USA vs China Aircraft carrier

Alilia lia sababu hata yeye alikubali matakwa ya ussr kama asingekubali matakwa ya ussr angepinga matakwa yao yakutaka silaha za masafa ya kati za nyuklia kuekwa ulaya (shida unadhani historia unafatilia pekeako)

Hata wewe unaweza ukanifundisha au wewe sio mtu?

Hamna ubishi wa kijinga us angekubali kuba akawa na silaha alizotaka kua nazo ili aje atudhihirishie usupa power wake

Sasa unataka utuaminishe kua wewe super power wakat haitaki majirani zake nanguvu ya kupambana nae

Hoja unataka ujibiwe kama unavyotaka wewe nahapa utakua unafail kila siku mzee mwenzangu
 
Mara hii umekimbilia kuizungumzia Syria tena. Na ulitoka Syria ukaenda Cuba. Vipi ya Yemen umeona yanakushinda?
Kwani kuna sehem uliekwa mpaka kama inaongelewa sehem moja

Maana wewe umegusia mpaka ukraine wakati mada ilikua ni china vs us

Au wewe unahaki yakuongelea popote ila sisi hatuna??

Hupendi kabisa kua challenged [emoji3]
 
Jifunze kupangilia maneno na hoja kisha uje kunibishia. Hata kupangilia maneno hujui, hujui unabisha nini, wala hujui unachokiandika.

Hata username yako umekosea jina utajulia wapi mambo ya kijeshi na geopolitics.
Heheeeeee acha kumshambulia mtoa hoja shambulia hoja mzeee

Kama hujaielewa mwambie aieke sawa maisha yaendelee
 
kipind cha sakata la Taiwan , si lilisogezwa mchina akakaa kimya , kwann akuendelea kelele zake
kila mtu na timing zake,,,,,,kama kweli anataka kuichukua taiwan atashindwa??? kama hao jamaa hapo ukraine tu wanapata shida na hapo israel kakikundi kanawapa shida huko kwa mchina si ingekua balaa
 
kuna sehemu nimesema wamekataa au kukatazwa kuyaunda?? malizia kiporo na maji ya kandoro
 
Imepunguzwa au haina

Maana huko beto alipoenda United Shits Of Americant na hizo ngarawa zake alipigana nanani

Maana tumeona pale houthi tu kaunda muungano halafu kakimbia zake

Hizo ngarawa zingezamishwa kama vidagaa ila kastuka
Unaongea kishabiki sana mkuu
 
Ndivyo unavyojidanganya, USA hawezi kuzipeleka hizo aircrafts zake karibu na wa Houthi anajua muziki wake. Hata hizo alizozipeleka hapo gaza atazikimbiza mafichoni kama Israel na hizbollah watapigana vita kamili
 
Jifunze kupangilia maneno na hoja kisha uje kunibishia. Hata kupangilia maneno hujui, hujui unabisha nini, wala hujui unachokiandika.

Hata username yako umekosea jina utajulia wapi mambo ya kijeshi na geopolitics.
Alokwambia mi nahitaji kuyajua ni nani? Yajue wewe unayetokwa povu kisa unaemshabikia hajielewi.
Mpangilio wa maneno ndo unaoutaka au majibu kwenye comments zako!
Username nimekosea. Kwamba niandike unachotaka kuona au kusoma wewe? Kama nani sasa! Umesoma,umeelewa. Nikikuwa kilaza namba 1, ndo maana naandika hivyo. Ila wewe,ulikuwa zaidi,ndo maana hata uelewa huna
 
Mkuu unaweza nipa chanzo cha hii habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…