Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
USA hawezi kupigana vita ambayo hana faida nayo.Hebu tuache porojo.. ni vita gani ambayo amewahi kupigana peke yake akaishinda.
Vita ya Vietnam alipigwa hadi akajiondoa, Afghanistani aliwakuta taliban na kawaacha yani sawa ameshindwa, pale Iraq alikuwa na collabo.
Sasa unaweza kusemaje akisimama na dunia nzima atashinda au movie zinakuchanganya mzee?
Hitler tu alishindwa na teknolojia aliyokuwa nayo kipindi kile. Hivi unajua wanasayansi wa Nazi ndio aliwachukua US wengi wakawa viongozi wa vitengo ikiwemo NASA, maana walikuwa ni wabobezi wa rocket propellant?
Ni bora aonekane ameshindwa kuliko kutumia pesa nyingi wakati faida hakuna.
Ni sawa uanzishe Biashara ambayo haina faida lazima utakimbia.
Libya, USA na washirika zake wamepiga mafuta wamesepa. Umesikia USA ina hangaika na Libya?
Mtu ambaye hana akili ni muarabu tu. Nchi zao zishakuwa magofu