Vyama vya upinzani vipo vingi tu huko Urusi, japo vimeminywa.Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera.
Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao hawawezi kutii matakwa ya IMF pamoja na World Bank kwa maana ni Political Tools za NATO na EU??
Inakuwaje Russia mjamaa akawa na mfumo wa vyama vingi kama Marekani bepari badala ya yeye (Russia) kuwa chama kimoja kama mjamaa wenzie China??
Mifumo yao ya kiutawala ni tofauti.Kwanini Russia sio kama China ingawa wote ni wajamaa?? Ulishawahi kusikia Wachina wanapiga kura ya kumchagua Rais??
Ni nchi ya kitapeliMambo n mengi mzee, em malizia sentensi sasa kwa kusema n nchi gn
Bila shaka uliielewa point yangu ila ulitaka tubishane tuuKatina ya jamuhuri nasema Tanzania ni nchi ya kijamaa but practice ni za kibepari
Presidential election ya China haina maana yoyote Rais wa China ni kama ceremonial figure tu nguvu ipo kwa chama cha kikomunisti katibu mkuu wa China ndio mara nyingi ni paramount leader japo sio mara zote ukiwa na nguvu ndani ya chama cha kikomunisti za kiushawishi haiitaji hata uwe Rais au Katibu mkuu unaweza kuwa kiongozi mkuu wa China bila vyeo hivyo mfano alikuwa Deng Xiaoping.Presidential election ya China imekaaje mkuu??
Unaweza usiisikie hivyo lakini anachaguliwa na majority indirect kupitia uchaguzi wa wajumbe waliochaguliwa na wananchi nao wanafanya uchaguzi wa Rais.Ulishawahi kusikia Wachina wanapiga kura kumchagua Rais??
Russia sio wajamaa unachanganya Russia na USSRKwanini Russia sio kama China ingawa wote ni wajamaa?? Ulishawahi kusikia Wachina wanapiga kura ya kumchagua Rais??
Mfumo wa kidemokrasia una uhusiano gani na economic ideology?Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera.
Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao hawawezi kutii matakwa ya IMF pamoja na World Bank kwa maana ni Political Tools za NATO na EU??
Inakuwaje Russia mjamaa akawa na mfumo wa vyama vingi kama Marekani bepari badala ya yeye (Russia) kuwa chama kimoja kama mjamaa wenzie China??
Ukweli mchungu huu. Safi sana.Urusi ilibidi ikubali mfumo wa vyama vingi na kukubali states zake kujitenga na USSR ili ipewe msaada na Marekani na WB. Miaka ya 1990, Urusi ilikuwa kwenye hali ngumu sana ya uchumi.
Hata hivyo, mfumo wa vyama vingi nchini Urusi, upo unakaribiana na wa Tanzania. Wakati hapa kwetu viongozi wa vyama vya upinzani wanatekwa, wanauawa , wanapotezwa na kubambikiwa kesi na chama tawala CCM, Putin kule Russia, viongozi wa upinzani, yeye hawateki kama inavyofanya CCM hapa kwetu, yeye anawaweka jela kwa miaka mingi kupitia mahakama zenye uhuru bandia kama za hapa kwetu.
Russia has received aid and grants from various countries and organizations, including the United States through programs like the bilateral aid program for Russia and the former Soviet republics, and from the World Bank for international development assistance.
Here's a more detailed breakdown:
- United States:
- The United States announced a bilateral aid program of $1.8 billion for Russia and the former Soviet republics.
Poland ??Kateleza tu, Finland haijawahi kua sehemu ya USSR.
Kuna zile zilikuwa tegemezi kwa nyingine kama Tajikistan na Kyrgyzstan.Yule mzee ni kama alikua anaujaribu mfumo WA vyama vingi kuona mwitikio wake Kwa raia wake,
maana kabla ya hapo urusi na USA walikua maadui wakubwa sn tangu enzi za cold war.
Pia aliamini, uadui na usa sio njia ya kyikuza urusi kiuchumi na kimaendeleo.
Ndo yule mzee akaanza safar nyng za USA, na ndipo vinchi vya mipakani vingi vikaanza vuguvugu la kujitenga.
Na kwaSababu mzee ndo alkua madarakani na Hakua na noma, Basi akaruhusu wanaotaka kujitenga na wajitenge, wakaanze maisha Yao.
Na kibaya zaid wote waliojitenga wakawa marafiki WA USA, adui Yao namba Moja.
Hiyo kitu ndo ilileta shida sn maana warusi asilia wakaona Kama adui Yao ni kama anawasogelea mdomoni.
Na katk kujitenga, nchi zilizowauma Sana wasovieti kujitenga, ilkua Ukraine.
Maana kule ndo kulikua na viwanda vyaovingi, na ardhi nzur sn yenye rutuba, Hadi mitambo ya nyuklia.
Navyoelewa Medvedev aliwekwa na Putin kuwa Rais kama zuga tu. Putin alimpisha Medvedev kuwa Rais, muda wake ulipoisha akarudi tena kuwa Rais.Wale jamaa ni wacommunist pure, ndo maana Medvedev alivokua Raisi, akamfanyia vetting puttin ili awe next
president (enzi izo Putin Ni prime minister) ili Kuendeleza falsafa.
Wanaogopa kumpata Raisi pandikizi la USA, vetting inatoka Kwa wanazi WA kikomunist wenyewe na sio Tena ule mfumo WA zamani kupiga kura kwenye chama.
Sahii kabisa mkuuNavyoelewa Medvedev aliwekwa na Putin kuwa Rais kama zuga tu. Putin alimpisha Medvedev kuwa Rais, muda wake ulipoisha akarudi tena kuwa Rais.