mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza