Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

Mauwaji yoyote yale ni ukatili, ila ulichoelezea ndo tofauti ya Marekani na Urusi, Urusi anatumia maguvu uku US anatumia akili
Jamaa nimeshampa ukweli kuhusu hili..,nimemuuliza kwa nini urusi anaamini katika matumizi ya nguvu Ili kutimiza malengo yake?? Kwa nini asitumie ushawishi kama marekani?? Mpaka Sasa hajanipa majibu!
 
Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari

Hawawezi, walisema wanatoa siraha za kujilinda, hawawezi kutoa silaha za kufikia ardhi ya Russia, na kuna kifungu cha kutoa hizo silaha ni kwamba wasizitumie kupiga ardhi ya Russia, excluding Crimea bdw
 
Jamaa nimeshampa ukweli kuhusu hili..,nimemuuliza kwa nini urusi anaamini katika matumizi ya nguvu Ili kutimiza malengo yake?? Kwa nini asitumie ushawishi kama marekani?? Mpaka Sasa hajanipa majibu!

Hawezi kujibu hilo
 
Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari
Mkuu HIMARS ina maroketi ya kuweza kupiga mpaka 300km lakini Biden anahofia kuwapa Ukraine kwakua ana wasiwasi watashambulia ndani ya Urusi na kusababisha Vita kua kubwa hata kugeuka kua nuclear war.
 
Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari

Mbona sio muda mrefu ataikimbia nchi, Warusi ni watu wenye kiburi sana na kuwaingiza kwenye aibu wanayopitia kwa sasa inawauma sana, soon watamgeukia huyo Putin kadiri wanajeshi wa Urusi wanavyozidi kupokea mapigo ya kainchi kadogo na kuitia Urusi aibu kubwa.
 
Ndio nzuri kwa upande wa mrusi coz wanajeshi wa ukraine wanajifichaga nyuma ya raia
Mrusi alivyo mwoga hupiga na kusambaratisha kila kitu bila kujali raia, Ukraine wamekua wakimuachia ashinde maeneo maana hawakutaka maafa kwa watu wao, sasa wakiondoa raia inabaki kufyatuliana kijeda, na sasa Mrusi keshahemeshwa atapigika tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko pro Russia mnasema tena kuwa Putin ndo anataka vita iwe ya mda mrefu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani aneumia haonekani hadi wameanza kupuyanga kusaka huruma
 
Mrusi alivyo mwoga hupiga na kusambaratisha kila kitu bila kujali raia, Ukraine wamekua wakimuachia ashinde maeneo maana hawakutaka maafa kwa watu wao, sasa wakiondoa raia inabaki kufyatuliana kijeda, na sasa Mrusi keshahemeshwa atapigika tu.
Wanaojificha nyuma ya raia wanajulikana na mrusi ana huruma sana
 
Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari
Hawahitaji kurefusha kitu. Kuna roketi mbalimbali kwa ajili ya HIMARS. Ukraine wanapewa zile zenye GPS (yaani uwezo wa kupiga kwa umakini mkubwa) hadi umbali wa kilomita 90 hivi. Kuna aina mbili nyingine zinafika mbali, hadi kilomita 500. Lakini Marekani haitoi hizo kwa sababu haitaki kutisha Urusi moja kwa moja.

Jisomee hapa: M142 HIMARS - Wikipedia
 
ProRussia vichwa vyao ni kama matikiti maji, hata hawaelewi wanachoshadadia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…