Mshukuruni Yushenko wa Belarus amemshawishi Kiongozi wa Wegner kusitisha kuingia Moscow.Hizi habar nmezipokea kwa masikitiko na majonzi makubwa sn,Yaan hadi mikono inanitetemeka[emoji26]
Dah!Nimerudia tena na tena Wagner hawana ubavu wa kumpindua Putin
Nakuhoji kama mwandishi wa habari mkuuWewe unaonaje?
Utaalam wako unakwambia nini?
Unanihoji ukiwa kama nani?
Mkuu wewe una ngozi ya blue?, au ndo nyani haoni kundule
Bila ya idhini ya mhojiwa, hiyo kazi uliianzia wapi?Nakuhoji kama mwandishi wa habari mkuu
Mshukuruni Yushenko wa Belarus amemshawishi Kiongozi wa Wegner kusitisha kuingia Moscow.
Kwa taarifa yenu huyu jamaa ana ushawishi kwa wanajeshi wengi kuliko waziri wa ulinzi ndio maana hana upinzani mkubwa
SahihiDah!
Wataanzia wapi?
Hivi watu wanassahau kwamba makundi kama haya ya Yevgo, hata huko Magharibi, na hasa Marekani yapo; lakini hayana uwezo wa kutimiza azma zao hizo?
Prigo falaMna bahati tais wa Bwlarus ameongea na Prigo amekubali kirudisha watu wake kambini
Ataishia kuawa burePrigo fala
Ngoma inogileBinafsi naona ni njamaa, maana kabla ya hapo wamekuwa na mgogoro mkubwa sana.
Wagner walimalalamikia kuwa jana Shoigu aliwapiga mabomu, hivyo Wagner wakasema wanaenda mfata Shoigu na mwenzake.
Maajabu walipofika mpakani wakaachwa wakapita hadi makao makuu ya jeshi, wakapateka.
Putin akatangaza kuwa Wagner wamechagua njia isiyo sahihi hivyo wauawe
, Baada ya hapo Wagner imebidi liwalo na liwe ndo maana wakaanza enda Moscow
Cha ajabu hawajashambuliwa hadi wanakaribia Moscow
Na viongozi wengi wameondoka
Usisikitike mkuu hakuna uasi media zimelikuza hili jamboHizi habar nmezipokea kwa masikitiko na majonzi makubwa sn,Yaan hadi mikono inanitetemeka[emoji26]
Wewe matako kweli. Ngozi nyeusi inaingiaje hapo?ngozi nyeusi bhna tabu tupu kazi kupiga kelele kushadadia mambo yasiyo wahusu,mara cjui putin atakoma sijui wagner kafanyaje upuuzi mtupu.
badala muangalie ya nchini kwenu kazi kuleta ujuaji thats why i sayed black people waliumbwa kwa majaribio ndo zikaja race nyingne uwezo wenu wa kufikiri ni poor
Mkuu si ulitoa maoni????? Nina haki ya kukuhoji mkuu au sina???Bila ya idhini ya mhojiwa, hiyo kazi uliianzia wapi?
Wewe ni shabiki tu, kama hawa wa Yanga na Simba, hata katika mambo mazito kama haya ya maslahi ya nchi husika.