USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Shortcut jiambukize UKIMWI halafu uone "UWEZO WA MWILI WENYEWE KUPANDISHA KINGA.".

Usisahau kuleta mrejesho.
 
Kina haja ya kuachana na biashara ya kula vya nje, hatari inayokuja ni kubwa.
 
ndo shida ya sisi maskini, tukizoea misaada, tunaona ni haki yetu kusaidiwa,...
Kikwete alisema wazungu wanatoa mahela ya bure ni kujitahidi kuyachota tu.Naamini saa hizi anatuandalia neno la kujizatiti na dhahma ijayo ya kukosa mahela ya bure.Hata hivyo,huwa tunawadharau sana USA na kuwaita ni mashoga.Ni muda muafaka tujikite kubanana na China na Urusi.
 
Hapo namuona mama akikacha kikako cha Africa Energy Summit na kukwea pipa kesho pamoja na baadhi ya viongozi wengine wa mataifa ya Africa wakielekea Washington DC kwenda kumsujudia Trump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…