USA hata kama akasimama pekeake dhidi ya dunia nzima kivita, bado tutapigwa tu

Lakini mbona wewe ndo unaonekana una mahaba na USA, tupe mfano mmoja tu wa USA kupigana vita pekeake na kushinda,. Kule Marekani Kuna waafrika kama wewe hivi unajua maisha Yao, mwangalie masikini wa urusi harafu mfananishe na masikini wa marekani .
 
Lakini mbona wewe ndo unaonekana una mahaba na USA, tupe mfano mmoja tu wa USA kupigana vita pekeake na kushinda,. Kule Marekani Kuna waafrika kama wewe hivi unajua maisha Yao, mwangalie masikini wa urusi harafu mfananishe na masikini wa marekani .
Masikini wa marekani anapewa boflo na serikali yake na pia ana fursa nyingi zaidi za kutoka kimaisha kuliko masikini wa Russia.
 
Upo sahihi.

Baada ya vita vya pili vya dunia ni kama vile hakujawahi kuwa na vita tena mana utaona leo Ukraine anapambana na Russia Ila siku hy hy utaona timu ya taifa la Ukraine wanacheza mechi ya kirafiki na France hapo hapo Ukraine.
 
Upo sahihi.

Baada ya vita vya pili vya dunia ni kama vile hakujawahi kuwa na vita tena mana utaona leo Ukraine anapambana na Russia Ila siku hy hy utaona timu ya taifa la Ukraine wanacheza mechi ya kirafiki na France hapo hapo Ukraine.
Mkuu bora ww unaelewa! Ukraine life linasonga kama kawa kuna vita kweli hapo?
 
Nonsense
Nonsense
 
Hua nashangaa sana hizi vita, Ukraine anajua kabisa mbaya wake yupo Ikulu lkn hatumi bomu kwenda Ikulu yeye anapiga maeneo tofauti the same as Russia.
Vita vyote vya uvamizi huwa vinaisha kwa kukaa chini na kuafikiana kati ya mvamizi na anayevamiwa kwa hiyo haisaidii sana ukiwaua hao viongozi ambao mtatakiwa mkae nao chini baadaye kuafikiana.
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝
 
Na Ufaransa Amesha mpima Putin ubavu wake AKAONA size yake muda wowote Putin ajichangaje ndio atajua kumbe yeye ni tango pori
 
Mara saa hiyo hiyo tena unasikia Russia inakiuka haki za binadamu! Mara kuna sehemu hazitakiwi kushambuliwa kaaaaa.
Geneva conventions,
Sio kwa sabubu tu uko vitani basi unafanya tu unyang'au wa kila aina.
 
Vita ya USA na Vietnam ilikuwa vita kamili kabisa....hata vita ya Sasa ya Urusi na Ukraine ni vita kamili.
Acha ujinga haikuwa vita kamili! Ilikuwa vita ya kiitikadi kati ubepari na ukommunist! Vile vile bitavya USA na Afghanistan ilikuwa vita ya kiitikadi dhidi ya ugaidi! Hata vita ya USA na Iraq ilikuwa ya kiitikadi juu ya democracy na utawala wa sheria. Full scale war (vita kamili) ni pale ambapo huchagui raia au mwanajeshi! Mfano wa vita vya hizi nchi USA alikuwa anapigana huku wananchi wake akiwapa chakula na matunzo na kutengeneza mpango wa kuwahudumia wasife! Full scale war, Marekani hana mshindani. Kuhusu silaha za nyuklia na uwezo wa kiuchumi wa kuitumia bado hakuna wa kumsogelea Mmarekani! Kwa takwimu USA ana nuclear warhead zaidi ya million 100 mpaka UN ikapiga kelele kuhusu wingi wa stocks za nukes. Nchi nyingine sana sana ikijitahidi itakuwa nazo chache katika makumi tu! Ukizingatia ukubwa na uzito wa nukes moja kuitengeneza akuna anayemsogelea USA. Mfano nukes za Russia na China zenye ukubwa sawa na za USA ni chache sana! Vinchi nyingine vinavyojigamba viba nukes ukubwa na uzito wake ni kama tani 3 hadi 6 wakati nukes za USA zinaenda 30 hadi 45kgs! Chezea wewe
 
Unaanza kutudanganya mzee!?
Punguza porojo bwana,hata maana ya full scale war umekosea kuieleza.
Hizo vita za tia maji tia maji/simple millitary operations USA afeli halafu ashinde full out scale war!?
Hakuna kitu kama hicho.
USA nampa North Korea tu achilia mbali Russia na China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…