Lugha ambayo alikuwa anamaanisha huyo mchangiaji ni kuwa: Enriched uranium inaweza kuhamishwa. Yaani Uranium iliyoboreshwa ambayo inaweza kuhamishwa kupelekwa kwenye mitambo ya nuclear kwa matumizi au kuhifadhiwa.Hayo mimi sijui ila Ugomvi wangu na jamaa yako ilikuwa ni pale aliposema mitambo ya nyuklia ilikuwa imeshahamishwa. Kati ya watu hapa JF niliokuwa nawaamini ni pamoja na yeye.
An intelligent person huwa haongelei vitu asivyovijua. Ila anatafuta kuvifahamu kwa kusoma au kuuliza.
Yeye kasema mitambo ilihamishwaLugha ambayo alikuwa anamaanisha huyo mchangiaji ni kuwa: Enriched uranium inaweza kuhamishwa. Yaani Uranium iliyoboreshwa ambayo inaweza kuhamishwa kupelekwa kwenye mitambo ya nuclear kwa matumizi au kuhifadhiwa.
Halikadhalika, kwa vifaa navyo vinaweza kuhamishwa kama hiyo mitambo.
Kama unavyofahamu haya mataifa makubwa yana kawaida ya ku share taarifa za kijasusi, au kwa namna yoyote vile Iran inaweza kujiongeza na kuhamisha hiyo uranium iliyoboreshwa.
Ndiyo maana mpaka muda huu hakuna taarifa za wazi zilizothibitika kuonyesha kuvuja kwa mionzi ya nuclear. Hii inatuambia nini?
Logically, ni mambo mawili! Imma, Iran ilihamisha uranium ambayo imekwisha rutubishwa, yaani; iliyokwisha ku-enrichiwa, siyo mitambo yenyewe ya enrichment.
Au, mitambo yao ipo chini zaidi (mita kadhaa kwenda chini) kuliko nguvu ya uharibifu wa bomu lenyewe.
Inawezekana hizo bunker buster hazikufika huko chini?...Au, mitambo yao ipo chini zaidi (mita kadhaa kwenda chini) kuliko nguvu ya uharibifu wa bomu lenyewe.
Kuhamisha mitambo ya nuclear si jambo la haraka, ni mradi wa kiufundi unaoweza kuchukua miezi kadhaa na pengine kuzidi zaidi. Hii inatokana na umuhimu wa kuhakikisha usalama wa mionzi.Yeye kasema mitambo ilihamishwa
Hapo "mali" ni enriched uranium ambayo inahamishika kwa wepesi zaidi na kui weaponize ni kugusa tu.Ni sawa na kusema tunahamisha bwawa la umeme la Julius Nyerere na mitambo yake ili lisishambuliwe, nuclear project sio magunia ya mchele unayoweza kuyahamisha
Bw. Proved
Me mwenyewe nimeshangaa, uongo wa kitoto sanaNi sawa na kusema tunahamisha bwawa la umeme la Julius Nyerere na mitambo yake ili lisishambuliwe, nuclear project sio magunia ya mchele unayoweza kuyahamisha
Wewe ulitegemea Iran atakiri amegongwa vizuri na Marekani huoni hata Rais wa Iran alipouawa na Israel Iran haijakiri imesema Helkopta iliangushwa na hali ya hewaKwamba vinu na mitambo ya nyuklia inabebwa na kuhamishwa kwa kichwa.
Kubalini tu Iran ni simba wa makaratasi na kwa sasa hakuna mwarabu au muajemi wa kumshinda mzungu.
Tiini wenye nguvu zaidi yenu na maisha mengine yaendelee humu duniani.
Really! Kumbe wako bomba kunako sirahaWalikuwa wanatumia pesa za mikataba ya kutokutengeneza nuclear wanazopewa na marekani kutengeneza nuclear.
Pia maokoto ya mafuta yao na silaha wanazouza kwa mataifa kama urusi na nchi zingine.
Bado hawajammalizia AyatollahHakuna comeback yoyote. Nyoka keshagongwa kichwani sasa atatikisa mkia tu. Ile suprise ya Ijumaa na kuuawa kwa viongozi wa juu wa kijeshi na kiusalama halikuwa jambo jepesi kwa muiran mkuu.
Walihamisha Uranium na pia hata MOP ime failed hapo lazima USA aingize boots na hapo hana ubavu.Wakimaliza kubuild vitaripuliwa Tena.
Wanajisifu kuwa wamehamisha kabla ya shambulio,
badala ya kupambana kuzuia mashambulizi kabla hayajatokea.
Wewe unauhakika Israel ndio ilio muua Rais wa Iran?Wewe ulitegemea Iran atakiri amegongwa vizuri na Marekani huoni hata Rais wa Iran alipouawa na Israel Iran haijakiri imesema Helkopta iliangushwa na hali ya hewa
Unafkiri ni magunia ya mchele ukitaka kuhamisha unabeba kichwanu unapeleka. Watu wanafatilia kila siku kuona kama zimehamishwa au lah.Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.
Ila kama mtu kama mimi mwenye akili tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Huo ujasusi wa Mossad ulishindwaje kuona maandalizi ya Hamas Oktoba 7?Unafkiri ni magunia ya mchele ukitaka kuhamisha unabeba kichwanu unapeleka. Watu wanafatilia kila siku kuona kama zimehamishwa au lah.
Yan ujasusi wa mossad uweze kuona wanasansi wapo wapi. Na makamanda wapo wapi na kuwaua halaf washindwe kuona mzigo wa uraniam na mitambo yake ikihamishwa????
We acha utoto hapa. Unadhani kuhamisha nuclear facility ni simple kama kuhamisha matenga ya nyanya??1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated
"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Nuclear facility ina nini na nini hadi watu washindwe kuhamisha vilivyo nyeti?We acha utoto hapa. Unadhani kuhamisha nuclear facility ni simple kama kuhamisha matenga ya nyanya??
Iran Airspace ipo under control ya Israel na US sasa, wanaingia wanapiga wanavyotaka, hakuna hata ndege moja ya Iran inaruka, air defenses zote zimekuwa wiped out, missile launchers nyingi zimekuwa destroyed, wanawaona from above hamna pa kujificha hata ayatollah wanajua alipo, hawana haja ya kuingiza boots, wamepata walichotaka, sanctions zaidi zinafuata, Ayatollah apambane na wanaotaka mabadiliko sio Israel tenaWalihamisha Uranium na pia hata MOP ime failed hapo lazima USA aingize boots na hapo hana ubavu.
We huoni Iran anaendeleza kuchapo tu huko Israel wala hana hofu na USA.
Afu wengine wanasema mbona Iran halipi sa alipe vipi wakati UaSA kakimbiza kila kitu huko Gulf states. Iran sio mjinga akapige empty spaces.
Wambie basi wazuie Missiles si kila siku Israel anajisifia anazipiga hivi wewe una akili hata za mtoto mwenye umri wa miaka 7 .Iran Airspace ipo under control ya Israel na US sasa, wanaingia wanapiga wanavyotaka, hakuna hata ndege moja ya Iran inaruka, air defenses zote zimekuwa wiped out, missile launchers nyingi zimekuwa destroyed, wanawaona from above hamna pa kujificha hata ayatollah wanajua alipo, hawana haja ya kuingiza boots, wamepata walichotaka, sanctions zaidi zinafuata, Ayatollah apambane na wanaotaka mabadiliko sio Israel tena