USA hata kama akasimama pekeake dhidi ya dunia nzima kivita, bado tutapigwa tu

Germany na Japan [emoji557] baada ya WWII, walipigwa Pini juu ya masuala ya kijeshi, badala yake USA ndo anebaki kuwa mlinzi wao. Uwekezaji wao katika jeshi, pamoja na enrollment iko very limited kutokana na mikataba waliosainiana na USA.
Hao viumbe wabishi aisee.
Hata baada ya WW1 waliwekewa limit katika jeshi ila kwa jeshi dogo hilo hilo wakaanzisha WW2.
Achana na hao wamba,ila bora hata walivyowawekea limit.
 
Kufanikiwa au kutofanikiwa kwa vita kunapimwa kwa kufikia au kutofikia malengo yaliyokufanya uingie vitani. Usiongee kama umekatika kichwa. US aliingia vitani kuwatoa madarakani North Vietnam akashindwa na kuondoa majeshi so US alishindwa vita. Huwezi kutoa mifano ya Vietnam kuiteka Washington wakati Vietnam hakumfata US kumshambulia
 
Kasome theories za absolute and comparative advantages katika uchumi nduo utajua uchumi Mkubwa sio kila kitu
 
Sasa Vietnam aiteke vipi Washington huku huyo USA ndio kamfuata kwake??
 
Sasa Vietnam aiteke vipi Washington huku huyo USA ndio kamfuata kwake
 
wewe ndo hutak wafuatilia wajeruman
 
akili zako ndogo sana , kwamba Urusi akiweka pemben nuke anaeza simama mbele ya NATO ? je tumuite Urusi mnyonge kisa anategemea NUKE ?
 
Uharo mtupu…

Wamsadie basi Ukraine ashinde vita.
 
haha mmarekani alisanda kwenye vita ya vietnam kumbuka vietnam kasikazini ilikuwa chini ya mrusi.kuhusu nuclear iligunduliwa na wanasayansi wa hitler wakatoloshwa na marekani
 
Hii vita ya Mmarekani kule Vietnam(Indochina) hamtoielewa mpaka muanze kuangalia jinsi mfaransa alivyopigwa na kudhalilishwa huku Mmarekani akimpa tag huko Indo China.

Kama hakutumia siraha zake zote waambie agent orange aliitumia kwa ajili gani?

Fatilieni kwanza France-Vietnam war ndio mje kujadili USA- Vietnam war huku Vietnam wakipewa msaada kutoka Urusi na misaada ya kibinadamu kutoka Uchina.

Ila mleta mada amelewa propaganda za Western world
 
=========

Zipo sababu nyingi zilizoisukuma Japan kujisalimisha, ikiwemo mchango wa USSR.

Yote itategemea na historia ilivyoandikwa
 
USA ni kama the Hulk ambapo ana umbo kubwa ila mbinu anaweza kuzidiwa na taifa lolote shindani na akakalishwa vizuri tu.

USA ana technology ila Urusi ana teknolojia zaidi ya US kiasi kwamba vifaa complex vya mamilion ya dollar kwa Urusi anatumia vifaa visivyo gharama kubwa kuviangamiza vifaa vya mabilion ya fedha vya Mmarekani. Kwahio ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
 
Mtoa mada yeye anasema Dunia yote ijiunge dhidi ya USA, eti bado USA atashinda. Kama ni kumlinganisha USA na nchi zingine Kwa nguvu za kijeshi, ni kwelia anaongoza, lakini si kweli kuwa nchi zote ziungane dhidi ya USA halafu ashinde! Never ever.
Wala haina haja ya nchi zote, ni IRAN, NORTH KOREA ,CHINA NA JAPAN tu. Hao wanatosha kuiweka USA mahali pake na akatulia kwa adabu zote.

Yani Marekani aje na vurugu zake zote without NUCLEAR BOMBS atapewa chai ya mapema sana bila vitafunwa.
 
akili zako ndogo sana , kwamba Urusi akiweka pemben nuke anaeza simama mbele ya NATO ? je tumuite Urusi mnyonge kisa anategemea NUKE ?
We kweli zwazwa!?
Sasa hivi kwani Russia hapigani na NATO!?
Askari wa UK na USA wapo Ukraine kama mercenaries lakini bado Russia anawachabanga.
 
mkuu dola trilion 29 ni bajet ya kijeshi ya US kwa miaka mingapi?
maana bajet yao nzima huwa haizidi tr 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…