Hehehe!!!Any answers please??
Huyu jamaa tulimsoma nafikiri advance levelRussia Kuna Raisi wao flani WA zamani (nmemsahau jina), mwaka Jana nadhani, alifariki Kwa uzee sn, wakafukia na akazikwa Kama mbwa.
MAITI yake ilisimangwa mno na hakuna kiongozi yeyete WA serikali alihudhuria ule msiba.
Warusi asilia (wacommunist) wanamchukia vibaya mno.
Wanasema alikua kibaraka wa mabeberu na ndo aliwaletea mfumo huo wa demokrasia (vyama vingi) na uhuru WA manyani kwenye umoja wa sovieti.
Wanasema akiwa madarakani, alishirikiana na marekani ndo alichochoea Hata USSR kuvunjika na majimbo mengi kujitenga na kuunda nchi zao, likiwemo kina Finland,Georgia, Ukraine n.k
ANAEKUMBUKA JINA LAKE, ALETE TAARIFA ZAIDI
Mikhail Gorbachev au?Russia Kuna Raisi wao flani WA zamani (nmemsahau jina), mwaka Jana nadhani, alifariki Kwa uzee sn, wakafukia na akazikwa Kama mbwa.
?
MAITI yake ilisimangwa mno na hakuna kiongozi yeyete WA serikali alihudhuria ule msiba.
Warusi asilia (wacommunist) wanamchukia vibaya mno.
Wanasema alikua kibaraka wa mabeberu na ndo aliwaletea mfumo huo wa demokrasia (vyama vingi) na uhuru WA manyani kwenye umoja wa sovieti.
Wanasema akiwa madarakani, alishirikiana na marekani ndo alichochoea Hata USSR kuvunjika na majimbo mengi kujitenga na kuunda nchi zao, likiwemo kina Finland,Georgia, Ukraine n.k
ANAEKUMBUKA JINA LAKE, ALETE TAARIFA ZAIDI
Huyu jamaa tulimsoma nafikiri advance level
Yah! Kitu Kama hicho mkuuMikhail Gorbachev au?
Inasikitisha sana mkuu 😎Wacommunist walimlaani yeye na kizazi CHAKE chote, ilifikia hatua Hadi Wana UKOO wote WA yule jamaa wakawa hawapewi ajira wala kuuziwa bidhaa muhimu nchini urusi , Hata ajira walikua wanabagiliwa.
Ndugu Hadi Wana familia Wengi walimkimbia yule mzee na kwenda kuishi zao ulaya na kwingineko,
Yule mzee akakaza kua Kama ni kufia Russia Basi atafia kwenye ardhi yake, Kama ni kumhukumu Basi wamfunge akafie jela za Russia Ila hakimbii nchi.
Serikali ya kina Putin na Medvedev wakaamua wamuache TU, amalizie maisha ya uhai wake.
Yule mzee amefariki kifo Cha upweke Sana, wakati aliwai kua Raisi WA nchi Ile.
Mzee kafariki anazikwa Kama mzoga,ndugu wanamkimbia kumzika kuepuka (stigma) ubaguzi Kwa kujihusisha nae.
Usaliti kwa nchi hauvumiliki mkuu...Wacommunist walimlaani yeye na kizazi CHAKE chote, ilifikia hatua Hadi Wana UKOO wote WA yule jamaa wakawa hawapewi ajira wala kuuziwa bidhaa muhimu nchini urusi , Hata ajira walikua wanabagiliwa.
Ndugu Hadi Wana familia Wengi walimkimbia yule mzee na kwenda kuishi zao ulaya na kwingineko,
Yule mzee akakaza kua Kama ni kufia Russia Basi atafia kwenye ardhi yake, Kama ni kumhukumu Basi wamfunge akafie jela za Russia Ila hakimbii nchi.
Serikali ya kina Putin na Medvedev wakaamua wamuache TU, amalizie maisha ya uhai wake.
Yule mzee amefariki kifo Cha upweke Sana, wakati aliwai kua Raisi WA nchi Ile.
Mzee kafariki anazikwa Kama mzoga,ndugu wanamkimbia kumzika kuepuka (stigma) ubaguzi Kwa kujihusisha nae.
Nchi za kikomunist Kuna stigma Moja hatari Sana na ndo maana raia wake wako wengi royal Sana na nchi zao.Inasikitisha sana mkuu 😎
Mtu analitiaje moto pori analoishi na wanafamilia wake kwa harakati za kuambiwa na zitokazo nje ya hilo pori ?!!Nchi za kikomunist Kuna stigma Moja hatari Sana na ndo maana raia wake wako wengi royal Sana na nchi zao.
Sio kwamba Ni wanapenda,
Bali Huwa wanawaza kua wakimess-up , watavikost Sana vizazi vyao vingi vijavyo
Viongozi WA kikomunist wakiamua kudili na Wewe PERPENDICULAR, Visasi vyao Huwa vinaenda Hadi kwenye familia Yako ulikotoka,wanaUKOO wako na vizazi vingi vijavyo vinavyotumia jina lako.
Katika Hali Kama hiyo,
Siku ukitaka kufanya ujinga, itabd kwanza uwawazie unaowaacha kuliko kujiwazia Wewe mwenyewe.
MKUU, UMEKUMBUKA ILE STORY YA MCHINA KUJINYONGA, KISA KAJENGA DARAJA AFU LIMEBOMOKA?
U
Usaliti kwa nchi hauvumiliki mkuu...