GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hizi khabari kwa mujibu wa kijiwe cha gahwa kutoka kwa mnyamaniChina hajawahi kuacha kelele kule hizo porojo zako tu
Uchina kabeba maeneo ya bahari ya kila jirani yake kule baharini na hakuna meli ya Americant ilomfanya lolote lile
Sasa Americant c aondoe hizo ngarawa zake maana zimeshindwa kumlinda hata mshirika wake Philippines [emoji1198]
Yaani kama hujui kwanini hawezi kukutungua hata kukujibu sitakiwi kwakweli maana ntakua nakupa kazi ya ziadamwaka wa Pili huu , Urusi kaishiwa wap huko Ukraine ? sasa hv hadi viongoz wa Ulaya wanaingia na kutoka Ukraine , je haeza watungua ?
hahahaaa endelea kujifariji , nguv na hana hata carrier , raia wake wanakimbilia US kutafuta maisha , ebu acha unafiki Allah hapend hivyoUs angekua na nguvu walau robo tu za us basi dunia ingezidi kua haikaliki
Russia ananguvu mbali sana dhidi ya us ila hua hazitumii kiuonevu
Kwa hiyo,kazi yake huwaga kuwasha moto na kukimbia?! Iwe Syria,Iraq,Afghanistan,sasa hivi Ukraine dalili za kuondoa mguu wake zishaonekana, kwa kifupi uwezo hana!!Hapana sijawakuza wala nini nimeongea ukweli pinga kwa hoja
Us alianzisha muungano wakukabiliana na houthi vipi muungano una maendeleo gani nipe mregesho wake unaendeleaje ama uliishia wapi
Mimi Nimekupa hoja us alivyoona houthi hawajaogopa maneno yake aliondoa meli zake huko ama hakuondoa
Nibishie kwa hoja kama mie nlivyokubishia kwahoja
Us alikua super power kwanza super power anatakiwa awe anajitosheleza sasa usuper power wa us una mashaka sana kwanza bila ya alliance hua hatoboi kama kuna sehem akiwahi pigana us kama super power mwenyewe akafikia lengo nitajie nitaleft jf kwa muda
Us kawakimbia houthi bisha kwa hoja ama houthi hawapo ama hawateki tena meli sasa bisha kama us hajawakimbia ama hawaogopi
aliogopa nin kukiri ? we jifurahishe ila NATO hata China inawaogopaSasa ulitaka aseme kahusika wakati hajahusika
Uchunguzi last year si umeonesha kama bomy lilitoka ukraine
Russia angehusika angekiri na wasingekua na lolote lakumfanya yaani
Kama kuwashambulia ndio kuwafuta Us iliishambulia Syria vipi iliifuta?Siku ya mwaka mpya US Navy iliua wanamgambo wa Houthi 10 wakiwa kwenye viboti vyaoView attachment 2866058
Meli za US zimekuwa zikifanya interceptions kadhaa za missiles na suicide drones, najua unajua ila inakuuma kukubali. Houthi hawana level za kupelekewa carrier, hao ni watoto unless US iwe inataka kuwafuata kuwashambulia
yule mama wa US hakutua China ?je China alitishia nin ? Je aliendelea kusimamia madai yake ?China hajawahi kuacha kelele kule hizo porojo zako tu
Uchina kabeba maeneo ya bahari ya kila jirani yake kule baharini na hakuna meli ya Americant ilomfanya lolote lile
Sasa Americant c aondoe hizo ngarawa zake maana zimeshindwa kumlinda hata mshirika wake Philippines [emoji1198]
Meli za Marekani sio sawa na meli za Urusi zinazozamishwa na makombora ya kawaida kama Neptune ya Ukraine. Ukraine haina Navy ila imepiga naval assets zaidi ya 10 za Russia, kubwa yao ikiwa Moskva.Hata kiev ina defensive measures zakumwaga ila Russia anapiga kila anapopataka ama anapojisikia
Sasa hako kangarawa kimeekwa defensive measure ipi
Hio ikija kupigana na Tanzania aaah utaona bonges la kitu ila ikiingia kwenye 18 za Russia iran Korea North au Uchina aaah nakuhakikishia tutazika wanajeshi kuanzia 5k kwa kaburi moja
Maana hayo mangarawa si haba yanajua kubeba watu
Endelea kuimba taarabuHizi khabari kwa mujibu wa kijiwe cha gahwa kutoka kwa mnyamani
Safi kabisa
Naona ushaanza kuishiwa hoja pole sana kijanahahahaaa endelea kujifariji , nguv na hana hata carrier , raia wake wanakimbilia US kutafuta maisha , ebu acha unafiki Allah hapend hivyo
SMO ? wenzio washaanza iita vita , endelea kujifariji , mwaka wa pili huu , mliahidi itakuwa saa 72 sasa hv mwaka wa piliYaani kama hujui kwanini hawezi kukutungua hata kukujibu sitakiwi kwakweli maana ntakua nakupa kazi ya ziada
SMO ipo sana unataka iishe ili iweje endeleeni kupeleka misaada
Hana uwezo naye ni over-rated tu kama israhellKwa hiyo,kazi yake huwaga kuwasha moto na kukimbia?! Iwe Syria,Iraq,Afghanistan,sasa hivi Ukraine dalili za kuondoa mguu wake zishaonekana, kwa kifupi uwezo hana!!
Akiri nini?aliogopa nin kukiri ? we jifurahishe ila NATO hata China inawaogopa
China alitishia nini?yule mama wa US hakutua China ?je China alitishia nin ? Je aliendelea kusimamia madai yake ?
Tangu lini watu wa kongo wanaimba taarabu? Hiyo ni jadi yenu watu wa pwaniEndelea kuimba taarabu
Taja taifa moja ambalo china au us amepigana nalo ambalo lina nguvu walau nusu tu ya ukraineMeli za Marekani sio sawa na meli za Urusi zinazozamishwa na makombora ya kawaida kama Neptune ya Ukraine. Ukraine haina Navy ila imepiga naval assets zaidi ya 10 za Russia, kubwa yao ikiwa Moskva.
Usichukue uzembe wa Russia kwamba ndio uleule utaupata kwa China au Marekani.
Nani alikwambia Marekani ina mpango wa kufuta hao wagonjwa wa Kwashiorkor? Wangekuwa na mpango huo si kwanza wangeacha kuwalisha au hujui US inachangia kuwanusuru njaa? Mwaka jana imetoa zaidi ya $1 wasinyauke, leo unasema inataka iwafute. Au ni kama michezo ya uswahilini kumnyeshwa mwizi energy drink apate nguvu ili mumpige.Kama kuwashambulia ndio kuwafuta Us iliishambulia Syria vipi iliifuta?
Wewe umeitaja Houthi, ghafla hutaki nikujibu kuhusu Houthi. Aya chagua nikujibu kwa kipimo gani.Hiko kipimo cha houth unachokisema ndio kipimo sahihi sasa cha Carrie
Elezea North Korea au Iran zinawezaje piga aircraft carrier. Mara ya mwisho US Navy kupigana na Iranian Navy kwenye Operation Praying Mantis Operation Praying Mantis - Wikipedia US iliua wanajeshi 55 wa Iran na ikazamisha meli zao 5. Wao wakatoka kapa. Walete tena wahesabu maumivuMie sisemi kama Carrie mbovu ama hazivai tuelewane
Msimamo wangu nikwamba Carrie utapigana na kina LIBYA au kina houthi
Ila huwezi peleka Carrie ukapigane na kiduku ama ayatollah
Unajifariji mkuu. Pigs flyingUtazika wanamgambo wako kwa umati maana watazamishwa sana
Wenzangu wapi haoSMO ? wenzio washaanza iita vita , endelea kujifariji , mwaka wa pili huu , mliahidi itakuwa saa 72 sasa hv mwaka wa pili
Huo umasikini na mpango vinatoka wapi? Wakati hayo madude yanaanza kuundwa,ni miaka mingapi? Na lengo lilikuwa nini! Leo hii hata USA ikiacha kihelehele,inayapeleka yakafanye nini? Kila ndege inayotua hapo,kuna uwezekano wa kuitungua.Kila nchi yenye teknolojia kubwa duniani inazo aircraft carriers.
Marekani inazo 10 heavy carriers, China inazo mbili na ya tatu hiyo pichani bado inaundwa. Russia hana uchumi wa kuunda carrier tena ila anayo Admiral Kuznetsov ya zamani. France, UK, India, Spain wote wanazo.
Japan na South Korea wanazo amphibious ships zilizobadilishwa kuwa carrier kubeba STOVL jets kama F-35.
Hao wote hawajui teknolojia, hawajui modern warfare, ni vilaza mpaka wasijue ila wewe ndio ujue. Au hao niliowataja hawana teknolojia kubwa za vita.
Ukiona nchi inajifanya haitaki carrier ujue either ni maskini au ni nchi haina mpango wa kuproject power nje ya territorial waters zake.