Waongeze 6 na ziwe za long range.Hizo HIMARS zipo kumi tu Ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waongeze 6 na ziwe za long range.Hizo HIMARS zipo kumi tu Ukraine
Jamaa nimeshampa ukweli kuhusu hili..,nimemuuliza kwa nini urusi anaamini katika matumizi ya nguvu Ili kutimiza malengo yake?? Kwa nini asitumie ushawishi kama marekani?? Mpaka Sasa hajanipa majibu!Mauwaji yoyote yale ni ukatili, ila ulichoelezea ndo tofauti ya Marekani na Urusi, Urusi anatumia maguvu uku US anatumia akili
Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari
Waongeze 6 na ziwe za long range.
Jamaa nimeshampa ukweli kuhusu hili..,nimemuuliza kwa nini urusi anaamini katika matumizi ya nguvu Ili kutimiza malengo yake?? Kwa nini asitumie ushawishi kama marekani?? Mpaka Sasa hajanipa majibu!
Mkuu HIMARS ina maroketi ya kuweza kupiga mpaka 300km lakini Biden anahofia kuwapa Ukraine kwakua ana wasiwasi watashambulia ndani ya Urusi na kusababisha Vita kua kubwa hata kugeuka kua nuclear war.Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari
Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari
Ndio nzuri kwa upande wa mrusi coz wanajeshi wa ukraine wanajifichaga nyuma ya raiaAnataka wahame ili wabaki wanajeshi wawatembezee kichapo
Mrusi alivyo mwoga hupiga na kusambaratisha kila kitu bila kujali raia, Ukraine wamekua wakimuachia ashinde maeneo maana hawakutaka maafa kwa watu wao, sasa wakiondoa raia inabaki kufyatuliana kijeda, na sasa Mrusi keshahemeshwa atapigika tu.Ndio nzuri kwa upande wa mrusi coz wanajeshi wa ukraine wanajifichaga nyuma ya raia
Kwani aneumia haonekani hadi wameanza kupuyanga kusaka huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko pro Russia mnasema tena kuwa Putin ndo anataka vita iwe ya mda mrefu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaojificha nyuma ya raia wanajulikana na mrusi ana huruma sanaMrusi alivyo mwoga hupiga na kusambaratisha kila kitu bila kujali raia, Ukraine wamekua wakimuachia ashinde maeneo maana hawakutaka maafa kwa watu wao, sasa wakiondoa raia inabaki kufyatuliana kijeda, na sasa Mrusi keshahemeshwa atapigika tu.
Hahahaa anapigwa yeye alafu yeye aliepigwa ndio ana make headlines!.Mandonga oyee
Hawahitaji kurefusha kitu. Kuna roketi mbalimbali kwa ajili ya HIMARS. Ukraine wanapewa zile zenye GPS (yaani uwezo wa kupiga kwa umakini mkubwa) hadi umbali wa kilomita 90 hivi. Kuna aina mbili nyingine zinafika mbali, hadi kilomita 500. Lakini Marekani haitoi hizo kwa sababu haitaki kutisha Urusi moja kwa moja.Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari
Mkuu ukisikia Tanzania tunamiliki HIMAR moja tu jua tutakuwa na heshima kubwa kwa majirani zetuHizo HIMARS zipo kumi tu Ukraine
Binafsi naamini kuwa Russia ningekuwa smart wangepata wanacho kutaka Bila kurusha hata risasi moja.......
Unanataka rais zelensiky afanye mazungumzo na mtu aliyetaka kuipindua serikali yake? Hivi unakumbuka rais Putin aliwahi kuwaambia wanajeshi wa Ukraine waweke siraha chini na kujisalimisha??
Na asikari katika nchi yoyote wakishaweka silaha chini na kujisalimisha maana yake nini ??
Naomba nikwambie kwamba Ukraine ni kweli itachakaa sana kutokana na hii vita inayoendelea lakini mwisho wa siku urusi itafurushwa tu,
Hata marekani aliichakaza sana Vietnam,akaua raia wasio na hatia,kama ni miji aliiteka mingi ya kutosha na kuikalia kimabavu kama anavyofanya Russia huko Ukraine, lakini kilichofuatia wote tunafahamu.., udhalim haujawai kushinda ndugu, this is nature! Hata ukiwa na teknolojia Bora kiasi gani madam unafanya udhalim na " nature imeshakataa hautatoboa!
Mwisho naomba nikwambie kwamba nguvu ya Russia aliyokuwa nayo mwezi wa 2 wakati hii operesheni ikiwa ya moto kwelikweli,sio hii Sasa ,kubali kataa lakini huo ndio ukweli mchungu,
Na hizo HIMARS zitaendelea kumsumbua sana tu maana silaha hambayo Russia hajatumia huko Ukraine labda ni nyukria tu, hypersonic zote ameshajaribu lakini hajafua dafu.., hivyo unaposema urusi katumia asilimia sijui 15 tu ya nguvu zake huko Ukraine wenye akili tunakushangaa sana