Wiki moja kabla ya leo kuna clip ilionyesha msafara wa maroli ya jeshi la Iran yakielekea milimani. Naamini wameokoa baadhi ya vitu kama kweli bunker buster zililipuka. Asset muhimu zaidi ni utaalamu ambao tayari umeishaenezwa kwa vijana wa kiirani kwa maelfu.Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.
Ila kama mtu kama mimi mwenye akili tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Jidanganyee1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated
"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Iran haihitaji ruhusa ya mtu.Kuhamishi si rahisi kwa sababu kuhamisha yale mavinu kunahitaji ruhusa ya IAEA. Wale wanaleta story za chemical Ali. Wapuuzi tu.
Kwani wameshatengeneza hilo bomu??Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.
Ila kama mtu kama mimi mwenye akili tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Bado wanafanya tathmini ya hilo shambulio,hilo linahitaji muda.Bw. Proved
Athari ya mionzi huwezi kuificha, na ni kwa sababu kuna CTBTO (Comprehensive Nuclear-Test-Ban Treaty Organization).
Hili shirika kazi yake kuu ni kuweka na kuendesha mfumo wa kimataifa wa ufuatiliaji wa majanga ya nuclear duniani kote.
Aidha, huwezi kuficha athari za mionzi kwa sababu mionzi huenea kupitia hewa, maji na udongo. Na mionzi ina tabia ya kusafiri. Ukiacha hilo shirika hapo juu la kimataifa halikadhalika kuna maelfu ya vituo huru vya kuichunguza dunia. Kwa msingi huo, huwezi kuficha taarifa ama athari za mionzi nchini mwako.
Laiti kama ingelikuwa hivyo vituo vilivyolipuliwa na lengo lingefanikiwa na kwa asilimia ya urutubishaji ambayo Iran imeifikia, mpaka muda huu tungelikuwa tunajadili athari za majanga ya hiyo mionzi na tusingelikuwa tunajadili kama lengo la US la ulipuaji limefanikiwa ama laa!
Umefuatilia Putin amejibu nini alipofanya plenary session kwenye SEIPF kuhusu swali lako?Where is russia and china wkt iran inashambuliwa?
Kwa sababu Sina akili ndg yangu, nisamehe 😂😂☝️Mbona post zako maemoji mengi sana mzee!?
Salama kweli!?
Hauwezi kusema unachotaka kukisema bila hayo maemoji?
Unafikiri kuhamisha vifaa vya nuclear ni sawa na kuhamisha Vitumbua.1 hour ago