USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

China hajawahi kuacha kelele kule hizo porojo zako tu

Uchina kabeba maeneo ya bahari ya kila jirani yake kule baharini na hakuna meli ya Americant ilomfanya lolote lile

Sasa Americant c aondoe hizo ngarawa zake maana zimeshindwa kumlinda hata mshirika wake Philippines [emoji1198]
Hizi khabari kwa mujibu wa kijiwe cha gahwa kutoka kwa mnyamani
Safi kabisa
 
mwaka wa Pili huu , Urusi kaishiwa wap huko Ukraine ? sasa hv hadi viongoz wa Ulaya wanaingia na kutoka Ukraine , je haeza watungua ?
Yaani kama hujui kwanini hawezi kukutungua hata kukujibu sitakiwi kwakweli maana ntakua nakupa kazi ya ziada

SMO ipo sana unataka iishe ili iweje endeleeni kupeleka misaada
 
Us angekua na nguvu walau robo tu za us basi dunia ingezidi kua haikaliki

Russia ananguvu mbali sana dhidi ya us ila hua hazitumii kiuonevu
hahahaaa endelea kujifariji , nguv na hana hata carrier , raia wake wanakimbilia US kutafuta maisha , ebu acha unafiki Allah hapend hivyo
 
Hapana sijawakuza wala nini nimeongea ukweli pinga kwa hoja
Us alianzisha muungano wakukabiliana na houthi vipi muungano una maendeleo gani nipe mregesho wake unaendeleaje ama uliishia wapi
Mimi Nimekupa hoja us alivyoona houthi hawajaogopa maneno yake aliondoa meli zake huko ama hakuondoa
Nibishie kwa hoja kama mie nlivyokubishia kwahoja
Us alikua super power kwanza super power anatakiwa awe anajitosheleza sasa usuper power wa us una mashaka sana kwanza bila ya alliance hua hatoboi kama kuna sehem akiwahi pigana us kama super power mwenyewe akafikia lengo nitajie nitaleft jf kwa muda
Us kawakimbia houthi bisha kwa hoja ama houthi hawapo ama hawateki tena meli sasa bisha kama us hajawakimbia ama hawaogopi
Kwa hiyo,kazi yake huwaga kuwasha moto na kukimbia?! Iwe Syria,Iraq,Afghanistan,sasa hivi Ukraine dalili za kuondoa mguu wake zishaonekana, kwa kifupi uwezo hana!!
 
Siku ya mwaka mpya US Navy iliua wanamgambo wa Houthi 10 wakiwa kwenye viboti vyaoView attachment 2866058

Meli za US zimekuwa zikifanya interceptions kadhaa za missiles na suicide drones, najua unajua ila inakuuma kukubali. Houthi hawana level za kupelekewa carrier, hao ni watoto unless US iwe inataka kuwafuata kuwashambulia
Kama kuwashambulia ndio kuwafuta Us iliishambulia Syria vipi iliifuta?

Hiko kipimo cha houth unachokisema ndio kipimo sahihi sasa cha Carrie

Mie sisemi kama Carrie mbovu ama hazivai tuelewane

Msimamo wangu nikwamba Carrie utapigana na kina LIBYA au kina houthi

Ila huwezi peleka Carrie ukapigane na kiduku ama ayatollah

Utazika wanamgambo wako kwa umati maana watazamishwa sana
 
China hajawahi kuacha kelele kule hizo porojo zako tu

Uchina kabeba maeneo ya bahari ya kila jirani yake kule baharini na hakuna meli ya Americant ilomfanya lolote lile

Sasa Americant c aondoe hizo ngarawa zake maana zimeshindwa kumlinda hata mshirika wake Philippines [emoji1198]
yule mama wa US hakutua China ?je China alitishia nin ? Je aliendelea kusimamia madai yake ?
 
Hata kiev ina defensive measures zakumwaga ila Russia anapiga kila anapopataka ama anapojisikia

Sasa hako kangarawa kimeekwa defensive measure ipi

Hio ikija kupigana na Tanzania aaah utaona bonges la kitu ila ikiingia kwenye 18 za Russia iran Korea North au Uchina aaah nakuhakikishia tutazika wanajeshi kuanzia 5k kwa kaburi moja

Maana hayo mangarawa si haba yanajua kubeba watu
Meli za Marekani sio sawa na meli za Urusi zinazozamishwa na makombora ya kawaida kama Neptune ya Ukraine. Ukraine haina Navy ila imepiga naval assets zaidi ya 10 za Russia, kubwa yao ikiwa Moskva.

Usichukue uzembe wa Russia kwamba ndio uleule utaupata kwa China au Marekani.
 
Meli za Marekani sio sawa na meli za Urusi zinazozamishwa na makombora ya kawaida kama Neptune ya Ukraine. Ukraine haina Navy ila imepiga naval assets zaidi ya 10 za Russia, kubwa yao ikiwa Moskva.

Usichukue uzembe wa Russia kwamba ndio uleule utaupata kwa China au Marekani.
Taja taifa moja ambalo china au us amepigana nalo ambalo lina nguvu walau nusu tu ya ukraine

Kupigana na Afghanistan libya na iraq unataka wazamishe meli

Wanazamisha meli kwa silaha gani walizokua nazo???

Us akiingia vitani na nchi yenye uwezo nusu tu ya Ukraine nakuhakikishia lazma angetumia nyuklia

Kama pearl harbor alitumia nyuklia basi atatumia nyuklia zaidi ya mbili

Hem ntajie nchi ipi alopigana nayo us ambayo ingeweza kuzamisha meli yake hata moja

Leo hii iibuke vita kati ya uchina na taiwan utashuhudia maajabu zaidi ya uloyaona pale russia

Russia kapambana sana yaani kapata hasara ndogo sana sana sana kulinganisha na opponents wake na anapopigana napo pale alipo

Israhell hamas tu alishindwa kuzuia makombora yakaponda ponda huko ndani kwake sueze kiev
 
Kama kuwashambulia ndio kuwafuta Us iliishambulia Syria vipi iliifuta?
Nani alikwambia Marekani ina mpango wa kufuta hao wagonjwa wa Kwashiorkor? Wangekuwa na mpango huo si kwanza wangeacha kuwalisha au hujui US inachangia kuwanusuru njaa? Mwaka jana imetoa zaidi ya $1 wasinyauke, leo unasema inataka iwafute. Au ni kama michezo ya uswahilini kumnyeshwa mwizi energy drink apate nguvu ili mumpige.

Wewe unawapangia Marekani cha kufanya? Lini walitaka kuifuta Houthi?
Hiko kipimo cha houth unachokisema ndio kipimo sahihi sasa cha Carrie
Wewe umeitaja Houthi, ghafla hutaki nikujibu kuhusu Houthi. Aya chagua nikujibu kwa kipimo gani.
Mie sisemi kama Carrie mbovu ama hazivai tuelewane

Msimamo wangu nikwamba Carrie utapigana na kina LIBYA au kina houthi

Ila huwezi peleka Carrie ukapigane na kiduku ama ayatollah
Elezea North Korea au Iran zinawezaje piga aircraft carrier. Mara ya mwisho US Navy kupigana na Iranian Navy kwenye Operation Praying Mantis Operation Praying Mantis - Wikipedia US iliua wanajeshi 55 wa Iran na ikazamisha meli zao 5. Wao wakatoka kapa. Walete tena wahesabu maumivu
Utazika wanamgambo wako kwa umati maana watazamishwa sana
Unajifariji mkuu. Pigs flying
 
SMO ? wenzio washaanza iita vita , endelea kujifariji , mwaka wa pili huu , mliahidi itakuwa saa 72 sasa hv mwaka wa pili
Wenzangu wapi hao

Leta ushahidi wa saa 72 hapa ulete na namba yako ya muamala ukileta huo ushahidi

SMO mnatakiwa muizoee kuishi nayo tu kama koronya sababu PUT IN alisema ni long term process
 
Kila nchi yenye teknolojia kubwa duniani inazo aircraft carriers.
Marekani inazo 10 heavy carriers, China inazo mbili na ya tatu hiyo pichani bado inaundwa. Russia hana uchumi wa kuunda carrier tena ila anayo Admiral Kuznetsov ya zamani. France, UK, India, Spain wote wanazo.

Japan na South Korea wanazo amphibious ships zilizobadilishwa kuwa carrier kubeba STOVL jets kama F-35.

Hao wote hawajui teknolojia, hawajui modern warfare, ni vilaza mpaka wasijue ila wewe ndio ujue. Au hao niliowataja hawana teknolojia kubwa za vita.

Ukiona nchi inajifanya haitaki carrier ujue either ni maskini au ni nchi haina mpango wa kuproject power nje ya territorial waters zake.
Huo umasikini na mpango vinatoka wapi? Wakati hayo madude yanaanza kuundwa,ni miaka mingapi? Na lengo lilikuwa nini! Leo hii hata USA ikiacha kihelehele,inayapeleka yakafanye nini? Kila ndege inayotua hapo,kuna uwezekano wa kuitungua.
Karibia kila kona,ina base za kijeshi kuhifadhia. Kwa maana kutoka kila kona,ina uwezo wa kurusha ndege au makombola na ndege zikarudi.
Hata wapinzani wake wako hivyo. North Korea ana ngapi? Mbona ameshakuwa moto wa kuotea mbali? Hayo ni mavitu,yapo na yameshapitwa na wakati. Sasa unapoongelea ubora,au uwingi,hautakuwa na msaada. Sasa hivi wababe,kila kona ya dunia wanaweza kurusha kitu wakiwa wamekaa kwao. Gharama zote, si la kutengeneza miaka chini ya 5,au na zaidi? La nini? Hayo yanafaa TZ kupigia picha tu. Sasa hivi wote wanahangaika kuweka ulinzi wa ardhi tu,maana kila mmoja ameshaona kila akijaribu hili,mwenzake anaibuka na mtambo balaa. Kama alivyosema mdau mmoja, USA bila NATO yake,si chochote. Na ilivyosemekana sijui kitu gani kilitoka Russia,kikaenda Poland,kikageuza kurudi Ukraine, huo si uvamizi tayari? Mbona hawakuyapeleka! NATO si wanayo mengi! Hangaikeni na unga na mchele, mengine tuyaachie wanaoyataka.
 
Back
Top Bottom