Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

Mzee wangu Dar johb Go and return inaendea ngapi nmechoka zereu
 
Mzee wangu Dar johb Go and return inaendea ngapi nmechoka zereu
Mkuu sio SA tuu Nchi nyingi najua mashirika yao ya gharama nafuu kwa season wengi Tanzania wanajua ukipanda ndege mmelipa Nauli sawa kumbe kila mtu kalipa tofauti kutokana na alivyonunua na siku aliyokata Ticket hata wote mkipanda Economy Class...
 
Nimaanisha bei ikipunguzwa taratibu za kiusalama zibaki pale pale. Punguzo liathiri faida tu ya kampuni, ndiyo maana yangu mkuu
Mkuu swala la usalama lipo chini ya Mashirika ya kimataifa tusipokizi vigezo tunafungiwa hivyo viwanja kila mwezi wanavikagua na watu wanatumwa kabisa na hizo ndege nyingi zinatoa taarifa kama vile wanaolipa madeni ndio maana kukiwa hakuna taarifa sahihi shirika linaamua kuweka ndege chini bila hivyo wangekua wanapaa kila siku hata kama ndege ina matatizo...ni sheria za Anga ndio zinafanya wasimamishe kusafirisha abiria kama hawajakidhi vigezo mpaka kwa marubani wao..
 

Mweleze South Africa, Algeria, Nigeria, hata Congo hapo usafiri wa ndege ni kawaida kabisa wala sio ajabu, shida Ujamaa uliathiri akili za watanzania na viongozi kwa ujumla yaani kutengeneza mazingira rahisi ya huduma bora ni anasa, angalia hata kodi za magari ndio utajua shida iliyopo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…