KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mateso sana
 
Nilipika Usiku Sasa namalizia asubuhi hii.
Wewe wa kishua nikiagiza "Soseji na Baga " nitakukaribisha

Sio wa kishua lakini hiko kiasi cha chakula 🙌🤣
 
Mbona enzi za Ikarus za UDA hali ilikuwa nzuri na bora. Sijui nini kinashindikana uendeshaji wa mradi huu wenye uhitaji mkubwa?
 
Mbona enzi za Ikarus za UDA hali ilikuwa nzuri na bora. Sijui nini kinashindikana uendeshaji wa mradi huu wenye uhitaji mkubwa?
Bila shaka usimamizi / uongozi mbovu. Hakuna Cha zaidi.
 
Dar haina hata watu wengi mzee, watu milioni 6 tu wakati kuna miji INA watu milioni 50 na mambo yana run vizuri tu.....unajua wanatumia usafiri gani? Treni, treni ni bei nafuu na ngumu kuharibika kuliko haya mabasi mayai, aliyejenga njia ya mwendokasi angejenga reli tatizo lisingekuwepo
 
Kwa Tanzania hata hizo treni zitahujumiwa mkuu.
 
Hakuna kitu kibaya kama kuongozwa na Rais mzembe mzembe asiyejitambua

Tegemea kila kitu kukwama
Ni lini usafiri dar haujawai kukwama ili tuone ni uzembe wa rais wa sasa?.Na wakati huo nyie wananchi ambao sio wazembe mnakua wapi au ndio mnakaa kusubiri rais awe majibu ya kila changamoto na kulalamika.Rais hawezi kua majibu au mfumbuzi wa kila kitu ata kama wewe leo ukawa ndio rais.Tatizo sio la rais tatizo ni la wananchi kukaa nakusubiri kulaumu rais ata kwa mambo ambayo wao wenyewe wanaweza kuyarekebisha.Kwa fikra ulizonazo wewe ata leo ukiwa rais hakuna utakachokiweza kwasababu unawaza katika mtu nasio mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…