USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

Mkuu umemaliza kila kitu, mjadala ufungwe kwa sasa. Kusema kweli jiji la MIAMI daa!! Ule ujenzi Wamerekani walituliza akili naota kulitembelea siku moja mbeleni huko linaitwa A wonderful city in world Mchina hapo atupishe kidogo.
 
Nimeliona jiji langu la MIAMI na NEW YORK hapo huyo kenge from kenge lipapriki anasema imechoka anawazimu nini huyu mpumbavu kabisa huyo kenge hana adabu kabisa kazoea kukaka Tandale kila anachokiona yeye kimechoka tu kama nyumba za kwao Tandale kwa tumbo, kenge kabisa!!!???
 
Malizia kabisa kua ndio nchi pekee yenye cheap skilled labour (zingatia sio unskilled). Hii kitu ni factor ambayo kuipindua kiuhalisia hakuhitaji kukaa maabara tu, niuwekezaji miaka maelfu kuja kuivunja record yao
 
Wachina wenyewe wanaota ndoto kuhusu marekani, kwa mwaka watu laki mbili kutoka china uenda marekani kusoma, ukiangalia miji ya kichina ni kama artificial vile
Hujaitembea china mkuu. Sisi ambao tumefika nchi zote tunajua wachina level yao. Umesahau wachina wapo watu 1.4 bilion tofauti na marekan watu ml. 340. Ukiona wanaume wanaweza kupambana na kuhakikisha chakula usalama mahitaji nk ya watu 1.4 bilion yanaiona future yao usichukulie poa mzee.
 
Kama ni hivyo nenda namibia
 
Na wewe ukiona nchi yenye watu milioni 340 ina uchumi mkubwa kuliko nchi yenye watu bilioni 1.4 usichukulie poa mzee
 
Malizia kabisa kua ndio nchi pekee yenye cheap skilled labour (zingatia sio unskilled). Hii kitu ni factor ambayo kuipindua kiuhalisia hakuhitaji kukaa maabara tu, niuwekezaji miaka maelfu kuja kuivunja record yao
China ina watu wengi sana so lazima wasomi pia wawe wengi sana kwa hiyo mtu akisusa kazi ya mshahara wa chini, wengine wataikubali maana competition ni kubwa sana
Kwa hiyo sio kwamba ni rekodi, wengi wanataka tonge liingie kinywani. Kila mtu anapenda mshahara mkubwa ila kwa China kutokana na uwingi wa watu itabidi wakubali tu mishahara yao
 
Na wewe ukiona nchi yenye watu milioni 340 ina uchumi mkubwa kuliko nchi yenye watu bilioni 1.4 usichukulie poa mzee
America ni mafia state mzee. Ndio wanasapoti wizi wa rasilimali zote dunian. Na wanaiba mpaka brain za watu. Ila mchina kwa miaka 40 huo moto anaowapelekea wazungu ni nouma. Na hii ni kwasababu wazungu wameshabweteka. Mchina hata akiwa na hela mfumo wao wa kutafuta ni kama hawana kitu. Na hii ni tabia ya waasiq ya mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…