoji1019][emoji1019][emoji1019][emoji1019]
 
Na wewe umeyajuaje haya, upo Russia, au ndo wale wale wa buza
 
Mbona hapa umeshajibu kila kitu; Wagner ni irregular troops, kama irregular troops ikiondoka na kukabidhi regular troops mbona hapo ndipo mambo yatakuwa rahisi zaidi.
Hebu tulia kijana usijiaibishe mbele ya kadamnasi maana wanajua uwezo wako ulipokomea. Tulia ujifunze kwanza. Porojo weka pembeni hapa ni facts tu
 
Hiyo ilikuwa ni mbinu ya kudhoofisha, asithubutu kuweka upinzani huko kunakotakiwa; hili nalo wewe huna akili ya kulitambua?
Toka mwanzo, lengo la Urusi lilifahamika ni eneo gani alilenga, lakini kwa watu kama wewe, ninayejua sababu zako za kufifisha akili, unajilazimisha iwe kama unavyota ionekane kuwa ndivyo.

Eneo la Mashariki mwa Ukraine na Crimea, ni maeneo ambayo siku zote Mrusi ana 'interest' nayo. Watu wa maeneo hayo wana asili ya Urusi.
Kabla ya hii vita aliyoingia, tayari kulikuwepo na mapigano kati ya vikosi vya Ukraine na waasi wa maeneo hayo; wewe haya huyajui, lakini unajidai hapa kuwa mjuaji kuliko wengine!
 
SQM 53.9??? Hili ni eneo dogo hata nusu ya uwanja wa mpira halifiki.
Huyo mleta mada hana ufahamu wowote wa vipimo hivi.
Sasa atakuja hapa kutetea kwamba alikuwa na maana ya "Square Mile".

Na hata kama angekuja na maana hiyo, maelezo yake kivita bado yatakuwa hayana msingi kabisa.
 
Huyo mleta mada hana ufahamu wowote wa vipimo hivi.
Sasa atakuja hapa kutetea kwamba alikuwa na maana ya "Square Mile".

Na hata kama angekuja na maana hiyo, maelezo yake kivita bado yatakuwa hayana msingi kabisa.
Kwa akili yako Square miles 53.9 ni eneo ambalo halizidi uwanja wa mpira. ? Tupe takwimu za total eneo ya Bakhmut na Soledar. Kama huna hoja ukalale. The reality is 53.9 SQKM
 
Hebu tulia kijana usijiaibishe mbele ya kadamnasi maana wanajua uwezo wako ulipokomea. Tulia ujifunze kwanza. Porojo weka pembeni hapa ni facts tu


Tena maswali yako yote umeshajibu Wewe mwenyewe kutoka hapa👇🏻

 
Takataka hii imeandika uoze..mswahili alishashiba kisamvu na dagaa mchele..baas kutwa kucha ni kucheza vigoma tu! Wewe unasiri kuzid KGB wewe! Ebu tuondolee bangi za msovera hapa.
 
Hivi kwa nini vijana wa zelesky ni mapopoma hivyo? Uzi upo kule nyie mnakuja kuanzisha takataka zingine humu..mood ebu toa hizi takataka..hatutaki dublication jf
 
Peleka ujinga wako huko....
 
ulivyoandika kishabiki! utafikiri shabiki wa Yanga!
 
Kwa akili yako unadhani ni Urusi pekee inayopoteza rasilimali kwenye hii vita. Vipi Marekani na nchi nyingine za NATO hawapotezi rasilimali na kuharibu uchumi wao kwa kutuma mabilioni ya fedha na silaha Ukraine yaliyo nje ya bajeti zao?
Mataifa ya Magharibi wanatoa ziada kuisaidia Ukraine lakini Urusi inatoa kile kinachohitajika sana kwa maendeleo ya nchi yake na maisha ya watu wake.

Kumbuka uchumi wa Urusi ni mdogo zaidi ya mara 10 ya uchumi wa US. Uchumi wa Urusi ni mdogo kuliko wa Germany, Uk, France, South Korea, Japan, Italy, halafu hao wenzake ambao wana uchumi mkubwa kuliko yeye Mrusi wanachangia kuisaidia Ukraine.

Marekani hata akitoa 1% ya uchumi wake kuisaidia Ukraine itakuwa ni zaidi ya dola billion 200, ambayo itakuwa ni pesa nyingi sana kwa Ukraine, na itakuwa ni nyingi mno kwa Urusi kuitumia kwenye vita. Na hiyo ni Marekani pekee. Je, mataifa yote ya Magharibi yakiamua kila moja kutumia 1% tu ya mapato ya mataifa yao, itakuwa ni pesa kiasi gani? Na je, Urusi itaweza kutumia kiasi hicho kwa vita tu?

Asikudanganye mtu, vita ni pesa, halafu ndiyo inafuata tekinolojia na ari ya wapiganaji. Kama huna pesa, vingine vyote haviwezi kukupa ushindi.

Ingekuwa Ukraine imeivamia Urusi, Urusi iwe inapigana na mvamizi nchini mwake, nafasi ya ushindi ingekuwa kubwa kwake, lakini kwa vile ameivamia nchi ya watu wengine, na aliyevamiw. a ana ari ya kumwondoa mvamizi, tena akiwa na support kubwa ya mataifa mengine, Urusi kamwe haiwezi kushinda, itakachofanikiwa ni kuiharibu tu Ukraine na kuwaua raia wasio na kosa, lakini naye akijiangamiza kabisa.
 
Bro acha uongo! Hivi Leopard tanks siyo advanced weapon ya NATO? Patriot Missile System haimo kwenye NATO arsenal?
Vyote ulivyovitaja siyo advanced weapons za NATO. NATO wana sera yao, hawauzi silaha yoyote ya latest technology kwa Taifa lolote. Watakapoiweka kwenye market, tayari wanayo iliyo na uwezo mkubwa zaidi.
 
Na huo mji, warusi wameuawa kama kuku hadi kiongozi wa Wagner kutamka wazi kuwa wapiganaji wake wameisha, waliosalia anataka wakapumzike, na majeshi ya Urusi yakachukue nafasi zao.

Haya hapa ni maelezo ya kundi la wapiganaji Warusi waliopo Ukraine wanaotaka kumwondoa Putin. Jana wamefanikiwa kuingia Urusi, na kushambulia.

For months Ukrainian commanders in charge of troops on the ground, and the troops themselves, have scratched their heads over why Russia was prepared to invest so much material, and spend so many Russian lives, on trying to capture a town that has no obvious tactical, let alone strategic, value.

Wagner, and whoever is paying the company’s bills, were profligate with its people.

In December, a member of the International Legion of Defense of Ukraine, fighting in a group of about a dozen men to the south of the town, called from the front line.

“It’s incredible,” he told me. “Those Wagner guys come in waves of, like, 40 at a time. We kill 35. Five get into a trench or a house, then they send another 40 and we shoot another 35 or so. We’re just cutting them down like grass.”

It was assumed the “musicians,” as pro-Russian groups like to call the mercenaries, were largely prisoners. Yevgeny Prigozhin, the head of the company, likes to call them “recidivists.” These convict recruits, some of them facing long sentences, were offered freedom if they survived six months at the front.

Clearly many did not. Instead, they were thrown into what both sides call the “meat grinder.”

“They’re coming at us all the time. We don’t know why they value Bakhmut so much but we know where they are and we know where to kill them,” said a brigade commander at the end of last year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…