Urusi na China haziwezi kuiangusha Marekani

Atachapika mchana kweupe. Anategemea TAG kupigana. Kama. Kidume alianzishe halafu aone kama kuna mtu atazingatia articles 5 🀣🀣🀣 kwenye mkataba wa NATO. Ujerumani anaujua uchungu wa kipigo cha Mrusi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
USA Hypersonic kaitoa wapi wakati mwaka wa 5 huu anaishia kwenye kuijaribisha inafeli 🀣🀣🀣
 
Mwanzo wa kuanguka huyo beberu na washirika wake wa ulaya umefika na mwangushaji ni mwamba .Mr.MoscovistchπŸ€”.Rejelea ya Silicon valley, Signature,akina Credit suisse,sasa akina Dotsch bank acha mengine yanayofichwa kwa maslahi ya hao mabeberu πŸ˜‚.
 
Wala haihitaji muungano wa RUSSIA na China, kama wakimpa yule dogo wa Noth Korea dk 15,, USA Hayupo,,
 
Story za vijiwe vya kahawa bana utazijua tuu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 1944 Wamarekani waliwasaidia Wa-Russia Vifaa Vya vita na baadhi ya technology za vita.
Mmarekani na Mrusi wanajuana vizuri. Walipotoka, walipo na wanakoenda.
 
We Dogo,acha bangi
 
Mtu yoyote anayefikiria US inaweza kuvamiwa, kupigwa na kushindwa kijeshi na taifa lolote kwa sasa hana akili, ni wa kupuuzwa tu.
Maisha ya Marekani yamejengwa kwenye vita na ndo itavyokuwa kwa muda mrefu sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Acha kuwa poyoyo, hakuna Taifa liko vizuri kama Marekani kwenye logistics za kijeshi, ndio maana wanaweza ku project power na kupigana popote duniani kwa muda mrefu sana. Urusi hapo mpaka kwake tu Ukraine panamtoa kamasi unaenda mwaka wa pili sasa.
Waliweza ondoa watu 10,000 kutoka Afghan ndani ya Masaa 24

Hakuna nchi ina huo uwezo, kwa jumla iliondoa watu 120,000 kwa siku 20

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Halafu usa hawezipeleka silaha nzito kwenye nchi washirika wa NATO sababu nchi inawza kujiondoa NATO na kuwa adui wa marekani anytime na ikatumia silaha hizo hizo kujilinda hivo mtoa post fanya analysis zako upya
Hivi unadhani silaha zinapelekwa pelekwa tu bila mikataba?

Hujajiuliza kwanini kuna silaha nchi zinashindwa peleka Ukraine kisa hawana ruhusa kutoka nchi iliyowauzia?



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Huku kote unakofurahia alikimbia, ni kwa sababu tu ujitambui, huko marekani kachafua balaa watu wa huko ndo wanaojua mziki wa American huko kwao, USA ndani wiki tu tayari kashakalia ikulu yenu

Sasa kawambiaje wakati Afghanistan kakalia ikulu kwa miaka 21, Iraq hadi leo ebu twambie ulitaka akae milele kwenye nchi hizo?

Mrusi mwaka sasa kashindwa kuifikia Kyiv, alafu unakuja humu ujamba et mrusi ni hatari toa ujinga wako hapa wa kimahaba bwashee, USA walitumia wiki 3 tu kufika Baghdad, wiki kadhaa sijui 1 kifika Kabul sasa sijui unatumia akili gani kutwambia et mrusi ni hatari labda kwako bwashee
 
Kuweza kupata washirika wa kukuunga mkono vitani ni akili kubwa pia katika military strategy . Kwenye vita watu hawaendi kuuza sura, ni suala la kufa na kupona, sasa kama kuna watu wako tayari kukusaidia kupunguza vita vya wanajeshi wako na gharama utakuwa mpuuzi kujidai hutaki mchango wao.
 
Wewe kwa uelewa wako kabisa unafikiri Urusi inapigana na nani pale Ukraine??
Kwani Urusi inapata madolari mangapi kutoka nchi za Umoja wa Ulaya?
Kwa uelewa wako unaona kabisa Ukraine anazichapa na Russia? Uliza [emoji631], [emoji629], [emoji636], [emoji632] na nchi umoja wa nato wametumia madolari mangapi hadi leo ili kumsafocate huyo mrusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…