Prince jr 47
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 285
- 246
Tena kiitikie bee kama saut ya mbuzi akiliaYaani kaona 1 lakini wanavyolikuza kama mbuyu, sio kila anayepanda unampisha je kama naumwa mfano pale zakhem na rangi 3 mtu anamtoto anaenda kawe badala akapandie rangi 3 eti anakuja kupandia kituo cha 2 kama si kujitakia asimame tu mpaka kiuno kiitike beee
Yan wewe afadhali ulinyimwa siti tu... una roho nyeusi sanaSiwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
ovu hulipwa kwa jema sisterSiwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Kiukweli Mimi nkiwa kwenye gari akaingia mjamzito au mwenye mtoto mdogo hakika siwezi kukaa Kwa Amani huku mwanamke mwenzangu kasimama.Huwa nahisi Tu mimi ndo natakiwa kumpisha.Kama nimekaa siti ya mwisho nkaona kuna mtu yupo karibu na huyo muhitaji af asimpishe huwa namshangaa Sana huyo mtu.Wakina Mama, wadada jiteteeni tuwasikie
Hata mzee usimpishe pia maana amekula chumvi ya kutosha kama mwenye katoto kachanga kanasimama na mama yake..Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Kweli kabisa wapo pia wanaume wagumu kuwahurumia wanawake kwenye swala la siti.Yani mi huwa nawaza Safari ya nusu saa au lisaa limoja nishindwe kuvumilia nkampisha mama mjamzito au mwenye mtoto siwezi.Nkishindwa ntakubebea mtoto.Mmhhh,jamaniii hata wakaka/wababa wanaroho mbaya sana kwenye haya madala-dala, siji kusahau siku kwenye daladala ya kwenda muhimbili mkaka kaingia na chupa yake na kikapu hivi bila shaka alikuwa anaenda kumpelekea mgonjwa chochote kitu,katika kuwahi wahi bahati mbaya alimgusa mkaka aliyekaa kwenye siti kwa ile chupa yake ya chai heeee jamanii ndio nilijua kumbe kuna wakaka sio poa aseee aliongea,alimdhalilisha,alimpa kejeli za kutoosha,alimtusi mwenzie mpaka moyo wangu ulipata moto kisa tuu ile chupa imemgusa,dah!! basi ngonja tuu niishie hapo..
Kweli Mkuu ni nadra sana kuona mwanamke akimpisha mwananmke mwenzake ambae ni mkjamzito au mwenye kichanga but tofauti na wanaume huwa wako active kwenye hili.Mwanamke mwenzako mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu.
Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu
Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa
daladala sio Hammer au V8.
Wanaume wenzagu katika hili, Mungu anatuona jinsi tulivyo na roho nzuri.
Leo nimeshuhudia wanawake wanne waliokaribu na mwenzao ambaye anamtoto mchanga wakiwa wamevuta midomo na kukunja ndita kuonyesha hawatampisha mwenzao. Hii ilipelekea mwanaume aliyekaa mbali kabisa ampeshe mwanamke huyo.
wanawake mjirekebishe aisee. maroho mabaya sio dili.
Tunatofautiana imani mkuu,.watu wana ghadhabu sana mioyoni,.Kweli kabisa wapo pia wanaume wagumu kuwahurumia wanawake kwenye swala la siti.Yani mi huwa nawaza Safari ya nusu saa au lisaa limoja nishindwe kuvumilia nkampisha mama mjamzito au mwenye mtoto siwezi.Nkishindwa ntakubebea mtoto.
sidhani kama mtu anaakili timamu atalazimisha kupanda wakati lipo lililo wazi.Ukiona gari imejaa usipande, subiri ambalo halijajaa
Kupanda ukitegemea huruma ya watu umejitakia, na wanaopisha sana sana ni sisi wababa ila wamama hawapishi mwenzao
Unakuta mwendokasi inekuja imejaa mtu anapanda afu nipishe nina mtoto, watu wanakukaushia tu tena kama siti zenu zimejaa na wenye watoto wenzako utajuta
tunasema kwa sababu wanaume wao kupisha ni kawaida. ila wakina mama kwa wakina mama ni nadra, tena anWeza kumsonya kabisa.Hi kitu huwa Mimi siielewi kabisa.Hivi kwanini inapofika suala la kuachiana viti inaonekana anayepaswa kumpisha mwanamke ni mwanamke mwenzie.Mwanamme ukimpisha mwanamke makalio yanakataa.Kwahili naona wanaume huwa mnaifanya ni dhambi ya wanawake ilhali hata ninyi mnawajibu.Acheni bwana kwamba hiyo gari wanaokuwa wamekaa ni wanawake tu.Naikomesha hii lawama baguzi Kwanzaa Leo.Acheni uchochezi bwana.
Ubaya hulipwa kwa wema.Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...