Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

Anaweza hakawa kwenye form yoyote ndani ya hizo tatu ...hata ubepari una udicteta ...hivo kuna madicteta mabepari na madicteta wajamaa na kwenye hizo aina mbili zilizo baki ni hivyo hivyo ndiyo maana nikakuambia wewe unachanganya madesa ...
1)upo ubepari wa kidicteta na usio wa kidicteta.
2)upo ujamaa wa kidicteta na usio wa kidicteta.
Dicteta siyo kuwa dhalimu tu wapo madicteta wa haki na wazalendo ...mfano wa dicteta wa hivyo ni MUNGU
Ni Rais yupi mjamaa ambaye hakuwahi kuwa dictator?? Castro?? Stalin??
 
Anaweza hakawa kwenye form yoyote ndani ya hizo tatu ...hata ubepari una udicteta ...hivo kuna madicteta mabepari na madicteta wajamaa na kwenye hizo aina mbili zilizo baki ni hivyo hivyo ndiyo maana nikakuambia wewe unachanganya madesa ...
1)upo ubepari wa kidicteta na usio wa kidicteta.
2)upo ujamaa wa kidicteta na usio wa kidicteta.
Dicteta siyo kuwa dhalimu tu wapo madicteta wa haki na wazalendo ...mfano wa dicteta wa hivyo ni MUNGU
Ninakubaliana na wewe kwa kiasi kidogo sana ya kwamba "there's nothing called pure democracy" hata Marekani kuna elements kidogo mnoo za udikteta.

Hata nchi za kidikteta kuna elements kidogo za demkrasia kwa maana kwamba licha ya kuwa wana chama kimoja, bado watu wanapiga kura kuchagua wabunge na madiwani.
 
Ndiyo maana nikakuambia hayo maneno ya ujamaa na ubepari hayana uhusiano na udicteta au democracy ni vitu tofauti kabisa hata serikali ya kifalme inaweza kuwa ya kijamaa au ya kibepari ...ubepari ni kujijari mwenyewe au wenyewe dhidi ya wengine ....ubepari ni ubinafsi
 
Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera.

Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao hawawezi kutii matakwa ya IMF pamoja na World Bank kwa maana ni Political Tools za NATO na EU??

Inakuwaje Russia mjamaa akawa na mfumo wa vyama vingi kama Marekani bepari badala ya yeye (Russia) kuwa chama kimoja kama mjamaa wenzie China??
Ujamaa haina uhusiano na vyama
 
Urusi ilibidi ikubali mfumo wa vyama vingi na kukubali states zake kujitenga na USSR ili ipewe msaada na Marekani na WB. Miaka ya 1990, Urusi ilikuwa kwenye hali ngumu sana ya uchumi.
Hata hivyo, mfumo wa vyama vingi nchini Urusi, upo unakaribiana na wa Tanzania. Wakati hapa kwetu viongozi wa vyama vya upinzani wanatekwa, wanauawa , wanapotezwa na kubambikiwa kesi na chama tawala CCM, Putin kule Russia, viongozi wa upinzani, yeye hawateki kama inavyofanya CCM hapa kwetu, yeye anawaweka jela kwa miaka mingi kupitia mahakama zenye uhuru bandia kama za hapa kwetu.

Russia has received aid and grants from various countries and organizations, including the United States through programs like the bilateral aid program for Russia and the former Soviet republics, and from the World Bank for international development assistance.

Here's a more detailed breakdown:
  • United States:
    • The United States announced a bilateral aid program of $1.8 billion for Russia and the former Soviet republics.
For what purpose!!!
 
Wewe ni zuzu hata elimu ya udicteta inaeleza vizuri aina mbili za madicteta...kutawala kwa nguvu kuko kwa aina mbili ni kama jambazi na polisi... polisi anaweza kutumia nguvu ila kwa ajili ya haki na jambazi utumia nguvu dhidi ya haki...na udicteta ni hivyo hivyo upo wa haki na usio wa haki hata tawala za kifalme zipo za haki na zipo zisizo za haki .
 
Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera.

Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao hawawezi kutii matakwa ya IMF pamoja na World Bank kwa maana ni Political Tools za NATO na EU??

Inakuwaje Russia mjamaa akawa na mfumo wa vyama vingi kama Marekani bepari badala ya yeye (Russia) kuwa chama kimoja kama mjamaa wenzie China??
Aliyekuwa Mjamaa ni USSR na sio Russia.
 
Mikael Gorbachev na perestroika
Russia Kuna Raisi wao flani WA zamani (nmemsahau jina), mwaka Jana nadhani, alifariki Kwa uzee sn, wakafukia na akazikwa Kama mbwa.

MAITI yake ilisimangwa mno na hakuna kiongozi yeyete WA serikali alihudhuria ule msiba.

Warusi asilia (wacommunist) wanamchukia vibaya mno.

Wanasema alikua kibaraka wa mabeberu na ndo aliwaletea mfumo huo wa demokrasia (vyama vingi) na uhuru WA manyani kwenye umoja wa sovieti.

Wanasema akiwa madarakani, alishirikiana na marekani ndo alichochoea Hata USSR kuvunjika na majimbo mengi kujitenga na kuunda nchi zao, likiwemo kina Finland,Georgia, Ukraine n.k

ANAEKUMBUKA JINA LAKE, ALETE TAARIFA ZAIDI
 
Ninakubaliana na wewe kwa kiasi kidogo sana ya kwamba "there's nothing called pure democracy" hata Marekani kuna elements kidogo mnoo za udikteta.

Hata nchi za kidikteta kuna elements kidogo za demkrasia kwa maana kwamba licha ya kuwa wana chama kimoja, bado watu wanapiga kura kuchagua wabunge na madiwani.
Nchini Marekani, kura za wananchi haziamui kwa 100% Ni nani atakua Raisi WA nchi
 
Medvedev, Putin na All Russian Party sio communists.Wakommunists wapo na chama chao mpaka leo sema wanashindwa kuungwa mkono kulinganana na sera zao.
Mkumbuke Russia ya communists ni ya kipindi cha kuanzia 1917 - 1990, but Russia ilikuwepo for more than 1000 yrs before communists took over.
Russia imekuwa Imperial Power kwa kipindi kikubwa cha uwepo wake...Na hiki ndo kinawaogopesha Ulaya - kuwa nchi kubwa ilivyo leo ni sababu ya imperialisnlm - conquest na kuchukua maeneo kuanzia Siberia huko etc.
Pili Wa-communists wala sio tishio Urusi kivile - Kitisho Urusi na Ulaya yote kwa sasa ni NATIONALISTS PARTIES na conservatives..wapo wanapambana Urusi na Ulaya nzima na ndo maana mfano France hawapewi nafasi ya kudhinda hawa ndo wakina Le Pen.
Hawa watu siku wakishika madaraka Urusi ndo mtaelewa kuwa Putin mlaini sana the like ya Nationalists ni wakina Hitler etc..Europe first at superior race.
Hivi trump sio nationalist kweli yule?
 
Back
Top Bottom