Yah wengi ni vijana below 45. Ila wana mawe ya hatari. Hao naowafahamu wanamiliki apartments Kawe kwenye zile flats za NHC kiufupi wamepiga sana hela.Sio mchezo watu walivuna pesa mkuu, na bado walikuwa ni vijana.
Na ndio maana kazi zao sio rahisi kupata kama hutokani na syndicate
yao.
Kwa hatua ilipofikia Democrats hawawezi kushinda kwenye hili.Wakapinge tu ila majaji watakuwa upande wa boss siku zote ambaye ni Donald J. Trump.
Inabidi watumie walicho kipata kufanya biashara sasa.Yah wengi ni vijana below 45. Ila wana mawe ya hatari. Hao naowafahamu wanamiliki apartments Kawe kwenye zile flats za NHC kiufupi wamepiga sana hela.
😂😂😂😂😂😂 Hio RUSAID haitakaa itokee. Aliewaambia Mrusi ana hela za kutoa bure ni nani?Ndio BRICS hio aliwaambia ana mpango wa kuwasaidia kule Moscow sasa wapeleke proposal ianzishwe RUSAID ili wasaidiwe na huko China ianzishwe CHINAID ili iwasaidie kuwamwagia mabilioni ya dolali
Kaka biashara sio rahisi kwa mtu aliyezoea kula kwa kalamu na zoom meeting😁! Bora hata walivyonunua hizo apartments watakulaga kodi.Inabidi watumie wakichopata kufanya biashara sasa.
Bahili kweli kweli. Pesa haitoki kirahisi kwao.😂😂😂😂😂😂 Hio RUSAID haitakaa itokee. Aliewaambia Mrusi ana hela za kutoa bure ni nani?
Kama warusi wangekuwa ni Kabila basi ni "WAPARE"
Kama wachina wangekuwa ni kabila basi ningewaita "WAHA"
Ni kweli biashara ina mambo mengi na inahitaji kunibana sana sioKaka biashara sio rahisi kwa mtu aliyezoea kula kwa kalamu na zoom meeting😁! Bora hata walivyonunua hizo apartments watakulaga kodi.
Yeah uzuri wakichungulia PSSSF zao nao zitakuwa ziko heavy.Ni kweli biashara ina mambo mengi na inahitaji kunibana sana sio
rahisi kwa mtu aliyekaa ofisini miaka 10 na zaid akipokea mamilioni
ya pesa.
Hizo Apartment zitawasaidia na wakipata fedha zao wataongeza apartments
nyingine.
Maana yake unasema tutafute 100T mahali chap kabla mambo hayajawa mengii ama?Nimwendo wa kukopa tu sasahivi
ARV ziko Zambia, Ziko South Africa kote wana viwanda wanazalisha. Wala wasiwatishe hao dawa zitapatikana japo zitakuwa expensive tu.Ndio hakuna ni US tu hao wengine wanaagiza kutoka US, sasa wewe ulikua unataka ARV za Nchi gani ndugu muathirika?
Sana ila kama wataishi maisha yale yale zitakauka fasterYeah uzuri wakichungulia PSSSF zao nao zitakuwa ziko heavy.
Kinacholiliwa ni maslahi ya watu wengi yanaenda kufeli.Tuwe na vya kwetu, ni aibu kulia Lia kama kifaranga. Kulia Lia Kwa vitu tunavyoweza kupambaana navyo ni upumbavu wa milele huo.
Sindio maana madem wanapenda sana hongo.Inaonekana vya kupewa ni vitamu sana 🤣
Serikali itabidi izitoe kwa bei nafuu au bure kabisa ikibidi.ARV ziko Zambia, Ziko South Africa kote wana viwanda wanazalisha. Wala wasiwatishe hao dawa zitapatikana japo zitakuwa expensive tu.
Ku adjust kuishi below standard ndio kipengele. Wana Mansion lao Goba bonge la dude.Sana ila kama wataishi maisha yale yale zitakauka faster
Huo ndio ukweli wenyewe. Mishahara na posho kibao.Kinacholiliwa ni maslahi ya watu wengi yanaenda kufeli.
Hao majizi ndio yamepanga foleni kumpinga Trump kule USA. Wao nao walikuwa wanafanya uhuni tu wa wafanyakazi hewa na activity hewa kama huku bara la giza tu.Kuna watu waliumuka vitambi kwa ajili ya hayo mashirika , waliendesha magari mazuri na mishahara minono kwa kuiba hela mashirikani nadhani trump atawanyoosha nyinyi mategemezi
Sawa sawa.Sindio maana madem wanapenda sana hongo.