Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wajinga ndio huwa wanasifia kwa namna utakayo.Embu kuwa na shukrani jitihada za mama zimezaa matunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga ndio huwa wanasifia kwa namna utakayo.Embu kuwa na shukrani jitihada za mama zimezaa matunda
Boss ukweli lzm tuseme mama amefanya yakeWajinga ndio huwa wanasifia kwa namna utakayo.
Amefanya yake kwenye nini? Mbona mnalazimisha kusifiwa?Boss ukweli lzm tuseme mama amefanya yake
Mtego huoHakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
We utakuwa mwanga aiseeNaona umekuja kulazimisha msifiwe. Hakuna wa kuwasifia boss, lipeni machawa wawasifie.
Data mkuu zinaongea hapa hakuna uchawaUsinitapishe bure kwa uchawa na uzwazwa uchwara mwanangu.
Chawa wote wauaweHakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Kunywa maji mengiCurrency value appreciation sio instrumental factor ya ukujaji wa uchumi, acha ushamba wewe... Kuna sababu nyingi sana zinazoweza kupelekea thamani ya sarafu kupanda ama kushuka ikiwemo uchumi wa nchi husika ya sarafu unayojilinganisha nao!
Kwanza unashingilia nini? Eti hakuna kama Samia, huyo Samia si alikuta $1 ni sawa na 2,370/=? Kwenye awamu yake hii ameipandisha mpaka 2,800/= haya leo hii imeshuka hadi 2,460/= halafu unaanza kumsifia?
Ndio Yale Yale ya kufuta bima ya toto Afya kisha kuirudisha halafu mnataka mpigiwe makofi.
Korosho haziwezi kuleta effect namna hiyo, miaka yote tumekuwa tukiexport korosho haijawahi kuwa na effect hivi, it has to be about global economy, either demand for gold reserve instead of dollar, brics ditching dollar, or us treasury adjusting interest ratesKorosho effect
Rais hana chochote anachofanikisha ni serikali. Ukiisifia serikali umemsifia na huyo ajuza wako.Data mkuu, hapa hakuna uchawa
Ukweli usemwe
Sasa mbona ilipopanda hamkusema ni yenyewe imepanda?Dola yenyewe imeshuka wala sio kwamba thaman ya pesa yetu imepanda, sasa kushangilia na kujisifu kwenye hamna ni ujinga mkubwa sana huu mfumo wa uchawa huu ndio umekuja kuliua kabisa taifa hili
Sababu ilikuwepo, na sasa ameishusha bila shaka sababu ni kuimarika uchumi wetuNa hakuna alowahi kuipandisha kw kasi hivyo bila sababu
Hapa hamuwezi kuwa na hoja zaidi ya kuhamisha magoliUshamba tu unakusumbua
Za kumwaga bwashee, yaani benki wanakulazimisha na bei mnaongeaZipo?
Kwa kuwa tu hutaki kumsifu Samia? Mbona ilipopanda mlimponda?Yaani mitanzania ambayo haijasoma ndo kama hili litoa mada jinga kabisa .
ELIMU
Mnamo september ili kuvutia wawekezaji usa iliamua kushusha intrest rate hadi 4% na ilitabiliwa kabisa kuwa mwezi huu dola itashuka imefanya hivo dunia nzima kwa pesa zote isipokuwa chache sana kama zambia(wanamatatizo yao)
.
Uganda na kenya nao mama anaupiga mwingi? Mama anafanya kazi nzuri ila acheni kumchezea akili .
Nikuongezee angalia kuanzia tarehe 20 dolla itaanzapanda na tutarudi 2600.sababu ni kuwq kumekuwa na exaggeration ya information east africa .kama unabisha ikifika 2200 nunua dola 100 tu kisha nipime kwa hilo.nakuapia december tunafunga ikiwa 2500 hadi 2600.
Sikunyingine usikurupuke wachumi tumo humu.