Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

Wewe umeona mauaji ya watoto na wanawake wa Ukraine ?
 
Si NATO wanamvimbisha kichwa ngoja aone sasa hao wanaompa kiburi watamfikisha wapi.

Labda hujamuelewa imhotep , Huyu ni pro magharibi, na hapo kama nimemuelewa anachomaanisha ni " hushindwa kwa puttin "

Hawa ndio wanataka kuongoza Nchi kweli!! Hawa hawa chadema, aise, ni bora ccm iendelee kuongoza
 
Labda hujamuelewa imhotep , Huyu ni pro magharibi, na hapo kama nimemuelewa anachomaanisha ni " hushindwa kwa puttin "

Hawa ndio wanataka kuongoza Nchi kweli!! Hawa hawa chadema, aise, ni bora ccm iendelee kuongoza
Mwanapropaganda mkubwa wa Urusi na Putin nchi hii ni Yericko Nyerere
 
Kutumia siaraha za Taifa jingine ni kawaida kama Africa hatuna viwanda vya siraha tulizonazo za kununua mataifa mengine
Si tunaambiwaga Urusi ni Super Power? Vipi tena?!
 
Russia ni mvamizi tu.
 
Russia ni mvamizi tu.
Tatizo lenu oya oya hamjui hata historia nimekuuliza simple question una hunya hunya,Russia si mjinga sababu iliyofanya US ampige mkwara Cuba ndio sababu hiyo hiyo iliyo mfanya Ukraine apigwe. Uzuri alionywa na Russia ila NATO na US wakampa kiburi, ila hamna raia yoyote wa Ukraine anayetaka vita na Russia.
 
Sasa wewe unayehalalisha makosa ya Russia kwa kutumia makosa ya USA ni mtu gani wewe?
 
Sasa wewe unayehalalisha makosa ya Russia kwa kutumia makosa ya USA ni mtu gani wewe?
Sababu ni moja tu usalama wa taifa,US alimpiga mkwara Cuba sababu ya usalama wa taifa lake na Russia kampiga Ukraine sababu wa usalama wa taifa lake.

Halafu umetumia neno zuri "makosa",sasa kama kile alichofanya US kwa Cuba unakiona makosa.

Ushajaribu kujiuliza why US anashabikia kilekile alicho kikataa kwa Cuba wakati ni makosa?
 
Focus, Russia ni mvamizi period.
 
Uzuri hii dunia kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake binafsi, so huo ni mtizamo wako ila kwangu kwa maslahi na usalama wa Russia,Putin yupo sawa
Yes kwa mtazamo wako. Utaelewa vizuri siku ukiingia kwenye mgogoro wa mpaka wa shambalako mtu mbabe, mwenye pesa na mamlaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…