Kuna basi mpya 99 nimeona taarifa kwamba zimeagizwa.Na ndicho wanachofanya. Hiyo kero ni ya kutengeneza ili ikikaribia kampeni watoe bus mpya watu waone kuna unafuu na serikali ya ccm inawajali then baada ya uchaguzi mkuu wa mchongo kupita mambo yanarudi kama mwanzo.
Kuna miradi mingi ilitakiwa kuwa imekamilika ila inaachwa hadi kampeni zikaribie wawadanganye wajinga kuwa wanafanya kazi.
Hiyo ruti ni kati ya Kimara- Gerezani au Kimara-kivukoni.Mleta post mbona hajibu hili swali?
Toa neno mkuu
Kama kawaida unatembelea BMWBinafsi sijawahi kupanda mwendokasi
jf wote si mna gari tena BMW na mazda cx 5 uko kwenye mwendo kasi mna tafuta nini?
NA usijaribu hasahasa kipindi hiki.Binafsi sijawahi kupanda mwendokasi
😀 😀 😀 😀Uyo mwamba mwenye kofia anaonekana kabisa ni mwizi.
Tuvumilie kidogo tu mambo mazuri yanakujaWakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138
Picha kama hizi zamani ilizoeleka kwa magari ya Gongo la mboto na MbagalaWakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138
Ni janga lisiloisha mkuu.Picha kama hizi zamani ilizoeleka kwa magari ya Gongo la mboto na Mbagala
Siku hizi zipo kwenye miundombinu, mwendokasi imekufa vibaya sana
Watulie kwanza mkuuNi
Ni janga lisiloisha mkuu.
Nimesikia tetesi Kwamba inataka ijengwe railway za juu kwa usafiri hapa mjini
😹😹 utasikia, si msubirie jingine linakuja 😹😹😀 😀 😀 😀
Halafu huyo jamaa aliyepo kwenye dirisha la mkono wa kulia,kwa jinsi anavyo waangalia wenzake hapo mlangoni,anajiona yeye kayapatia maisha kinoma,kisa tu yeye yupo kwenye siti.
Kama kawaida unatembelea BMW
Mwachiluwi
NA usijaribu hasahasa kipindi hiki.
kila siku nawaambia haya mambo ni ya WAZUNGU......sisi zetu ngomaWakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138