Luis 505
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 676
- 948
Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera.
Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao hawawezi kutii matakwa ya IMF pamoja na World Bank kwa maana ni Political Tools za NATO na EU??
Inakuwaje Russia mjamaa akawa na mfumo wa vyama vingi kama Marekani bepari badala ya yeye (Russia) kuwa chama kimoja kama mjamaa wenzie China??