USA vs China Aircraft carrier

Tangu lini watu wa kongo wanaimba taarabu? Hiyo ni jadi yenu watu wa pwani
Umefungasha watu hapo juu na wanakumwagia like na kamba zako
Kwahio ushaona nafaidi kupewa like tu kwelii

Jamaa kama like tu zinakuuma roho inaonekana una roho mbaya sana wewe jamaa khaaa

Yaani like tu imekuumiza [emoji1787][emoji3][emoji1787]
 
Kwahio ushaona nafaidi kupewa like tu kwelii

Jamaa kama like tu zinakuuma roho inaonekana una roho mbaya sana wewe jamaa khaaa

Yaani like tu imekuumiza [emoji1787][emoji3][emoji1787]
Nashangaa hao wanaokupa like kwa hizo kamba na ulivyo mweupe kichwani
Unajiandikia tu
Thusy niliandika hapo mwanzo ni stori za gahwa kutoka kwa mnyamani
 
Swali lako ni invalid sababu duniani hapa hakuna nchi ya kuivamia wala kuishambulia Marekani kwenye ardhi yake. Ni nchi za kizembe kama Russia ndio zikikupiga nazo unapiga kwao.

Marekani haijawahi piga mtu akajibu kijeshi kwenye ardhi ya Marekani miaka nenda miaka rudi. Last time superpower anajitutumua alifanikiwa kuishtukiza Marekani mara moja ikiwa haipo kwenye state of war, Pearl Harbor attack 1940s.
 
Kama vita vyote alivyopigana alishindwa,wazamishe carrier za nini? Kama wakiona nguvu hana,wanahangaika na zo za nini sasa?
 
Unataka kusema kwamba hilo kombora lilipita kusalimia NATO kwanza ndo likaenda kulipuka


Hizi strungi za leo naomba mniache hapo mbele nyie nendeni tu😂😂
 
Aliosema kama wanataka kuifuta syria sio mimi ni Hillary Clinton mie nimenukuu tu maneno yake
Assad Must Go
Unajua mwaka wanaiba mafuta ya kiasi gani hapo Syria hapo hawajawachangia wameregesha sehem chache ya pesa nyingi walizoiba

Kama hawakutaka kuifuta sasa walikua wanaiundia muungano pale red sea wakazi gani si wangewaacha

Kama walikua hawana nia ya kuifuta sasa waliindia coalition Us Uk Saudia Israhell na shost zao kwasababu gani wakawa wanaipiga kwa miaka tisa na bado wakaishia kuchemka

Wewe kua huru taja yeyote mzee unayotaka kutaja na itajibiwa ipasavyo kama haijajibiwa unikumbushe mzee ntaijibu

Hio operations ilikua vita ya mwaka gani mie nakwambia vita sijataka SMO kama ya RUSSIA pale kiev

Kama operation hata Iran waliteka mgambo kibao wa us wangetaka kuwachinja wangewachinja safi kabisa ila wakaona wawasamehe

Zitazamishwa kama zitakavyoenda kushambulia mkuu

Hakuna pakujifariji nakupa fact tupu
 
Aiseee na wewe uliona kabisa wajerumani wakichanganyikiwa?
 
Kwa kifupi,usuper power wa USA upo kwenye movie kuliko ulivyo kwenye uwanja wa vita.
Mara sniper,mara Ninja,ila mbona hata na kwenye movie bado makopo yanadundwa tu.
Misifa teleee. Ni kama kitu gani USA anakiweza zaidi ya mauwaji?
Binafsi naona na taifa la USA halina tofauti na magaidi wengine. Maana hata ukiangalia hizo ISIS na upupu mwigine, wameanzisha wao kwa lengo tu la kuvuruga amani. Mbona ujinga wake hapeleki kwa Kim Jong Un? Siku wakiibukiana ndo mtajua super power ni nani. USA ni taifa gaidi zaidi ya magaidi wote duniani.
Ova
 
Kama hakuna sasa alikua analilia lia nini cuba ilivyotaka kupelekewa nyuklia missile na ussr si angekaa tuuu

Yaani hakuna wakat huo huo unasema ilitokea sasa hakuna ama ipo

Us anaiogopa Cuba tu kanchi kadogo halaf unataka kutwambia nn?
 
Us ndio magaidi wenyewe yaani
 
Kama hakuna sasa alikua analilia lia nini cuba ilivyotaka kupelekewa nyuklia missile na ussr si angekaa tuuu
Hakulialia, alizuia Soviet kuweka silaha Cuba. Na Soviet Union ilimtii Marekani, kama ingebisha ingelazimika kupigana na meli za Marekani zilizoizuia isipeleke silaha pale.

Marekani alileta ubabe na USSR ikaufyata
Yaani hakuna wakat huo huo unasema ilitokea sasa hakuna ama ipo
Nimesema kwa sasa, tafuta mtu ufundishwe tofauti ya past, present na future tense.
Us anaiogopa Cuba tu kanchi kadogo halaf unataka kutwambia nn?
Hapa sasa unaleta ubishi wa kijinga kama jobless usiye na majukumu ya kufanya. Umetolewa kwenye reli unaanza kuandika pumba.
 
Mara hii umekimbilia kuizungumzia Syria tena. Na ulitoka Syria ukaenda Cuba. Vipi ya Yemen umeona yanakushinda?
 
Jifunze kupangilia maneno na hoja kisha uje kunibishia. Hata kupangilia maneno hujui, hujui unabisha nini, wala hujui unachokiandika.

Hata username yako umekosea jina utajulia wapi mambo ya kijeshi na geopolitics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…