Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #41
Kwakweli NATO hawana msaada .kiwizi wizi namanisha hawajatangaza officially kuwa wanapigana huko Ukraine ila wapo maana urusi anazo footages za wanajeshi kutoka marekani, poland na Uingereza aliowaua huko Ukraine.Sasa NATO kama wapo wanasidia nini ikiwa Ukraine anaomba msaada wa silaha na mabomu?
Wapoje Kiwiziwizi ??
Wananchi wake kwa nini hawakuyapokea majeshi ya Urusi pale Kyiv kwa maua na mvinyo?Hamna Rais fala kama Zelensky, yupo kwa ajili ya NATO na si wananchi wake.
Wanajeshi wangapi wa Marekani, Poland na Uingereza wameuwawa na Ruzzia huko Ukraine?Kwakweli NATO hawana msaada .kiwizi wizi namanisha hawajatangaza officially kuwa wanapigana huko Ukraine ila wapo maana urusi anazo footages za wanajeshi kutoka marekani, poland na Uingereza aliowaua huko Ukraine.
Magaidi waliokamatwa wenyewe walisemaje?Zelensky alituma magaidi wauwe warusi kwenye shambulio la kigaidi kwahiyo anatakiwa auwawe.
Ule mwezi wa kwanza tu, baada ya kuanza kwa SMO Jeshi la ukraine lilikuwa limeshamalizwa. Ndio misaada ya silaha, pesa, inteligensia, na mamluki wakaanza kumiminika toka kila kona yabdunia kupigana dhidi ya Russia.NATO wamemsaidia sana Russia ni Nchi tajiri asingeweza kupigana bila msaada.
Ila Ukraine imemuaibisha Russia ambaye alikiwa Super power hadi kwenda kuomba msaada kwa Ayatolah.
.
Idadi kamili haijulikaniWanajeshi wangapi wa Marekani, Poland na Uingereza wameuwawa na Ruzzia huko Ukraine?
Wanasema walitumwa na viongozi wa UkraineMagaidi waliokamatwa wenyewe walisemaje?
Basi hizo ni porojo na propaganda tu.Idadi kamili haijulikani
Sio ISIS?Wanasema walitumwa na viongozi wa Ukraine
Zingekua ni porojo na propaganda kama hakuna ushahidi wa maiti zao.Basi hizo ni porojo na propaganda tu.
Mamluki ni wangapi na wapiganaji wenye uraia wa Ukraine ni wangapi?Ule mwezi wa kwanza tu, baada ya kuanza kwa SMO Jeshi la ukraine lilikuwa limeshamalizwa. Ndio misaada ya silaha, pesa, inteligensia, na mamluki wakaanza kumiminika toka kila kona yabdunia kupigana dhidi ya Russia.
Mpaka sasa ukraine jeshi lake lililopo front mamaluki ni wengi kuliko wapiganaji wenye uraia wa ukraine.
Maiti zao ngapi mpaka sasa?Zingekua ni porojo na propaganda kama hakuna ushahidi wa maiti zao.
Siyo ISIS walitaka kutumia hilo shambulio kujipatia maujiko ila uchunguzi wa urusi umebaini kuwa ISIS hawakuhusika wala hao magaidi hawakusema kuwa wametumwa na hao ISISSio ISIS?
14Maiti zao ngapi mpaka sasa?
Longlive Russia 🇷🇺Russia taifa teule
Idadi siwezi kusema maana sina hizo figure. Ila kwa % ukrane haina 30% ya wapiganaji waliopo huko front.Mamluki ni wangapi na wapiganaji wenye uraia wa Ukraine ni wangapi?
Anapiga kwenye mshono.Putin apige hapohapo kwenye ugoko
Basi hizo ni porojo na propaganda tu.Idadi siwezi kusema maana sina hizo figure. Ila kwa % ukrane haina 30% ya wapiganaji waliopo huko front.
Ukraine ishamalizwa.