DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
North Korea huyo, unazungumzia picha ya baba yake kiduku, hiyo iko Hadi AIRPORT,Kila mgeni anaefika nchini Ni sharti asujuduš
th koreKuna ka clip nilikaona ka nchi moja ya kikomunisti sijui kijamaa,kwanza lazima uwe na picha ya kiongozi wao aliefariki.Sasa wewe jifanye hamnazo usiwe nayo au uwe nayo halafu polisi waje waikute ina vumbi.Aisee wewe andaaa matako yako utacharazwa mikwaju mpaka utasema ni nini hiki asee.Yaani huko watu wakiamka kabla ya kupiga mswaki ni kuhakikisha hiyo picha ipo na haina vumbi.Na mapolisi wanakagua kila siku tena ghafla huku wakiwa na mijeledi.