Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Ukoo wa utawala wa Assad (ambao ni Shia) umekuwepo muda wote huko Syria ambapo sunni ni wengi, mbona haukutoka madarakani kipindi chote hicho mpaka sasa hivi, ikiwa haya yanayoendelea sasa dunia (kuchoka kijeshi kwa Hezbollah, Iran na Russia) hayahusiki?

Turudi kwenye mada yako (Russia na Iran hawatakubali kamwe utawala wa Assad uanguke) ambayo umeiandika siku kumi tu zilizopita hapa JF. Nini kimebadilika ghafla hivyo mpaka Assad kafumuliwa na kumtimuliwa kirahisi sana?
 
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi,

Nipo pembeni nimejibanza nasubiri maswali yako maana ni mazuri wasomaji wanapata faida.
 
Tafuta tiba muda unaoa
 
View: Pole sana ustaadh kapumzike kwanza sonona itakutesa sana
 
Kichwa cha thread yako kinasemaje na hoja yako ilikuwa ni ipi? Maana naona ni kama unajishambulia
 
Unabugia matapishi yako kwa uchingu sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Usijaribu kumpigania mtu na kumpa ushindi kama Yanga na Simba ambao hishinda kwa midomo.

Hata Putin wenu huko Ukrsine atashindwa siku moja.

Iran wenu naye atapigwa tu ni suala la muda
 
Hayo haukuyajua kabla?
kingereza huwenda kinasumbua.

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi,
 
Hayo yote ulikuwa hauyajui wakati unaanzisha uzi wako?
 
Ujinga mtupu!
 
Sasa mbona ulituaminisha kuwa Urusi na Iran hawatakubali utawala wa Assad uanguke?
 
View: https://x.com/clashreport/status/1865681284728524806?t=vWUc01dkZQtU1L-WUPjc-A&s=19
 
Upo Ritz...au Aljazeera wanadanganya...?

EXPLAINER
News|Syria's War

What happened in Syria? How did al-Assad fall?​

Opposition forces have taken control of the capital after a significant offensive. Here is how it unravelled.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ