Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Hahaaaaaa ndo zenu nyieSema wanaume pia tunapenda kusimama kwenye daladala kwakweli, hapa wataelewa wenye akili kama zangu tuh
Koma kutusingizia wanawake nyie ndo MNA roho mbaya ndo maana mumejaa jela kuua nyieKatika ulimwengu huu hakuna kiumbe mwenye roho mbaya kwa binadamu mwenzie kama mwanamke. Na hii ndiyo maana ibirisi anawatumia sana kufanikisha mambo yake.
1. Alomdanganya Adamu kula tunda ni mwanamke - tena mke wake
2. Alosababisha Samsoni mwenye nguvu nyingi auawe ni mwanamke tena mke wake ...
Wanawake hawapendani, hawapendi hata wanaume ... akikupenda ujue kuna kitu kakiona kwako!
Na utapigwa tu viwiko kama utaendelea kukaidi, mmeambiwa msigombee nyie mnagombea, na mtapigwa tu viwiko vya kwenye nyonyo.Na wale wanaume wanaogombea gari na kuwapiga viwiko wanawake wenyewe ndiyo wanaroho nzuri?
True love is unconditional. Our father in heaven teaches that. Dont expect something in returnSiwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Ahsante nimekuelewaTrue love is unconditional. Our father in heaven teaches that. Dont expect something in return
Huyo mtoto nae inategemea awe na hali gani, unakuta mtoto ananuka mikojo, kamasi limemtapakaa mama ake hana habari. Nan ahusike na ujinga huo? Wamama mjifunze!Huwa tunasaidiana kubeba mtoto unamshikia mtoto basi hata aliyekaa naye anaumuhimu mimi
mtu asiponipisha wala sinung'uniki ni hiyari yake
Unaweza ukawa chanzo cha mabadiliko, usisubiri utendewe wewe ndio na ww urudishe wema, anza wewe kutenda wema...Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Nilikua natenda mema sana...nashukuru ntazingatia ushauri ila nilishaachaga kupisha wenye mimba ukiwa mzee yaani ntakupisha vzrUnaweza ukawa chanzo cha mabadiliko, usisubiri utendewe wewe ndio na ww urudishe wema, anza wewe kutenda wema...
ShukraniNilikua natenda mema sana...nashukuru ntazingatia ushauri ila nilishaachaga kupisha wenye mimba ukiwa mzee yaani ntakupisha vzr
Karibu tenaShukrani
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] pole sana , halafu ndiyo tunaambiwa hatupishi kina mama kijacho makubwa hayaUmeonaeee...Kikwetu hivo vinaitwa vipepsi.Mwaka 2012 daladala za Kimara posta nilipigwa kipepsi na mwanababa mmoja ana misuli ya John Cena siwezi sahau.Niliona giza Kama dk 5 hivi.
Duu[emoji25] nakuibiana humo humoNilimuelewa sana dereva wa daladala aliyejibizana na abiria kuwa yeye sio shida yake na wala hawazi kuhusu swala la kujaza abiria hadi mlangoni kwasababu daladala sio gari ya starehe bali ni gari ya biashara kwahiyo wavumiliane wakikanyagana hapo wako kibiashara na sio kistarehe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanakaa wao kazi yao kutizama wanawake miili inavyotikisikaMimi sipishi mtu hata awe nani maana usafiri wa daladala ni kero mijianaume ya Dar kazi yao huwa kutubambia tu sasa kuliko kuchefukwa roho nini?
Wanawake wakuhesabu sasa wenye roho mbaya kina naniKoma kutusingizia wanawake nyie ndo MNA roho mbaya ndo maana mumejaa jela kuua nyie
Mie sigombei nawaacha wachezeshe nani zao basiNa utapigwa tu viwiko kama utaendelea kukaidi, mmeambiwa msigombee nyie mnagombea, na mtapigwa tu viwiko vya kwenye nyonyo.
Mie simshiki nakaa kimya mbona wangu msafi atajijua mwenyewe, nikiwa mdogo mama yangu alirudi mikono juu namwambia vip tena eti nimwagilizie maji kuna mtoto nilimpakata mchafu mikojo maziwa hata sijui aliogeshwa lini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mbona hata mm nilizaa lakini si kwa uchafu ule hapanaHuyo mtoto nae inategemea awe na hali gani, unakuta mtoto ananuka mikojo, kamasi limemtapakaa mama ake hana habari. Nan ahusike na ujinga huo? Wamama mjifunze!