Urusi yaapa kurudisha maeneo yote yaliyotekwa na Ukraine

Putin ni Mandonga aliye changamka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] putin kakutana na meli ya vibwengo ila Russia vita hii wangeshinda ila naona wananchi pia hata jeshi hawajui wanapigana kwa nn ndo maana morali hakuna .
 
Mimi simuamini Putin tena sijui hao majenerali wanafanyaje kazi na mtu wa aina hiyo.
Mpaka sasa wanajeshi zaidi ya elfu 60wamepoteza maisha Ukraine.
Warusi kama wana akili timamu wamgeuzie kibao Putin badala ya kupigana na UkrainešŸ¤”
Wewe ngoja kituo kinachofuata, litachafuka Jitu kwa kichapo mpaka ubaki domo wazi
 
Yaani wewe kwa dhati kabisa unaamini kuwa Kherson ni sehemu ya Urusi kwa sababu eti Putin katia saini sehemu?
Kwa yaliyofanyika tukubaliane kwa ukweli. Kukataa kwetu hakubadilishi mazingira. Tusiyatambue hakubadilishi mazingira. Tayari hayo majimbo yameshajiunga Russia na Russia imelitambua hilo na kwa sasa ni sehemu ya Russia na kwa ujumla ndipo mipaka ya nchi ya Russia itakapoishia kuchorwa.

Huu mgogoro tusiangalie matokeo yake tu bali tuungazie wote kwa ujumla! Laiti Ukraine isingelikuwa inawabagua raia wake wenye asili ya Urusi na kuheshimu haki zao, tamaduni zao na uhuru wao haya ambayo unailaumu Russia yasingelitokea.

Mbaya zaidi hizi nchi zina historia ya muingiliano. Majimbo yenye wakazi wa Russia kwa historia ya jamii ya Slavic viongozi wa Russia waliwapatia Ukraine Kama zawadi kwa kuimega kutoka sehemu ya Urusi kwa sababu wote ni jamii moja hawa yaani Slavic. Ikiwa historia mama inatambua hivyo kwa namna yoyote ile bado Russia itahisi ina mafungamano na hayo majimbo.

Kwa ufupi mpaka tumefikia hapa ni ujinga wa viongozi wa Ukraine. Uikandamize watu wako kwenye jamii yako hususani jamii yenye makabila tofauti. Ukipendelea moja na wengine ukiwashurutisha matokeo yanafahamika yatakuwaje!
 
- umeandika mengi lakini Putin amefeli mpaka sasa
 
Kama ni kuapa mbona warusi WA buza mtaapa Sana ? ,na bado kuna brand new mashine za kazi zinashuka hapo Ukraine kuanzia mwishoni mwa wiki ijayo toka Kwa Uncle Sam ndio mtajua hamjui .
Kama Himars chache Tu zimewanyoosha hivi jiandaeni kukutana na dhahama , mtapigwa na vitu vizito kichwani mithili ya "mwana ukome" ili iwe funzo na onyo .
 
Mrusi WA mchambawima ,endelea Kuota hivyo hivyo , kama wameletwa spetnaz wamelambishwa mchanga wiki iliyopita we sijui unaongea rubbish gani ,aisee Ukraine mlidhania ni Burundi sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mashine zinakuja mtaona balaa lake kuanzia wiki ijayo mwishoni
 
A typical
Mimi simuamini Putin tena sijui hao majenerali wanafanyaje kazi na mtu wa aina hiyo.
Mpaka sasa wanajeshi zaidi ya elfu 60wamepoteza maisha Ukraine.
Warusi kama wana akili timamu wamgeuzie kibao Putin badala ya kupigana na UkrainešŸ¤”
A typical Tanzanian....a lot of blah blah...no analysis but too much shouting....and no substance at all in regards to argument...
 
A typical
A typical Tanzanian....a lot of blah blah...no analysis but too much shouting....and no substance at all in regards to argument...
Most of Tanzanians they frontier chokolization that make them be like fool's on the other part of the planetarium, give them lecturing may be they will understand the meaning
 
Bahati mbaya umeliangalia kwenye angle moja.

Hii vita imekusanya vita ya aina 2.
(1) Ni vita ya kuvunja unipolar system
(2) Ni vita ya kuvunja uchumi

Na gurudumu ya hayo ya juu ni hii SMO Russia anayoiendesha. Lengo la Russia ni hayo yote 2. Hivyo operation haiwezi kwenda haraka. Kwa vikwazo alivyowekewa Russia kwa short term hasara kwa Russia kwa long term ni faida kwa Russia. Kwa sababu Russia ina vitu ambavyo dunia inavihitaji. Kwa namna yoyote tu mtarudi kwake.

Aliwekewa vikwazo kwenye fertilizer wamerudi kwake na wananunua tani kwa tani. US bado ananunua Uranium kwa kiasi kikubwa Russia kwani ndipo uhai wa vinu vyake vya nuclear. EU wamemuwekea vikwazo kweenye gas haijapita muda wamerudi kwake na kuilipia kwa pesa ya Russia. Walimwekea vikwazo kwenye mafuta mpaka sasa hakuna watu wanaoongoza kununua mafuta Russia kama nchi zilizomwekea vikwazo.

Kwa kuona Russia anapata faida zaidi kwenye mafuta wakapanga kuweka bei elekezi kwa mzalishaji ambaye ni Russia. Jana OPEC wametoa tamko lao wamepunguza kiasi cha uzalishaji wa mafuta kwa siku pipa million 2. Bado itakuwa ni faida kwa Russia! Bei elekezi haina maana kwa namna hiyo!

Hivyo huu mtanange kadri unavyozidi kwenda ndivyo unavyozidi kuwa faida kwa Russia. Kwa nini auwahishe kuumaliza wakati faida zaidi inakuwa kwake na EU uchumi wake unazidi kuporomoka?

Russia amewapa EU gas ndogo sana! Viwanda vikubwa vinafungwa, ni uchumi kuporomoka.

Ngoja niishie hapa nina majukumu mengine. Ila Russia ana clock na time kwenye huu mgogoro!

Ila kingine ambacho unachopaswa ujue: Nchi zilizopitia Ukomonisti au ujamaa zina uzalendo zaidi kuliko unavyofikiri. Raia wengi wamejitokeza kwa mapenzi yao kujiunga na jeshi baada tu ya kutangazwa. Na kwa nchi ya Russia kama hujui raia anapitia jeshini kama kwetu JKT. Walikataliwa ama kutokuwa na sifa ni wanafunzi waliyoko mavyuoni. Hawa ilitangazwa hawatoruhusiwa kujiunga katika jeshi inawabidi waendelee na masomo.
 
Utaweweseka mpaka ukome mlisema masaa 72 mnaichukua kyiv baada ya kichapo kikali mmehamia kuongeza muda mtapigwa kichapo cha mbwa koko kuanzia donbas hadi humu jf
Zelensky piga mbwaa haoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…