Urusi yaapa kurudisha maeneo yote yaliyotekwa na Ukraine

Safi sana. Uchambuzi murua
 
Mziki
Putin ni mjanja! Kurudi nyuma kwa majeshi yake siyo kushindwa vita.Subiri mziki uone,hata nchi za NATO sasa hivi hazitulii,hazijui nini Putin anachopanga kufanya.
Mziki WA nioko
 
Hivi kweli mkashindwa kuteka Kyiv, leo ndo Zele akimbie?
Wakati ana zana zinazowarudisha nyuma
 
Litakuwa kosa kubwa litalomtoa Putin madarakani, na huenda kitafanyika hicho
 
Putin ni mjanja! Kurudi nyuma kwa majeshi yake siyo kushindwa vita.Subiri mziki uone,hata nchi za NATO sasa hivi hazitulii,hazijui nini Putin anachopanga kufanya.
Kwa hiyo wewe unajua apangacho Putin?
Putin hana jeshi la kufanya lolote kwa sasa
Mobilization hadi watu wafundishwe, msimu wa baridi kali huu hapa, muda huo hutaona kelele sana maana visibility itakuwa zero
 
Hivi kweli mkashindwa kuteka Kyiv, leo ndo Zele akimbie?
Wakati ana zana zinazowarudisha nyuma

Una ushahidi gani wa kuthibitisha kwamba Putin alikuwa. na lengo la kuteka na kukalia jiji la Kiev?? Mbona matra hiyo mnairudia rudia kila mara??
 
Mziki wa Putin, wamarekani hawauwezi, ngoja aanze kushusha vitu vya nuclear ndio mtamjua vizuri
Huwa nacheka sana kwa matisho ya kitoto.
Unadhani hao unaowataja hawana hizo silaah?

Nuclear sio baruti. Pande zote zitapigika na hazitorudi normal
 
Kwa hiyo wewe unajua apangacho Putin?
Putin hana jeshi la kufanya lolote kwa sasa
Mobilization hadi watu wafundishwe, msimu wa baridi kali huu hapa, muda huo hutaona kelele sana maana visibility itakuwa zero

Labda nikusaidie kidogo - chunga sana propaganda za kitoto zinazo sambazwa na inept western media - hawaelezi ukweli kwamba wanajeshi wa Urusi wanao pigana front line hawazidi 200,000 hao ndio wako Ukraine wakipigana bega kwa bega na wana mgamb.

Kwa taarifa yako idadi kamili ya wanajeshi wa Urusi ni 2,500,000 (millioni mbili na nusu),mpaka sasa Putin hajatangaza vita kamili - siku akihamua kutangaza Ukraine nzima itakuwa haikaliki nawabieni, hakuna cha: Jeshi la Zelensky,mamuluki wa magharibi au wanajeshi wa NATO/US walio valia sare za jeshi la Ukraine wataweza kupambana ana kwa ana na jeshi la Urusi wakalishinda -wote watanyonyolewa manyoya na Putin, watakao pona watakwenda makwao kusimulia ubaya wa vita.
 
Kuna mbumbumbu aliekaza ubongo ambae yupo kwa mtogole shimoni kidongo chekundu kwa dumba bado atakua anajifanya hajakuelewa ulichokieleza
 
Putin ni mjanja! Kurudi nyuma kwa majeshi yake siyo kushindwa vita.Subiri mziki uone,hata nchi za NATO sasa hivi hazitulii,hazijui nini Putin anachopanga kufanya.
Litapigwa Jitu hadi mbwa koko waliopo humu watashangaa na kuanza kuuliza Putin ni shetani au ni nani? Subiri uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…