Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Umeona eeeh hafu Dar kuna watu wana matumbo ka wajawazito kumbe ni ktambi cha bia na kitimoto, in short MTU akiwa kakaa ana matatizo yake
Haaa haaa vitambi vya wanawake balaa utazani mjamzito kumbe bia na kitimoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo siku hiyo kulikuwa na wajawazito wengi kwenye hilo basi, wanaume wote mkawapisha mpaka sit zikaisha ikabidi na wanawake wafanye hivyo!?
Ogopa sana mwanaume mlalamishi!
Uwe unaelewa mapema mambo mepesi mkuu,
Jiografia ya gari lililojaa hadi kusimamisha watu, utafahamu hapo anapoingilia mjamzito au mtu anayehitaji msaada wale wa karibu na aliposimama ndio hutegemewa kumpisha.
Kauli kama zako zinadhihirisha kuwa na wewe ni team roho mbaya.
 
Ndio uwataarifu wajawazito kuwa kuna team roho mbaya, wajipange mapema
 
Ni zoezi tu..... nimesimama sana Mwanza na tumbo langu. Kwanza wanaopishwa hata kushukuru hawawezi utafikiri ni haki yao..... unaona gari imejaa subiri yenye nafasi. Utafanya zoezi na mimba yako kwa mwenye mtoto unapokewa tu mtoto kiroho safi, akikulilia utasimama nae. Roho mbaya tumefundishwa kwenye magari humo humo
 
Niliwahi kukaa Perú miaka kadhaa nikafurahia ubinadamu wao. Katika daladala zao siti mbili ama nne za mbele zina rangi nyekundu na zimeandikwa ni kwa ajili ya wazee, wagonjwa na wenye watoto wadogo. Na kama zimejaa basi utaona kijana ananyanyuka kupisha wenye mahitaji maalum.

Pili, unapoingia kwenye daladala unalipa kwa dereva na anakupa ticket hapo hapo. Niliwaza sana hili linawezekanaje katika nchi inayoendelea kama yetu? Nilidhani ni Ulaya tu ustaarabu wa public transport unafuatwa kumbe kuna kama sisi wameshaweza.
 
Tungekuwa wastaarabu tusingepiga wanawake viwiko wakati wa kupanda daladala.

Hakuna akili tumenyimwa kama kitendo cha kuingia kwenye magari kama watu wasiostaarabika.
 
Tungekuwa wastaarabu tusingepiga wanawake viwiko wakati wa kupanda daladala.

Hakuna akili tumenyimwa kama kitendo cha kuingia kwenye magari kama watu wasiostaarabika.
Tena wanaume walivyo na nguvu unaweza jikuta umeanguka huko, huwa najiuliza hivi hawa wanaume hawajisikii vibaya kupigania gari na mwanamke?
 
Yapendeza wanaume walio ndani ya daladala wakiona WANAWAKE wamepanda basi WANAUME WOOOOTE WASIMAME WAWAIPISHE SIT KUONYESHA ROHO NZURI ZAO KWA WANAWAKE!!!!!!
 
Na wale wanaume wanaogombea gari na kuwapiga viwiko wanawake wenyewe ndiyo wanaroho nzuri?
Viwiko tunapigana wote tu, havina Jinsia. Ila kupishana siti ni kweli wanaume ndio wanaowapisha wadada. Pengine wadada wengine hawana watoto hivyo wanawaonea wivu wajawazito.
 
Tena wanaume walivyo na nguvu unaweza jikuta umeanguka huko, huwa najiuliza hivi hawa wanaume hawajisikii vibaya kupigania gari na mwanamke?
Halafu wanataka muwe wastaarabu, wakati wao kupigania kuingia ndani na wanawake kama wezi hawaoni ni kukosa ustaarabu.
 
Wengi wao!
 
Mimi kwenye daladala sipishi mtu aisee na wala haihusiani na roho nzuri yangu au mbaya kipindi naenda field nilikuwa nazunguka na gari na kulipa Mara mbili ili nipate seat, na foleni ilikuwa kubwa kabla ya mwendo kasi, halafu then mtu unaanzisha Uzi wa kiujinga kulaumu watu humu. Dar usafiri ni kero na mishe plus joto hufanya watu wachoke. Mimi mwenyewe nikipanda daladala iliyojaa sitegemei huruma za watu eti vile na mimba wanihurumie wanipishe maana mimba yangu ni starehe yangu why niwatese wengine
 
Ukweli flani mchungu hiv[emoji3]
 
Duh .... nimehoji na kutoa taarifa ya kitafiti mnakwama wapi?
 
Ukweli flani mchungu hiv[emoji3]
Usafiri wa Dar ni shida na kuna wengine wanakuwa kituoni gari imejaa na kuna daladala nyingi anapanda hivo hivo ili aonewe huruma apishwe, huo si upuuzi wa kiwango Cha PhD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…