Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera.

Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao hawawezi kutii matakwa ya IMF pamoja na World Bank kwa maana ni Political Tools za NATO na EU??

Inakuwaje Russia mjamaa akawa na mfumo wa vyama vingi kama Marekani bepari badala ya yeye (Russia) kuwa chama kimoja kama mjamaa wenzie China??
Mfumo wa vyama vingi sio wa kibepari. Mfumo huo upo ktk mataifa mengi tu. Na ujamaa pia haumaanishi udikteta.
 
Nchi zote zilizokuwa za kijamaa Sasa hivi Zina element pia za kibepari, hakuna nchi ya zamani ya kijamaa ambayo ni socialist state 100% lazima ukute capitalist element
 
Russia Kuna Raisi wao flani WA zamani (nmemsahau jina), mwaka Jana nadhani, alifariki Kwa uzee sn, wakafukia na akazikwa Kama mbwa.

MAITI yake ilisimangwa mno na hakuna kiongozi yeyete WA serikali alihudhuria ule msiba.

Warusi asilia (wacommunist) wanamchukia vibaya mno.

Wanasema alikua kibaraka wa mabeberu na ndo aliwaletea mfumo huo wa demokrasia (vyama vingi) na uhuru WA manyani kwenye umoja wa sovieti.

Wanasema akiwa madarakani, alishirikiana na marekani ndo alichochoea Hata USSR kuvunjika na majimbo mengi kujitenga na kuunda nchi zao, likiwemo kina Finland,Georgia, Ukraine n.k

ANAEKUMBUKA JINA LAKE, ALETE TAARIFA ZAIDI
Gorbachev
 
Haujajibu swali langu hata moja. Ujamaa na extrajudicial killings ni kitu kimoja. Tazama East German, Cuba, Romania, USSR and the likes.

Ujamaa ni kuminya uhuru wa watu kuelezea fikra zao.
But tofautisha ujamaa na Udikteta:Hitler alikua adui namba moja wa ujamaa, but kaua watu wengi sana, Mobutu hakuwa mjamaa, Idd Amin hakuwa mjamaa.
Ujamaa ni mzuri but ni uongo unaenda kinyume na hulka za wanadamu, ushindani, ubinafsi etc..Ubepari ni mbaya zaidi but unafit 100% kwenye asili ya wanadamu - so tunaenda na ubepari
 
Good
 
Back
Top Bottom